×

Jeshi la Polisi Lamsaka Mwanaume Aliyemtoboa Jicho Mkewe na Kumng’oa Jino

Jeshi la Polisi mkoani Arusha, linamsaka Isaack Mnyagi kwa tuhuma za kumtoboa jicho na kumng’oa meno mkewe, Jackline Mkonyi kwa...

READ MORE

Chama Agawa Tuzo Kwa Mastaa Simba Ligi Kuu Bara

CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji ndani ya kikosi cha Simba ameweka wazi kuwa ikiwa atakosa tuzo ya kiungo bora ndani ya...

READ MORE

Mahakama ya Juu Nigeria Yatupilia Mbali Kesi ya Kutaka Kumuondoa Rais Mteule Bola Tinubu

Mahakama ya Juu nchini Nigeria imetupilia mbali kesi ya kutaka kumuondoa rais mteule Bola Tinubu na mgombea mwenza wake Kashim...

READ MORE

Kocha wa Yanga Ategua Mitego Ya Waarabu Uwanja wa Mkapa, Dar

  KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi amewataka mabeki wake kutofanya makosa yasiyokuwa na ulazima nje ya 18 yatakayosababisha...

READ MORE

Mauaji ya Kimbari nchini Rwanda, Fulgence Kayishema Afikishwa Mahakamani Afrika Kusini

Fulgence Kayishema, mmoja wa watoro wa mwisho waliokuwa wanasakwa kwa kuhusika kwao katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini...

READ MORE

Mwanzo Mwisho Maziko Ya MC Joel Aliyejirusha Ghorofani Dar – Video

Joel Misesemo (MC Joel) aliyefariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza, Makumbusho jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Madaktari bingwa 10 Waliokuwa India Warudi na Shuhuda Nzito Kuhusu Utalii Tiba

·      Wasema huduma walizoona India Tanzania zipo ·      Wampongeza Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa sekta ya...

READ MORE

Chongolo Afunguka “CCM Tunataka Katiba Iliyo Bora”

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema kwa sasa hakuna chama chochote cha Siasa au Mtu yeyote...

READ MORE

Meridianbet Odds Kubwa Wikiendi ya Shangwe

Wikiendi hii ni siku ya sikukuu kwa wapenzi wa kubashiri soka, kasino ya mtandaoni pale Meridianbet, odds kubwa kwenye mechi...

READ MORE

Watu 73 Washikiliwa Na Polisi Kesi Ya Mauaji, Madawa Ya Kulevya – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu, kupitia Opereisheni iliyoanza Mei, 01, 2023 hadi Mei 24, 2023 imefanikiwa kuwadaka watu 73...

READ MORE

Kwa Mbinu Hii, Hakuna Mwanaume Anayeweza Kutoka Kimapenzi na Mke Wangu

  Ukweli ni kwamba hakuna mwanaume yoyote ambaye anapenda sehemu ambayo anachovya asali pia mwanaume mwingine aje achovye asali, tena...

READ MORE

Ulinzi Waongezwa Kambi Ya Yanga Kuelekea Mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika

KUELEKEA mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga imeongeza ulinzi katika kambi yake waliyoiweka huko Kijiji...

READ MORE

Makachero Wa Nabi Wawamaliza Waarabu Fainali ya Kombe la Shirikisho

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameshusha pumzi kuelekea katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya...

READ MORE

Wajawazito Korogwe Kuoneshana Umwamba Kwenye Mbio Za ‘Mamathon’ Mei 28

Tanga: NI Mei 28 Korogwe! Hivyo ndivyo unavyoweza kuelezea tukio kubwa la mbio za wanawake wajawazito ambazo zitafanyika siku hiyo...

READ MORE

Pretty Kind Aachia Video Mpya ya ‘Mungu Baba’ – Video

Mwimbaji wa Gospel na muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amesema anawakaribisha mashabiki wake wote...

READ MORE

Chivaviro Rasmi Ni Mwananchi… Yanga Yawazidi Ujanja Kaizer Chief Kutambulishwa

DEAL Done! Rasmi sasa mshambuliaji wa Marumo Gallants ya nchini Afrika Kusini, Ranga Chichaviro amemalizana na uongozi wa Yanga huku...

READ MORE

Mtuhumiwa wa Mauaji ya Halaiki ya Rwanda Akamatwa Afrika Kusini

Fulgence Kayishema, mmoja wa washukiwa wanaosakwa sana wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya halaiki ya Rwanda mwaka 1994, amekamatwa katika mji...

READ MORE

Caf Wampa Kiburi Robertinho Simba Kumsajili Mchezaji yeyote Atakayemtaka

UONGOZI wa Simba, umemuhakikishia kocha mkuu wa timu hiyo, Mbrazil, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ wataweza kumsajili mchezaji yeyote atakayemtaka kuelekea katika...

READ MORE

Wabunge wa Marekani waondoka Washington bila maafikiano ya kikomo cha kukopa

Rais wa Marekani Joe Biden alisema Alhamisi kwamba mazungumzo na wabunge wa chama cha Republican ya kuongeza kikomo cha kukopa...

READ MORE

Mashtaka Sita Yanayomkabili Staa wa Yanga Feisal Haya hapa

BARUA ambayo imevuja iliyoelekezwa kwa Feisal Salum Abdalla, Mei 16, 2023 alipokea barua ya malalamiko kutoka kwa uongozi wa klabu...

READ MORE