×

Fundi Ujenzi Amnyonga Mkewe Kisha Kujinyonga, Ndugu Wafunguka – Video

Fundi Ujenzi, Iddi Saidi Kindula (37), mkazi wa Madale jijini Dar es Salaam anadaiwa kumuua mkewe, Tukae Seif Ramadhani (16),...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Watumishi nane Kuwa Mabalozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewateua watumishi wafuatao kuwa Mabalozi i) Meja Jenerali Ramson Godwin...

READ MORE

Exclusive Video: Femi Wa Juakali Amkataa Lucas – “Watu Wanatamani Tuoane, Sijawahi Kutamani”…

Kwenye EXCLUSIVE ZA IMELDA, leo tunaye mwigizaji wa Tamthiliya ya Juakali, Femi ambaye anasema hajawahi kutamani ku-date na mwigizaji mwenzake,...

READ MORE

ITM Tanzania Yaadhimisha Miaka 5 Wakati Serikali Ikiahidi Kuwezesha Sekta Ya Rasilimali Watu

Dar es Salaam. Ijumaa Mei 19, 2023. Katika jitihada za kuibua na kuhakikisha ukuaji wa vipaji vya ndani katika soko...

READ MORE

Pia Premium ya Meridianbet Ushindi Kirahisi

  Teknolojia inakuwa kila siku, Meridianbet kila siku inawapatia wateja huduma nzuri, kila siku michezo mipya ya kasino ya mtandaoni...

READ MORE

Wanafunzi Kidato Cha Sita St Anne Marie Academy Daraja la kwanza Kuzawadiwa Simu Janja ya iphone

  WANAFUNZI wa shule ya St Anne Marie Academy watakaofiwa na wazazi wakiendelea na masomo hawatafukuzwa shule na badala yake...

READ MORE

Singida Big Stars, Yanga Kinawaka Leo Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup

BENCHI la Ufundi la Singida Big Stars, limeweka wazi kuwa lipo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa nusu...

READ MORE

Singida BS Jiandaeni… Nabi Ashusha Full Kikosi Cha Caf

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewaambia wapinzani wake Singida Big Stars kuwa wanalitaka Kombe la FA, hivyo hawatawadharau huku...

READ MORE

Baada Ya Kurudi Kambini… Mbrazil Simba Atangaza Balaa Zito

BAADA ya kumaliza mapumziko ya siku nne na kikosi chake kurejea rasmi kambini, Kocha mkuu wa Simba, Mbrazil Roberto Oliviera...

READ MORE

Chama, Aziz KI Kivumbi Kwenye Msako wa Kiungo Bora Ligi Kuu Bara

STEPHANE Aziz Ki, kiungo wa Yanga na Clatous Chama wa Simba, ni miongoni mwa viungo watakaotimua kivumbi kwenye msako wa...

READ MORE

DRC: Naibu Waziri Ashutumiwa Kupewa Mimba na Bosi wake, Waziri wa Elimu Afunguka

Waziri wa Elimu ya Msingi ya Sekondari na Ufundi (EPST), Tony Mwaba Kazadi amedaiwa kumpa ujauzito Naibu Waziri wake, Aminata...

READ MORE

Mayele Aitikisa Afrika Ofa nne Zatua Mezani mwa Yanga

JUMLA ya ofa nne zipo mezani mwa Yanga, kutoka klabu tatu kubwa Afrika zikimuhitaji mshambuliaji wa timu hiyo, Mkongomani Fiston...

READ MORE

Sauti Sol Watangaza Kutengana Baada ya Kuwa Pamoja kwa Miaka 20

KUNDI la muziki nchini Kenya, Sauti Sol linaloundwa na Mastaa wa kiume wanne kutoka Kenya, Bien-Aime Baraza, Willis Chimano, Polycarp...

READ MORE

Mbunge Shigongo Akutana na Waandishi Wa Habari Wa Mkoa wa Iringa Bungeni

Waandishi wa habari kutoka Mkoa wa Iringa waliokuwa Bungeni kufuatilia hotuba ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tknolojia ya Habari,...

READ MORE

Mabibo Boys Yaipongeza Meridianbet kwa Wanachokifanya Kwenye Jamii

TIMU ya Mabibo Boys pamoja na uongozi wake mzima umeipongeza Meridinabet kwa kuwafikia na kuwajali kwa namna moja ma nyingine...

READ MORE

TAWA Yawaonya Watoto, Wazee Na Wajawazito Marufuku Kufukuza Tembo

Morogoro, 18 Mei 2023: Mamlaka ya Usimamizi Wanyama Pori Tanzania (TAWA) imetoa tahadhari kwa wananchi wanaopakana na mapori ya akiba...

READ MORE

Jaji Mahakama Kuu Atoa Neno Usalama Wa Wafanyakazi na Miundombinu Ya Serikali

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro, Mhe. Paul Ngwembe, ametoa wito kwa viongozi wa Taasisi mbali mbali za...

READ MORE

Mbunge Salim Wa Ulanga Awataka TFS Kuwapa Elimu Bodaboda Ili Wasisumbuane

Morogoro 18 Mei 2023: Mbunge wa Jimbo la Ulanga mkoani Morogoro, Mhe. Salim Alaudin Hasham Almas amewaomba Wakala wa Huduma...

READ MORE

Vodacom Yashirikiana Na TECNO Uzinduzi Camon 20

Meneja Bidhaa za Internet kutoka Vodacom, Samweli Mlole (katikati) na maofisa wa TECNO wakionyesha simu hiyo. Dar es Salaam 20...

READ MORE

Mbowe Atikisa Mkutano wa Hadhara Kasulu, Kigoma

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amekonga umati mkubwa wa wananchi wa Wilaya ya Kasulu Mkoani...

READ MORE