×

Wachimbaji haramu wa madini 7 wathibitishwa kufariki na wengine zaidi ya 20 hawajulikani waliko

Washukiwa saba wachimba haramu wa madini walithibitishwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 20 hawajulikani waliko na kudhaniwa wamekufa baada...

READ MORE

TASAC Yang’ara Tuzo Za NBAA Kushika Nafasi Ya Kwanza Kwa Mashirika ya Umma ya Udhibiti Uandaaji Bora wa Hesabu

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) yangara nafasi ya kwanza kwa Mashirika ya Umma ya Udhibiti katika uandaaji bora...

READ MORE

Mama Atokwa na Machozi Akiomba Kusadiwa Milioni moja Mtoto Wake afanyiwe upasuaji-Video

GLOBALJAMII wiki hii na Aisha haji (34) Mkazi wa Mpiji Magohe Jijini Dar es salaam ambaye anapitia katika kipindi kigumu...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumapili, Decemba 3, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 3, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Yanga na Mabingwa wa kihistoria wa CAFCL, Al Ahly wametoshana nguvu kwa sare ya 1-1

Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania, Young Africans na Mabingwa wa kihistoria wa CAFCL, Al Ahly wametoshana nguvu kwa...

READ MORE

Mchengerwa Na Oryx Gas Wamuunga Mkono Rais Dk Samia Kwa Kugawa Bure Mitungi 900 Na Majiko Yake Kwa Mama Lishe

BAADA ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kuzindua Mpango wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa Wanawake wa Bara la...

READ MORE

SGA Yapata Tuzo Maalumu Ya Ulipaji Kodi Bora

SGA Guards (T) Ltd, kampuni ya ulinzi binafsi imepokea tuzo maalumu kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) baada ya kuibuka...

READ MORE

Makonda Amtembelea Askofu Dkt Malasusa, Amhakikishia Viongozi Wa Kiroho Kumwombea Rais Samia

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Taifa, Ndugu Paul Christian Makonda amemtembelea Mkuu wa Kanisa la Kiinjili...

READ MORE

Fao La Huduma ya Utengamao Kuongeza Faraja: Prof. Ndalichako

SERIKALI kupitia Mfuko wa Fidia kwa Wafanmyakazi (WCF) imetangaza Fao jipya la Huduma ya Utengemao wa Kijamii (Social Rehabilitation) kwa...

READ MORE

Majaliwa aipongeza GGML mapambano dhidi ya Ukimwi, maambukizi mapya yashuka

NA MWANDISHI WETU Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) pamoja na wadau wengine kwa...

READ MORE

Rais Samia Suluhu Azindua Programu ya Nishati safi ya Kupikia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia...

READ MORE

Mkwanja Wa Kutosha Wikiendi Hii Na Meridianbet

Mikwanja inaendelea kumwagika kutoka Meridianbet kwani wikiendi hii itakua ni fursa ya kupiga mkwanja na Meridianbet kwani inakwenda kupigwa michezo...

READ MORE

GGML waungana na Biteko kuanika mbinu za mapambano dhidi ya Ukimwi

NA MWANDISHI WETU Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi...

READ MORE

Mbunge Mahawanga Awaonya Wanawake Na Mikopo Ya ‘Kausha Damu’, Awapongeza Wanavicoba

Dar es Salaam Mbunge wa Wanawake mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Elius Mahawanga amewaonya wanawake na watu wengine wanaoona...

READ MORE

Wahitimu 15 Shahada ya Udaktari HKMU Wapewa Neno

CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeiomba serikali itoe ruzuku kwa vyuo vikuu vinafsi ili kuvijengea uwezo kuboresha...

READ MORE

Azam Media Yavunja Ukimya Tuhuma Ya Rushwa Iliyotolewa Na Mwigizaji Shija, Yatoa Tamko Hili Zito – Video

Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigizaji na mtengeneza filamu,...

READ MORE

Tanesco Yatangaza kuunganisha Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere kwenye gridi ya taifa

Shirika la Umeme (Tanesco) limetangaza taarifa ya kuunganisha Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere kwenye gridi ya taifa, hatua itakayosababisha...

READ MORE

#Exclusive: Haya Ndiyo Maisha Halisi Ya Loveness – Anavaa Khanga Na Kupika Dikodiko – “Mimi Ni Pisi”

Loveness Tarimo ni mwanamke mtunisha misuli anayeshikilia nafasi ya Miss Fitness Tanzania na Miss Fitness East Afrika. Global TV imefanya...

READ MORE

UAE yatangaza ufadhili wa dola bilioni 30 kutafuta muarubaini wa mabadiliko ya hali ya hewa

Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan amesema uhaba wa ufadhili umekuwa ni suala linalodumaza uchukuaji wa hatua kuhusu mabadiliko ya...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumamosi, Decemba 2, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 2, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE