×

Siah Malle; Mhandisi Mwanamke Anavyoibua Vipaji vya Wanawake Wenye Ndoto Kubwa

    Siah Malle ni mfano mzuri wa mwanamke ambaye amefanikiwa kuvunja dhana iliyojengeka na kuwagawa wanawake na wanaume kwenye...

READ MORE

Moto Wazidi Kuwaka Shigongo Cup, Nyanzenda FC Yatinga Hatua ya Nusu Fainali

  Mchezo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya mashindano ya Shigongo Cup yanayoendelea Buchosa umepigwa kati ya Nyanzanda...

READ MORE

Prof. Mkenda: Elimu Ndio Mtaji Itakayobadilisha Taifa Liweze Kusonga Mbele.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema elimu ndio mtaji na kwamba itabadilisha taifa liweze kusonga mbele....

READ MORE

Hakuna Kilichosimama Miradi Ya Maendeleo, Ushetu Inasimama na Rais Samia: Mbunge Cherehani

Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Dkt Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Mfanyabiashara wa Mizigo: Serikali Ina Nia Nzuri Mno Uwekezaji Bandarini – Video

Mfanyabiashara wa kusafirisha mizigo kutoka nje ya nchi kwa njia ya anga na maji, Mzee Ahmed ambaye ni Mkurugenzi wa...

READ MORE

Carina Bado Usaha Unatoka Tumboni, Haamini Hadi Leo Yupo Hai, Aomba Kusadiwa – Video

Muigizaji wa Bongo Muvi, Carolinahawa Hussein “Carina” @officialcarolinhawa ambaye takribani miaka mitano yuko ndani akisumbuliwa na tatizo la tumbo, ambapo...

READ MORE

Pretty Kind Aachia Video Mpya ya Alpha na Omega (Official Video)

Mwimbaji wa Gospel na muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amesema anawakaribisha mashabiki wake wote...

READ MORE

Nyoshi Afunguka Kuziua Bendi Za Tukuyu Sound Na Town Classic – Video

Msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Nyoshi El Saadat amesema wasanii wengi wa dansi, huwa na tamaa jambo linalosababisha...

READ MORE

Prof. Mkenda: Mabadiliko Ya Mitaala Mipya Ya Elimu Bado Hayajapitishwa – Video

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema “Mapendekezo yana Mabadiliko makubwa kwenye mfumo wa Elimu kwa kuwa...

READ MORE

Watu 6 Wafariki Baada Ya Kudumbukia Ndani Ya Shimo La Maji Kabla Ya Harusi

  Takriban watu sita waliokuwa wakipanga kuhuduria harusi wamefariki baada ya kuanguka ndani ya shimo la maji wakati walipokuwa wakicheza...

READ MORE

Mastaa Yanga Wamepania, Waitaka Rekodi CAF leo Uwanja wa Azam Complex

WACHEZAJI wa Yanga wamesema kwa sasa nguvu na akili zao wamezielekeza katika mchezo wa hatua wa awali wa Ligi ya...

READ MORE

#Exclusive: Shabiki Mkubwa Wa Simba Aomba Kusadiwa na Mo Dewji Ahame Kwenye Chumba Kimoja-Video

Shabiki kindakindaki wa Klabu ya Simba, Rehema Kamburuta almaarufu Mama Bocco, amesema anawaomba mashabiki wa simba kuanzia Rais wa heshima...

READ MORE

Rais Samia: Mashirika Ya Umma Yamekuwa Ni Sehemu Ya Kula Raha -(Picha + Video)

Rais Samia Suluhu Hassan amesema mashirika ya umma yamekuwa ni sehemu ya kula raha na idadi kubwa ya watumishi wa...

READ MORE

Shetta Afichua Mazito Ugomvi Wake Na Diamond, Auponda Muziki Wa Amapiano – Video

Staa wa kitambo wa Bongo Fleva, Shetta ‘Baba Kayla’, amefunguka kwamba siyo kwamba anawakataza wasanii wa Bongo Fleva kuimba Amapiano...

READ MORE

Mwanafunzi Apotea Akiwa Kwa Mkuu Wa Shule, Adai Alimchapa Kwa Kumkuta Na Simu – Video

Taharuki imetanda kwenye familia ya Warda Mohammed (15), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyumbu, Kibaha baada ya binti huyo mdogo...

READ MORE

Meneja Mkongwe katika soka Carlo Mazzone Amefariki Dunia

Meneja mkongwe katika soka la Italia Carlo Mazzone (86), amefariki dunia. Mazonne aliwahi kuzichezea Roma, Latina, SPAL, Siena na Ascoli...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumapili, August 20, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 20, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Mchakato Wa Kuiunganisha Twiga Cement Na Tanga Cement Wazidi Kukutana Na Vikwazo

Mchakato wa kuungana wa kampuni mbili za cement (saruji) bado waendelea kukutana na vikwazo, Kampuni hizo, Tanga Cement inayomilikiwa kwa...

READ MORE

Bernard Morrison Kuishtaki Yanga FIFA, Mtoa Taarifa Afunguka

  TAARIFA ambazo Championi Ijumaa zimepata ni kuhusiana na kiungo raia wa Ghana ambaye amepita Yanga na Simba, Bernard Morrison...

READ MORE

Mbeya: Wakili Mwabukusi Na ‘Mdude’ Waachiwa Kwa Dhamana

Wakili Boniface Mwabukusi na Mwanachama wa CHADEMA Mpaluka Nyagali (Mdude) wameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi...

READ MORE