×

Shule ya Sekondari Kingani Yapewa Msaada wa Kuchimbiwa Visima

  Shule ya Sekondari Kingani iliyopo Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, jana imepata faraja kubwa baada kuzinduliwa visima viwili vya maji...

READ MORE

Rais Samia, Museveni Wazindua Mradi wa Umeme wa Kikagati – Murongo (Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan leo Mei 25, 2023 amezindua Mradi wa Umeme wa Kikagati...

READ MORE

Simba Yamtangaza Mkuu wa Kitengo cha Kusaka Vipaji (Skauti)

Klabu ya Simba imemtangaza Mels Daalder kuwa Mkuu wa kitengo cha kusaka vipaji (Skauti) wa klabu hiyo kuelekea dirisha la...

READ MORE

Baba wa Aliyejirusha Ghorofani Afunguka Aeleza Tukio lilivyokuwa – Video

Global TV imefika nyumbani kwa Joel, mwanaume aliyefariki dunia juzi, Mei 23, 2023 katika kile kinachodaiwa kuwa ni kujirusha kutoka...

READ MORE

Rais Dk. Mwinyi Ahitimisha Ziara Yake Nchini Qatar, Azungumza na Diaspora

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amehitimisha ziara yake ya siku nne Doha,...

READ MORE

Wakulima wa Ufuta Songwe Wafurahia Ongezeko la Bei ya Zao Hilo Sokoni

  Wakulima wa zao la ufuta mkoa wa Songwe wameanza kuona tija ya kuzalisha zao hilo baada ya kuuza Sh...

READ MORE

Serikali Ya China Yapongezwa Kukuza Somo la Lugha ya Kichina Hapa Nchini

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Carolyne Nombo ameishukuru Serikali ya China kwa juhudi inazoonesha katika kuhakikisha...

READ MORE

Marekani: Desantis Atangaza Atawania Uteuzi wa Chama cha Republican ili Kugombea urais

Baada ya miezi kadhaa ya matarajio, Gavana wa Florida nchini Marekani Ron DeSantis aliingia rasmi katika kinyang’anyiro cha mchujo wa...

READ MORE

Straika Aaga Kwao DR Congo, Rasmi Kutua Simba

RASMI mshambuliaji wa AS Vita ya DR Congo, Eric Kabwe ameaga ndani ya timu hiyo huku akiweka wazi hatakuwepo kwani...

READ MORE

Tanzia: Mwanamuziki Tina Turner Afariki Dunia Nchini Uswisi

Nyota huyo mkongwe wa Muziki wa Rock ‘n’ Roll, Tina Turner amefariki nyumbani kwake huko Kusnacht Nchini Uswisi akiwa na...

READ MORE

Yanga Wazua Hofu Kambi ya USM Alger Kuelekea Mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho

HOFU ndani ya kambi ya wapinzani wa Yanga, USM Alger, imetanda kuelekea mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika,...

READ MORE

Mfuasi wa Trump Ahukumiwa miaka 4 na nusu Gerezani kwa Kuvamia Bunge

Mtu mmoja kutoka jimbo la Arkansas hapa Marekani aliyepigwa picha akiwa ameweka miguu yake juu ya dawati, katika afisi ya...

READ MORE

Mjane wa Watoto 19 Amliza Afisa Masoko Meridianbet

Mama Mjane mwenye familia ya watoto 19 Mary Masanja amejikuta akimtoa machozi Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Matina...

READ MORE

Rais Samia Amuapisha Said Mohamed Mtanda Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuapisha Said Mohamed Mtanda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara,...

READ MORE

Kocha Mkuu wa Simba Atembea Na Faili La Usajili Msimu Ujao

UONGOZI wa Simba, umeibuka na kutamba kuwa, tayari Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ tayari ana majina...

READ MORE

Rais Samia Atamani Tanzania Kuwa Mwenyeji Wa Afcon 2027 – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kupitia Pamoja Bid...

READ MORE

Valencia Yapigwa Faini na Kufungwa kwa sehemu ya Uwanja kwa Mechi zao tano

Valencia imefungwa kwa sehemu ya uwanja katika mechi tano kufuatia zijazo kufuatia dhuluma ya kibaguzi aliyofanyiwa mshambuliaji wa Real Madrid...

READ MORE

Lifti Yakatika Kutoka Ghorofa Ya 10, Saba Wajeruhiwa, Kamanda Azungumza -Video

Lifti katika jengo la LAPF Millenium Tower lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam, imeporomoka ikiwa na watu ndani na kusababisha...

READ MORE

Mama Mkwe Ameniingiza Kwenye Matatizo Mpaka Tukafumwa na Mke Wangu

Kwa hakika mama mkwe ni mtu ambaye anapaswa kuheshimika kivyovyote vile, ni mtu anayeweza kutoa ushauri katika ndoa ili kuepuka...

READ MORE

Kamati Mpya ya Ushauri wa Kisekta ya ‘MUHAS’ Yatakiwa  Kutoa Maoni Ya Kuboresha  Mitaala Mipya

Kamati mpya ya Ushauri wa Kisekta ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) imetakiwa  kutoa maoni na ushauri...

READ MORE