×

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Alhamisi, Septemba 28, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 28, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

AFKLM Kuongeza Kiwango Cha Wasafiri

KAMPUNI ya Usafirishaji wa Anga ya Ufaransa KLM (AFKLM) ina mpango wa kuongeza kiwango cha wasafiri katika nusu ya pili...

READ MORE

Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’ Aipeleka Simba Mafichoni

KUANZIA wiki hii, kikosi cha Simba chini ya Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’, kimepanga kuutumia Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi,...

READ MORE

Moto Iraq: Maharusi Wote Wawili Wapoteza Maisha, Afisa wa afya Afunguka

Wanandoa hao wapya wote walipoteza maisha katika moto uliowaka katika karamu ya harusi nchini Iraq, kulingana na Ahmed Dubardani, naibu...

READ MORE

Wanafunzi Green Acres Watia Fora Kwa Vipaji

WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Green Acres, wamewapagawisha wazazi na wageni waalikwa kwenye mahafali yao baada ya kuzungumza kwa ufasaha...

READ MORE

Nmb Yazindua Hati Fungani ya Jamii Bondi Yenye Jumla ya Sh. Trilioni Moja

Benki ya NMB imezindua rasmi hati fungani ya jamii bond ya muda wa Kati na muda. Mrefu yenye jumla ya...

READ MORE

Baleke Anautaka Ufungaji Bora Ligi Kuu Bara msimu huu

  MSHAMBULIAJI wa Simba, Mkongomani, Jeane Baleke, ameahidi kuendelea kufunga mabao katika kila mchezo ili afanikishe malengo yake ya kufikisha...

READ MORE

Gamondi Aandaa Silaha mpya Yanga dhidi ya Al Merrikh Azam Complex, Dar

KUELEKEA mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Al Merrikh, Waarabu hao wa Sudan...

READ MORE

IRAQ: Moto Waua Watu 100 Kwenye Harusi, Bibi Harusi na Bwana Harusi Wadaiwa Kufariki – Video

WATU 100 wamefariki na wengine 150 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka kwenye harusi kaskazini mwa Iraq, vyombo vya habari vya...

READ MORE

Trump adaiwa kufanya udanganyifu wa kibiashara kwa miaka mingi

Jaji mmoja amehukumu Jumanne kwamba, rais mstaafu wa Marekani, Donald Trump, alifanya udanganyifu kwa miaka mingi wakati anajenga himaya yake...

READ MORE

Director Kenny Alamba Dili Nono Infinix – Msikilize Afisa Uhusiano Akifunguka Mambo Ya Moto – Video

Huenda habari kuhusu Infinix ZERO 30 sio mpya masikioni mwako tangu kuzinduliwa kwake imekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumanne, Septemba 27, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 27, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Rais Samia: Tuna ‘Crisis’ Ya Umeme, Tunafanya Ukarabati Wa Mashine – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amempa miezi sita Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO ), Gissima Nyamo-Hanga kushughulikia tatizo...

READ MORE

Wadau na Wataalam wa Kimataifa Kuipa Temeke Mbinu za Kukabiliana na Athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi

Manispaa ya Temeke inaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi ambapo Mstahiki meya Abdallah Mtinika amekutana...

READ MORE

Tunzaa Yatangaza Ushirikiano Mkubwa Na Vodacom Kupitia M-Pesa

Wateja wa Vodacom kuanza kutumia huduma za Tunzaa ndani ya aplikesheni ya M-Pesa Super App Dar es salaam, 27 Septemba...

READ MORE

Wanafunzi Nyamkumbu wanolewa na GGML kuhusu taaluma ya madini

     Na Mwandishi Wetu ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu iliyopo mkoani Geita...

READ MORE

Kampeni Ya Cha Wote Yafikia Tamati Ikiwatunukia Mamilioni Zaidi Ya Wateja 28,600

Kampeni ya ‘Cha Wote’ iliyokuwa ikiendeshwa na kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo kwa kuwazawadia zawadi mbalimbali...

READ MORE

Tigo Yamtangaza Mshindi Wa Funga Dimba La Kampeni Ya ‘Cha Wote’, Aondoka Na Milioni 5

KAMPUNI ya Tigo kupitia shindano lao la Cha Wote leo imemtamngaza Kassim Mkono kuwa mshindi wa shilingi milioni 5 katika...

READ MORE

Simba Yatamba Kuwashangaza Power Dynamos Kutinga Hatua ya Makundi

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wala hauna haja ya kupiga makelele mengi juu ya timu yao na wanachokifanya ni...

READ MORE

Marekani imemkatalia waziri wa mambo ya nje wa Iran, kutembelea Washington

Marekani, Jumatatu imesema ilikataa maombi ya waziri wa mambo ya nje wa Iran, ya kutembelea Washington, wiki iliyopita sababu ikiwa...

READ MORE