×

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumamosi, Septemba 16, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 16, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Bei ya mafuta nchini Kenya yapanda kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa

NAIROBI – Wakenya kuanzia Jumatatu wameanza kulipia bei ya juu wanaponunua bidhaa za petroli kufuatia tangazo la bei mpya iliyotangazwa...

READ MORE

Kampuni Ya Oryx Energies Yawekeza Katika Ugavi Na Usambazaji Wa LPG Zanzibar

Mji Mkongwe Zanzibar, Tanzania na Geneva, Uswisi, Septemba 15, 2023: Kampuni ya Oryx Gas Zanzibar Limited imeungana na kampuni ya...

READ MORE

Maxi Nzengeli Bado Ana Jambo Lake Yanga, Azungumza na Spoti Xtra

LICHA ya kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Bara mwezi Agosti, bado kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Maxi...

READ MORE

Tanzania Na Ufaransa Waingia Makubaliano Ya Kushirikiana Katika Sanaa Na Utamaduni Kupitia Basata Vibe

Dar es Salaam, 14 Septemba 2023: Nchi ya Tanzania na Ufaransa zimeingia makubaliano ya ushirikiano katika masuala ya sanaa na...

READ MORE

Prof. Mkenda Apongeza KCB Kwa Kuwezesha Vijana Kupata Mafunzo ya Amali

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameipongeza Benki ya KCB Tanzania kwa namna inavyowezesha vijana kupata mafunzo...

READ MORE

Stephane Aziz Ki na Khalid Aucho Waliamsha Rwanda

MAJINA ya mastaa watatu wa Yanga, Djigui Diarra, Stephane Aziz Ki na Khalid Aucho, ndio gumzo hivi sasa, wakisubiriwa kwa...

READ MORE

Uganda: Polisi Watoa Sababu za Kupiga Marufuku Mikutano ya Bobi Wine

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine, amelaani hatua ya serikali kupitia jeshi la polisi kupiga marufuku...

READ MORE

Mtoto wa Rais Biden Afunguliwa Mashitaka ya Kumiliki Kunduki Kinyume cha Sheria

Hunter Biden mwana wa kiume wa Rais wa Marekani Joe Biden Alhamisi amefunguliwa mashitaka na viongozi wa mashitaka, akituhumiwa kununua...

READ MORE

Rais Samia Azindua Miradi Ya Maendeleo Mkoani Mtwara – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua miradi ya maendeleo mkoani Mtwara leo tarehe 15 Septemba,...

READ MORE

Sancho Azuiwa Kufanya Mazoezi Na Kikosi Cha Kwanza Cha Man United

Klabu ya Manchester United imetangaza kuwa winga Jadon Sancho ameondolewa kwenye kikosi cha kwanza maana yake atafanya mazoezi binafsi nje...

READ MORE

Usiyoyajua Kuhusu Oraimo Freepods Lite, Zinasifika kwa Kutunza Chaji

  Tarehe 9 Agosti 2023 ndio siku ambayo earbuds mpya kutoka oraimo ambazo zinaitwa “FreePods Lite” ziliingia sokoni rasmi. Kampuni...

READ MORE

Yanga Yaitikisa Al Merrikh, Injinia Hersi Afunguka Mipango Ya Kuimaliza – Video

JIONI ya Septemba 14, 2023 Alhamisi, kikosi cha Yanga kitasafiri kwa ndege kuelekea Kigali, Rwanda, tayari kwa mchezo wa kwanza...

READ MORE

Majaliwa: Ongezeni Ushiriki Wa Wahandisi Wazawa Kwenye Ujenzi Miradi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kuchukua hatua za makusudi kuhakikisha wahandisi wazawa wanashiriki...

READ MORE

Simba Yawamaliza Wazambia Nje Ya Uwanja Ligi ya Mabingwa Afrika

ROBERTO Oliveira ‘Robertinho’ ambaye ni Kocha Mkuu wa Simba, mapema tu amezinasa mbinu za Power Dynamos ya Zambia jambo linaloashiria...

READ MORE

Mazito! Familia Yampoteza Ndugu, Yadai Alichukuliwa Na Difenda La Polisi – Muuza Juice Atoa Ushuhuda – Video

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia...

READ MORE

Ridhiwani Kikwete Atoa Maagizo Kwa Ma-Ded Na Maafisa Utumishi- “Tunakuwa Na Utumishi Wa Hovyo – Video

Naibu Waziri Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete ameutaka Mfuko wa Maendeleo...

READ MORE

Rais Joe Biden Akashifu Mpango wa Bajeti ya Warepablikan

Wakati kukiwa na uwezekano wa kufungwa kwa shughuli za kifedha za serikali ya Marekani, Rais Joe Biden Alhamisi amekashifu mpango...

READ MORE

Unategemea Akufurahishe Lakini Unaishia Kulia? Soma Hapa!

UHUSIANO wa kimapenzi una changamoto nyingi sana, idadi ya wanaolizwa na mapenzi inazidi kuongezeka kila kukicha, visa vya mapenzi vya...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Ijumaa, Septemba 15, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 15, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE