×

Ikiadhimisha Miaka Mitano, Thamani ya Uwekezaji Mfuko wa PSSSF Yafikia sh trilioni 7.8

Waziri Mkuu aagiza mifuko yote ya hifadhi ya jamii kulipa mafao kwa wakati Huduma zinazopatikana kupitia  PSSSF Pamoja ni utaratibu...

READ MORE

NIC Yatunukiwa Cheti Cha Superbrand Kwa Mafanikio Sekta Ya Bima Nchini Tanzania.

Katika jitihada za kutambua ufanis na utoaji wa huduma bora katika sekta ya bima nchini, Shirika la Bima la Taifa,...

READ MORE

Kivumbi leo Mkwakwani Fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba

KUELEKEA mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba unaotarajiwa kuchezwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Kikwete Atoa Mhadhara Nchini Angola, Aziasa Nchi Za Afrika Kudumisha Amani

Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Kikwete amezitaka nchi za Afrika, hususani za ukanda wa SADC...

READ MORE

Bil 3 Zashusha Kipa Mpya Simba Raia wa Morocco

KLABU ya Simba, imefanikiwa kumsajili kipa raia wa Morocco, Ayoub Lakred, akitokea FAR Rabat ambapo anaenda kuungana na Ally Salim,...

READ MORE

Wakali Wa Pasi Ndefu Yanga, Simba Kwenye Vita Nyingine

WAKALI wa pasi ndefu ndani ya Yanga na Simba, leo wanatarajiwa kuwa kwenye vita nyingine ya kumsaka mbabe atakayetoka na...

READ MORE

Niger: Utawala wa kijeshi unatishia kumuua Bazoum iwapo ECOWAS itaingilia kijeshi

Mvutano unazidi kuongezeka kati ya utawala mpya wa kijeshi wa Niger na jumuiya ya ukanda wa Afrika Magharibi ambayo imeamuru...

READ MORE

Gethsemane – Group Kinondoni (GGK) Kuja Na Video Ya Dunia Hii

KWAYA maarufu nchini ya Gethsemane inayosali Kanisa la wasabato Kinondoni, ipo mbioni kutoa video ya wimbo wake mpya unaofahamika Dunia...

READ MORE

Lava Lava Ft Diamond Platnumz – Tuna Kikao (Official Music Video)

MKALI wa muziki kutoka kundi la Wasafi, Abdul ‘Lavalava’ ameachia video ya ngoma yake mpya ya Tuna Kikao kamshirikisha bosi...

READ MORE

Dkt. Kikwete Ahimiza Amani Katika Nchi za SADC

Imeelezwa kuwa amani na usalama ni maneno yenye dhana pana tofauti na watu wengi wanavyoelewa kuwa amani na usalama ni...

READ MORE

Wazazi washangazwa na umahiri wa kingereza wanafunzi Tusiime

UMAHIRI wa hali ya juu wa kumudu kuzungumza lugha ya kingereza kwa ufasaha ulioonyeshwa na wanafunzi wa shule ya msingi...

READ MORE

Sekta Ya Utalii Zanzibar Yapata Uwekezaji Kutoka Benki Ya NCBA

Zanzibar. Benki ya NCBA imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha uwekezaji wake kwenye sekta mbalimbali hususani ya utalii ili katika hatua...

READ MORE

Sekta Ya Pembejeo Za Kilimo Ya Kampuni Ya Mahindra Inashirikiana Na SARGA MotoCorp (TZ) Limited Ya Tanzania

Tarehe, 11, Agosti, 2023, Jijini Dar es salaam, kampuni ya Mahindra & Mahindra Ltd. (M&M Ltd), kampuni kubwa zaidi ya...

READ MORE

Harry Kane Atangazwa Kuachana na Tottenham na Kujiunga na Bayern Munich

  Nahodha wa Timu ya Taifa ya Uingereza na mfungaji kinara wa wakati wote wa Klabu ya Tottenham Hostpurs ‘Spurs’,...

READ MORE

Watatu Wakamatwa Kwa Tuhuma za Kujeruhi, Kupora watu Daraja la Salenda

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kujeruhi na kupora watu vitu...

READ MORE

Msama Awajia Juu Wanaomkashifu Rais, Aziomba Mamlaka Husika Kuwachukulia Hatua Stahiki

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Bw. Alex Msama ametoa wito kwa mamlaka husika kuwachulia  hatua wale wanaomkashifu Rais wa...

READ MORE

Simba Wawapiga Mkwara Al Ahly, Mamelodi Afrika Super League

MABOSI wa Simba, wameweka wazi mkakati wao ni kuhakikisha wanafanya vizuri katika michuano ya Afrika Super League, bila ya kuangalia...

READ MORE

Usikubali Urafiki wa Mumeo na Mwanamke, Hakunaga!

Asalaam alaikum wasomaji wangu, bila shaka ni wazima mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu. Baada ya kumaliza wiki ya...

READ MORE

Gamondi: Yanga Bado Haijachanganya Kucheza Katika Mifumo Yake

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi licha ya timu yake kupata matokeo dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Nusu...

READ MORE

Rais Samia Amrejesha Nyumbani Balozi Nchimbi, Ahamisha Vituo Vya Kazi Mabalozi 4

Balozi Emmanuel J. Nchimbi amerejeshwa nyumbani kutoka Ubalozi wa Tanzania Nchini Misri na nafasi yake inachukuliwa na Balozi Meja Jenerali...

READ MORE