×

Wananchi Ngorongoro Wanahamishwa Kwa Kuzingatia Haki za Binadamu

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geofrey Pinda amesema Wananchi wa Ngorongoro wanaohamishwa kutoka eneo la...

READ MORE

Vodacom, Polisi Kinondoni Wazindua Kampeni ya Usalama Barabarani Shuleni

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni kwa kushirikiana na kampuni ya Vodacom Tanzania PLC wamezindua kampeni ya usalama...

READ MORE

Ili Kukuza Mchezo Wa Tenesi Nchini, KLM Royal Dutch Airlines Yadhamini Mashindano Ya Uzinduzi Wa Kombe La McEnroe Serengeti

Dar es Salaam Tanzania, Disemba 5, 2023: KLM Royal Dutch Airlines watakuwa wadhamini wa uzinduzi wa mashindano ya McEnroe Serengeti...

READ MORE

Majaliwa Awatembelea Majeruhi wa Maafa ya Maporomoko ya Tope Hanang

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 05, 2023 amefika kuwajulia hali majeruhi wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuporomoka kwa tope...

READ MORE

Yanga Yaiwahi Medeama Ligi ya Mabingwa Afrika

MABOSI wa Yanga, wamepania timu yao kuvuna pointi tatu ugenini, watakapocheza dhidi ya Medeama FC, baada ya leo Jumaanne alfajiri...

READ MORE

Airtel Kutoa Intaneti na Mawasiliano Bure Hanang

Kampuni ya simu za Mkononi  Airtel imeoneshwa kuguswa na tukio la waathirika wa wilaya ya Hanang na kuungana na watanzania...

READ MORE

Benki ya NMB Yasaidia Wahanga wa Mafuriko Hanang

Wahanga wa mafuriko Wilayani Hanang, Mkoani Manyara, waliopoteza ndugu zao, makazi, pamoja na mali, wamepatiwa misaada ya kibinadamu na Benki...

READ MORE

NMB Yang’ara Tuzo za Mwajiri Bora mwaka 2023

Benki ya NMB imenyakua tuzo nne kwenye shindano la mwaka huu la Mwajiri Bora wa Mwaka (EYA 2023), ukiwemo ushindi...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Alivyowasili Hanang na Kujionea Madhara ya Mafuriko

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasili wilaya ya Hanang mkoani Manyara na kukutana viongozi wa mkoa huo na wa Serikali na...

READ MORE

Tanzania Yatajwa Kuwa Kinara Kwa Kudhibiti Mianya ya Uvujaji Mitihani

  TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi kinara kwa kudhibiti mianya ya uvujaji mitihani. Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam...

READ MORE

Serikali Yachukua Hatua za Awali Kukabili Maafa Hanang’ Manyara

Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu imechukua hatua za haraka kwa wahanga wa maafa yaliyosababishwa na...

READ MORE

Furahia Jade Valley Ndani ya Meridianbet Kasino

Jade Valley ni mchezo wa sloti wenye nguzo tano zilizopangwa kwa ustadi katika mistari mitatu, sloti yenye mistari 50 ya...

READ MORE

Serikali Kugharamia mazishi ya waliopoteza maisha kutokana na mafuriko Wilaya ya Hanang

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi...

READ MORE

Naibu Waziri Mwana FA ‘Anogesha’ Tamasha la Exim Bima Festival, Atoa Neno

  Dar es Salaam: Disemba 4, 2023: Naibu Waziri Wa Utamaduni, Sanaa Na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA), mwishoni mwa...

READ MORE

Kongamano la SHILO laanza kwa kasi

KANISA la Mlima wa Moto Mikocheni jijini Dar es Salaam, limezindua kongamano liitwalo SHILO kama sehemu ya kumuenzi mwanzilishi wa...

READ MORE

Mshindi Wa Kampeni Ya Maokoto Ndani Ya Kizibo Kibaha Alivyokabidhiwa Laki Tano Yake Laivu

Mshindi wa Kampeni ya Serengeti Lite ‘Maokoto Ndani ya Kizibo’ Kibaha mkoani Pwani, Advocatus Kakorozya, Jumamosi Desemba 2 mwaka huu...

READ MORE

Gwiji wa Tennis Duniani John McEnroe na familia yake wameungana na wadau wa utalii nchini kwa kushiriki chakula cha usiku

Gwiji wa Tennis Duniani John McEnroe usiku wa kuamia leo Desemba 3, 2023, yeye na familia yake na wadau wengine...

READ MORE