×

Marekani Na Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar Wazindua Kampeni Ya Ugawaji Vyandarua

Unguja, Zanzibar —Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na serikali ya Marekani imezindua kampeni ya ugawaji wa vyandarua vyenye...

READ MORE

Kila Mwanaume Alinikimbia Kisa Sura Yangu Ila Sasa Wananitamani!

  Urembo huwa jambo la muhimu kwa kila mwanamke hasa pale anapotafuta mwanaume wa kuanzisha naye uhusiano, wanaume wengi hupenda...

READ MORE

Waziri Aliyeripoti Kuibiwa Tsh. Bilioni 3 Nyumbani Kwake, Akamatwa

Cecilia Abena Dapaah aliamini anafanya uamuzi sahihi kwenda Polisi kuripoti lakini kibao kimegeuka na kushikiliwa kwa kumiliki kiasi kikubwa cha...

READ MORE

Simba Kukipiga Dhidi ya Power Dynamos Simba Day – Video

    Klabu ya Simba imethibitisha kuwa kwenye kilele cha Wiki ya Simba Day, Wekundu hao wa Msimbazi watacheza mechi...

READ MORE

Exclusive Video: Jasinta Atamani Kulia Akifichua Ya Mama Yake, Nyumba Aliyomjengea…

Mwanamitindo, mwigizaji na mjasiriamali anayekuja poa Bongo, @jasintamakwabe amefunguka kuwa katika maisha yake ya kimapenzi, ameumizwa sana na wanaume aliowahi kuwa nao...

READ MORE

Korea Kaskazini yarusha makombora mawili baharini, Marekani yalaani

Korea Kaskazini imerusha makombora mawili ya masafa mafupi kuelekea baharini, karibu na pwani yake ya mashariki, saa chache baada ya...

READ MORE

Je, Umefikia Wakati wa Mitetemo ya Jangwani Kuhamia kwa Farao?

Wakati tetesi zikiendelea kusikika kutoka kila kona kuhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Mayele, sasa Pyramids iko kwenye nafasi kubwa...

READ MORE

Marekani yapeleka nyambizi nyingine Korea Kusini ikipeleka ujumbe dhidi ya vitisho vya Korea Kaskazini

Nyambizi hizi zimeongeza hatua ya washirika kuonyesha nguvu za kijeshi ili kukabiliana na vitisho vya nyuklia vya Korea Kaskazini.  ...

READ MORE

Moto mkali waua watu Takriban 34 nchini Algeria

Moto mkali unaoendelea nchini Algeria wakati wa wimbi la joto kali umeua zaidi ya watu 30 na kulazimisha watu wengi...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Amwakilisha Chalamila Kumpokea Waziri Mkuu wa Burundi

  MKUU wa Wilaya ya Temeke Dar es Salaam Mobhare Matinyi amemwakilisha Mkuu wa Mkoa huo Albert Chalamila kumpokea Waziri...

READ MORE

Airtel na CRDB Kurahisisha Malipo ya Ada za Shule Kidigitali

Mtandao wa kidijitali waunganisha Benki ya CDRB na Airtel Money kurahisisha malipo ya ada za shule Malipo ya ada za...

READ MORE

Kinana: Kila Mwanachana wa CCM Anayo Haki ya Kuwa Kiongozi

  Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka wanachama na viongozi wa CCM kuendelea kukisemea...

READ MORE

Agizo la Rais Samia Latekelezwa Ngara, Waziri Aweso Azindua Mradi wa Maji

Mnamo 22 Februari mwaka 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa wilayani Ngara kwenye...

READ MORE

Mwenge wa Uhuru Wazindua Mradi wa Maji wa Shilingi Milioni 300 Itilima

  Wakazi zaidi ya 3000 wa Kijiji Cha Mwanunui Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, ni rasmi sasa wameondokana...

READ MORE

Sitasahau Jinsi Mwanaume Alivyokodi Watu na Kuja Kunifanyia Ukatili Kisa Nimemkataa

  Sasa ni miaka mitano imepita baada ya kufanyiwa kitendo kibaya sana na kundi la watu sita, ni vijana ambao...

READ MORE

Elon Musk Atangaza Kubadili Logo ya Twitter na Kuanza Kutumia Alama ya X

  Mmiliki wa Twitter, Elon Musk ametangaza kufanya mabadiliko ya logo ya mtandao wa Twitter, kutoka alama ya ndege wa...

READ MORE

Ugawaji wa Vishikwambi Unalenga Kuboresha Ufundishaji na Ujifunzaji: Prof. Mdoe

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa James Mdoe amesema ugawaji vifaa vya Tehama vikiwemo vishikwambi kwa...

READ MORE

Serikali yaahidi kuunga mkono kampeni GGML KiliChallenge

  WAZIRI wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amesema Serikali itaendelea kuunga mkono kampeni...

READ MORE

Bolt Yazindua Driver Selfie Kucheck (Uthibitisho Wa Dereva Kwanjia Ya Picha)

Dar es Salaam, Julai 2023:Kampuni inayoongoza kwa huduma za usafiri kwa mtandao barani Afrika Bolt, leo imezindua kitengo cha Driver...

READ MORE