×

GOLD OASIS Kasino Bora ya Mtandaoni.

Gold Oasis, mchezo mwingine wa sloti  kutoka Meridianbet kasino ya Mtandaoni unaokupeleka maeneo ya jangwa la Sahara. Kazi yako ni...

READ MORE

Barnaba, Meja Kunta, Kontawa Kukamua Shoo ya Nguvu kwa Wanavyuo

Wasanii maarufu Bongo, Barnaba, Meja Kunta, Kontawa, Platform, Lony Bway, Lody Music na wengine kibao, wanatarajiwa kukamua shoo ya nguvu...

READ MORE

Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Yatinga robo fainali AFCON 2023

Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetinga robo fainali ya kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2023) kufuatia...

READ MORE

Mali, Burkina Faso na Niger wajiondoa kwenye ECOWAS

Mataifa ya Afrika Magharibi ya Mali, Burkina Faso na Niger yamejiondoa kwenye shirika la kiuchumi la kieneo la ECOWAS, viongozi...

READ MORE

Tajiri Wa Ma-Range Ajibu Wanaomsema Kazidiwa Nyumba Kali Na Mwijaku – Video

Mfanyabiashara maarufu, Chris Lukosi amewajia juu watu wanaofananisha nyumba yake na nyumba ya mtangazaji na staa wa mitandaoni, Mwijaku na...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatatu, Januari 29, 2024

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 29, 2024 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Makonda Amvaa Daktari Wa Mkoa -Ajiuma Kujibu ”Acha Kutoa Macho Mzee – Nijibu”

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amemjia mkurugenzi wa wilaya ya Kakola mkoani Shinyanga baada ya kushindwa...

READ MORE

Vutuo Vipya vya Afya, Zahanati Kuanza Kutoa Huduma Januari 29, 2024

Mkurugenzi wa Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa –...

READ MORE

Hali ni Shwari Bandari ya Dar es Salaam, Oparesheni Zinaendelea

Shughuli za kiuendeshaji katika bandari ya Dar es Salaam zinaendelea vyema huku gati zote ndani ya bandari hiyo zikiendelea na...

READ MORE

MNEC Simiyu Awaasa Viongozi Wa Kuchaguliwa na Wananchi, Atoa Pikipiki Kwa Askari Wanyamapori

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (MNEC) Mkoa wa Simiyu, Emmanuel Gungu ametoa Pikipiki mbili  kwa askari...

READ MORE

POLISI WAMKAMATA ALIYOWATAPELI WATALII WALIOKUJA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

Jeshila Polisi limesema limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa aliyewatapeli watalii walikuja nchini kwa ajili ya kupanda mlima Kilimanjaro huku likibainisha kuwa Tanzania...

READ MORE

Hakielimu, Chuo Kikuu HAMK Kuimarisha Elimu ya Undi na Mafunzo Tanzania

Mkuu wa Uchumi na Utawala Umoja wa Ulaya, Karina Dzialowska (wa pili kushoto) pamoja na Afisa wa Umoja wa Ulaya...

READ MORE

LAAC Wazitaka Halmashauri Kusimamia Kikamilifu Miradi Inayotekelezwa Kwa Force Account

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa, Mhe. Stanlaus Mabula amezitaka halmashauri kusimamia...

READ MORE

DKT. BITEKO AMWAKILISHA RAIS SAMIA UWEKAJI WAKFU ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, leo amemwakilisha Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za...

READ MORE

Barabara ya Kidatu- Ifakara, Daraja la Ruaha Kukamilika Machi 2024

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amemtaka mkandarasi Reynolds Construction Company (RCC), anayejenga barabara ya Kidatu- Ifakara km 66.9...

READ MORE

Vitalu 24 Vyabainika Kuwana Mafuta na Gesi Nchini

Mamlaka ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imesema inatarajia kutangaza vitalu 24 vya Mafuta na...

READ MORE

Aweso Ampa Mkandarasi Siku 30 Kukamilisha Mradi wa Maji Navanga

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametoa siku 30 kwa Mkandarasi Halem Construction kukamilisha ujenzi wa Mradi wa Maji Navanga. Waziri...

READ MORE

Vijana BBTWasherehekea Birthday ya Rais Samia, Wamtakia Maisha Mema

VIJANA walio kwenye mradi wa Jenga Kesho yako iliyo Bora (BBT) katika shamba la Chinangali leo Januari 27 wameungana na...

READ MORE

Mbagala Rangi 3 Wanufaika na Meridianbet

Meridianbet wameendelea kurejesha kwenye jamii kama ilivyo kawaida yao huku leo hii siku ya Jumamosi wamerudi tena Mbagala Rangi 3...

READ MORE