×

Mke Wangu Aliyefariki Dunia kwa Ajali ya Gari, Ananitokea Ndotoni Usiku Nikilala

  Naitwa Juma kutoka Ichenjezya, Mbozi mkoani Songwe, nimekuwa na changamoto nyingi sana katika maisha yangu, ila kuna changamoto moja...

READ MORE

Aucho: Tulieni, Makombe Mengine Yanakuja Yanga

KIUNGO mkongwe mkabaji raia wa Uganda, Khalid Aucho amesema kuwa bado wana deni kubwa kwa mashabiki wa timu hiyo, la...

READ MORE

Benki Ya NBC Yatoa Gawio La Shilingi Bilioni 6 Kwa Serikali

Dar es Salaam Mei 17, 2023:  Benki ya NBC leo imetoa gawio la shilingi bilioni 6 kwa Serikali, ikiwa ni...

READ MORE

Straika Mzambia Apewa Kazi Maalum Yanga Dhidi ya Marumo Gallants

KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi amesema kuwa hana hofu ya kupoteza mchezo wa marudiano dhidi ya Marumo Gallants...

READ MORE

Kiungo Mshambuliaji Aigomea Simba, Atua Jeshini

IMETHIBITISHWA kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Hassani Dilunga amekataa ofa ndogo ya kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kukipiga hapo huku...

READ MORE

Mtoto afariki na watu 23 hawajulikani walipo baada ya kiboko kugonga mtumbwi Malawi

Mtoto mchanga amefariki na watu wengine 23 hawajulikani walipo baada ya kiboko kugonga mtumbwi waliokuwa wakisafiria katika Mto Shire nchini...

READ MORE

Msafara wa Ubalozi wa Marekani Washambuliwa, Watu Wanne Wauawa

Watu wenye silaha Jumanne walishambulia msafara wa wa magari ya Marekani katika jimbo la kusini mashariki mwa Nigeria la Anambra,...

READ MORE

Picha: Mazishi ya Bernard Membe Yalivyofanyika Kijijini Kwao Rondo

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kuongoza mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard...

READ MORE

Kamanda Muliro Atoa Onyo Kali… Hatawavumilia Watakaowasumbua Wafanyabiashara -Video

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema Jeshi la Polisi halitawavumilia watu watakaowasumbua wafanyabiashara walioamua...

READ MORE

Nusu Fainali UCL & Europa 2023 Patachimbika

Mbio sakafuni huishia ukingoni, hatimaye safari ndefu ya kumtafuta bingwa mpya wa Ligi ya Mabingwa na Uropa Ligi inaelekea ukingoni....

READ MORE

Bosi Simba: Baleke Haendi Popote Baada ya Kutakiwa na Timu za Ulaya

KUFUATIA kuzagaa kwa tetesi kuwa kuna timu kutoka barani Ulaya zimeonyesha nia ya kumsajili straika wa Simba, Jean Baleke, uongozi...

READ MORE

Mbunge Aliyeruka Sarakasi Bungeni Atishia Kuruka Tena Kwenye Bajeti Ya Wizara Ya Ujenzi Na Uchukuzi -Video

Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay atishia kuruka sarakasi ili suala la barabara ya lami kujengwa katika baadhi ya sehemu...

READ MORE

Mandonga Afichua Siri Suti Ya Laki 7 Aliyotinga Nayo Bungeni – Video

Bondia Karim Mandonga amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa ikitokea akastaafu Ubondia atakuwa mchekeshaji kwani anaonekana kuwa na...

READ MORE

Mwanamke Ashitakiwa kwa Utapeli wa Kimapenzi Marekani

MWANAMUZIKI mwenye ushawishi wa Ghana ambaye pia ni maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii Mona Faiz Montrage, al maarufu Hajia4Real,...

READ MORE

Chama Atoa Kauli Ya Kutisha Simba Baada ya Kukosa Mataji Msimu Huu

KIUNGO mshambuliaji wa Simba Mzambia, Clatous Chama amewaomba msamaha mashabiki wa timu hiyo, baada ya kukosa mataji katika msimu huu...

READ MORE

Wafanyabiashara Kariakoo Wakubali Kuendelea Na Biashara

Jumuiya ya Wafanyabiashara wa soko la Kimataifa la Kariakoo wamekubali kuendelea kufanya biashara katika soko hilo baada ya Serikali kuridhia...

READ MORE

Mkuu wa Jeshi la Sudan Azuia Akaunti za Benki za Mpinzani wake wa RSF

Mkuu wa jeshi la Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ametoa agizo la kufungia akaunti za benki za kundi la wanamgambo...

READ MORE

Hizi Hapa Mashine 5 Za Kuwaua Marumo Mchezo wa Marudiano Afrika Kusini

KUELEKEA mchezo wao wa nusu fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika itakayopigwa kesho Jumatano dhidi ya Marumo Gallants...

READ MORE

Rais Ruto Apokea ombi la Pamoja la Kenya, Uganda na Tanzania Kuandaa Afcon 2027

Rais William Ruto wa Kenya Jumatatu alipokea ombi la pamoja la Kenya kuandaa Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027...

READ MORE

Chalamila Mkuu Mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Achukua Nafasi ya Amos Makalla

Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa wanne ambapo amemhamishia jijini Dar es Salaam, Albert Chalamila aliyekuwa...

READ MORE