×

Masudi Alizaliwa Mweusi Akapata Ulemavu Wa Ngozi, Akasakwa Auawe Na Baba’ke -Video

Kupitia Kipindi cha #Konayamtaa, kijana Masoud Shaaban @therealwhitekid amefunguka jambo linaloshangaza kwamba licha ya kuwa na ulemavu wa ngozi, kijana...

READ MORE

Bosi Wa Waamuzi Avunja Ukimya Utata wa Mikwaju iliyopigwa na wachezaji wa Yanga

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi, Salum Umande Chama, amevunja ukimya kutokana na utata uliojitokeza muda mfupi baada ya kumalizika...

READ MORE

Diamond Platnumz ft Koffi Olomide – Achii (Official Music Video)

Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya Achii! amemshirikisha Koffi Olomide.

READ MORE

Fabrice Ngoma Amtibulia Kanoute Simba Robertinho Afunguka

BENCHI la Ufundi la Simba chini ya Kocha Mkuu, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ linafikiria kumuondoa kikosi cha kwanza kiungo mkabaji...

READ MORE

Balozi Mbelwa Kairuki Ahamishiwa Uingereza, Khamis Omar Apelekwa China

Rais Samia amemhamisha Balozi Mbwela Brighton Kairuki kwenda London ambako anachukua nafasi ya Dkt. Asha Rose Migiro ambaye amemaliza Mkataba...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Alhamisi, August 17, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 17, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Uteuzi: Rais Samia Ateua Wenyeviti Wa Bodi Za Shirika La Reli Na Veta

Ally A Karavina ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC). Karavina ni Mtaalamu wa...

READ MORE

Vodacom Yashirikiana Na NMB, Google Kurahisisha Upatikanaji Wa Simu Janja Kupitia Mikopo

Ushirikiano mpya kati ya Google, NMB na Vodacom Tanzania Plc unatarajiwa kuimarisha mapinduzi ya kidijitali kwa kuwezesha upatikanaji wa simu...

READ MORE

KLM Airline Waboresha Viti Vyake Daraja La Biashara Katika B777-300/200

Ikianzia kwenye viti, inajumuisha teknolojia zote zinazohusiana kwa wastani ni asilimia 10 – 15, jambo linaloendana na ajenda ya uendelevu...

READ MORE

JK Ateta na Kamati ya Utatu ya Siasa, Ulinzi na Usalama ‘SADC- TROIKA’ Mjini Luanda-Angola

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika,...

READ MORE

Rais Samia Awataka Mabalozi Kufuatilia Hati Za Makubaliano Zilizosainiwa -(Picha + Video)

  Amesema “Katika Nchi nyingine Mabalozi wetu sijui niseme hawajui wanachokifanya, wapo tu. Nilikutana na Rais mwenzangu ndani ya #SADC...

READ MORE

Simba Wamkingia Kifua Phiri, Saido Kukosa Penalti fainali ya Ngao ya Jamii

UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa, kukosa penalti kwenye mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii kwa nyota wao wawili,...

READ MORE

Hafiz Konkoni Amnogea Gamondi, Amuingiza Kikosi cha kwanza

KOCHA Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, anafikiria kumuanzisha mshambuliaji wake, Mghana, Hafiz Konkoni katika kikosi cha kwanza. Uamuzi huo...

READ MORE

Kazi Imeanza Huko… Vigogo Simba Waanika Mikakati Mizito

MTENDAJI Mkuu wa Simba, Iman Kajula, ameibuka na kubainisha kwamba, wamekuja na mpango mkakati maalum msimu huu wa 2023/24 utakaowawezesha...

READ MORE

Bunge la Kenya lapokea ombi la kupiga marufuku Tiktok

Ombi linalotaka kupigwa marufuku kwa TikTok nchini Kenya limewasilishwa bungeni likitaja uvunjaji wa kanuni ya faragha na maudhui ya ngono,...

READ MORE

Mbinu Tano Za Kumvuta Msichana Mikononi Mwako Kwa Urahisi

MAPENZI ni sanaa ambayo kwa hakika haitaki hasira hata kidogo. Ubunifu, utulivu wa akili na utundu binafsi ni kati ya...

READ MORE

Mshambuliaji Neymar Jr Ajiunga na Miamba ya Saudi Arabia, Al Hilal

Mshambuliaji, Neymar Jr amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na miamba ya Saudi Arabia, Al Hilal kwa ada ya uhamisho ya...

READ MORE

Google Kubuni Ajira 20,000 Kwa Wanawake Na Vijana Wa Nigeria

Wakurungenzi wa kampuni ya kimitandao ya Google barani Afrika Jumanne wamesema kwamba inapanga kutoa mafunzo ya kidijitali kwa wanawake 20,000...

READ MORE

Waandishi Wavamiwa Na Kujeruhiwa Kwa Mikuki Ngorongoro, Hali Zao Mbaya – Video

Zaidi ya vijana 200 wa jamii Ngorongoro, Mkoani Arusha wamewavamia na kuwajeruhi waandishi wa habari na mkalimani aliyeambatana nao. Waandishi...

READ MORE

#Exclusive: Kwa Unyonge Dulla Makabila Akiri Bado Anampenda Zaylissa “Siwezi Msema Vibaya Ni Mzuri” – Video

Global Tv imefanya mahojiano na Dulla makabila @dullamakabila na kusema kuwa hawezi kumsema au kumchafua vibaya aliyekuwa mke wake Zaylissa...

READ MORE