×

Mwalimu Mkuu Mbaroni Kwa Madai ya Kubaka Na Kumpa Mimba Mwanafunzi Wake – Video

Charles Maige ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kilimo wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani...

READ MORE

Makamu Wa Rais Dkt. Mpango Afungua Tawi la 229 la NMB Buhigwe

MTANDAO wa Matawi ya Benki ya NMB nchini umezidi kutanuka, baada ya Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango...

READ MORE

Katibu mkuu madini atembelea banda la GGML sabasaba, akoshwa na rekodi ya kampuni hiyo

  KATIBU mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Felchesmi Mramba ametembelea banda la Maonesho la Kampuni ya Geita Gold Mining...

READ MORE

Makampuni Na Taasisi Arusha Zafurahishwa Na Huduma Ya NBC Connect

Arusha Julai 5, 2023: Taasisi na makampuni wateja wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) mkoani Arusha, wameipongeza benki hiyo...

READ MORE

Jokate Azungumza, Wenyeviti, Watendaji Kata Na Wilaya Ya Korogwe Wakizawadiwa Mitungi Na Majiko Yake 500 Na Oryx

Kampuni ya  Oryx Gas Tanzania Limited imegawa mitungi na majiko yake 500 kwa Wenyeviti na Watendaji wa Vijiji na Kata...

READ MORE

Rostam Azizi aomba Radhi kwa Matamshi Aliyoyatoa kuhusu Majaji wa Tanzania

Mfanyabiashara maarufu hapa nchini, Rostam Azizi hii leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kauli yake ambayo aliitoa mnamo...

READ MORE

Steve Nyerere Atema Nyongo Sakata La Bandari Kuuzwa – Video

Msanii na Mchekeshaji Steve Nyerere amewavaa wanaodai kuwa mkataba wa Bandari siyo rafiki kwa watanzania. Steve amewataka watanazania kuitumia fursa...

READ MORE

Mastaa Simba Waitwa Fasta Kambini Kufanyiwa Vipimo Leo

HABARI kutoka ndani ya Simba, zinasema kuwa, mabosi wa timu hiyo wameamua kuwaita wachezaji wote ili kufanyiwa vipimo vya afya...

READ MORE

RC Chalamila Amuapisha DC Mpya Temeke Mobhare Holmes Matinyi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Julai 4, 2023 amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mobhare...

READ MORE

Yanga Yaitwa Tena Ikulu, Kambini Julai 10, Kuondoka na Ndege Maalum

KLABU ya Yanga imealikwa na Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Taifa hilo zitakazofanyika...

READ MORE

Mfalme wa Zulu Akanusha Madai ya Kupewa Sumu, Asema Afya Yake iko Shwari

Mfalme wa Zulu, mkuu wa ufalme wa kitamaduni wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Afrika Kusini, Misuzulu Kazwelithini alisema Jumatatu “alikuwa...

READ MORE

Manufaa 12 Ambayo Tanzania Itayapata Kutokana na Uwekezaji wa DP World katika Bandari

Zifuatazo ni faida 12 kubwa ambazo Tanzania inatarajia kuzipata kutoka na uwekezaji wa kampuni ya DP World kwenye bandari ya...

READ MORE

Balozi wa Ethiopia atua Mwanza, lengo ni kuwekeza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla amesema ujio wa Balozi wa Ethiopia hapa nchini Shibru Mamo utazidi kuimarisha mahusiano...

READ MORE

Ijue Mbinu Madhubuti ya Kuwadhibiti Wezi Katika Biashara Yako kwa Urahisi

  Kazi yangu ni biashara ya kuuza nafaka mbalimbali hapa mtaa wa Buza, nimeifanya hii kazi kwa miaka sita ambayo...

READ MORE

Wanafunzi Wa VETA Dodoma Wabuni Mtambo Wa Kufua Umeme Wa Maji

Dar es Salaam 3 Julai 2023: Kutoka katika Viwanja vya Mwalimu Juliaus Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini katika maonyesho ya 47...

READ MORE

#Exclusive Video: Mboto; “Mimi Sina Stress, Watoto Wangu Hawasumbui, Badi Alimpiga Mwanae Vichwa 78”…

Mchekeshaji na mwigizaji mahiri Bongo, Mboto anasema tangu alipoanza kuigiza kwenye tamthilia ya Huba, amebadilika vitu vingi kuanzia kwenye sanaa...

READ MORE

Video: Mtoto Akatwa Mguu Baba Aililia Hospitali – “Walishindwa Kutupa Msaada Wa Ambulace, Shida Mil2”

Simulizi ya mtoto huyu, aliyekatwa mguu baada ya kutokea makosa ya madaktari alipoenda kutibiwa, inahuzunisha. Global TV imezungumza na baba...

READ MORE

Polisi wawasaka Washukiwa Baada ya 2 kuuawa, 28 Kujeruhiwa katika Shambulizi la Bunduki mjini Baltimore, Maryland

Maafisa wa Baltimore, jimbo la Maryland, Marekani, wanaendelea kuwatafuta washukiwa wa shambulizi lililotokea mapema Jumapili, wakati wa sherehe zilizofanyika katika...

READ MORE

Uteuzi Wa Wakuu Wa Wilaya Ya Temeke Na Kilindi Watenguliwa

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mwanahamisi Athumani Munkunda na kumteua Mobhare Holmes Matinyi...

READ MORE

Morocco Anukia Geita Gold FC

Siku chache baada ya klabu ya soka ya Geita Gold ya mkoani Geita  kutangaza kuachana na aliyekuwa kocha wake mkuu...

READ MORE