×

Mbunge wa Mbarali Francis Mtega Aibua Madai Mazito Bungeni – Video

Mbunge wa Mbarali, Francis Mtega ameibua madai mazito bungeni, akiwatuhumu askari wa wanyamapori (TANAPA), kuwafanyia ukatili mkubwa wananchi, kwa madai...

READ MORE

Wanaume Wote Walionikimbia Kisa Mvuto Sasa Wanataka Kurudiana na Mimi

Urembo huwa jambo la muhimu kwa kila mwanamke hasa pale anapotafuta mwanaume wa kuanzisha naye uhusiano, wanaume wengi hupenda mwanamke...

READ MORE

Elon Musk Amteua Mkuu Mpya wa Twitter Kuchukua Nafasi Yake

Elon Musk amesema kwamba amempata Mtendaji Mkuu mpya wa kuongoza Twitter. Alitangaza habari hizo kwenye mtandao wa kijamii, alioununua mwaka...

READ MORE

Furahia Sloti za Meridianbet Kasino; Sloti ya Circus Fever Deluxe

Safari ya mafanikio huanza kwa vikwazo vingi mtu wangu ukikata tamaa unaishia njiani, Meridianbet Kasino ya Mtandaoni inarahisisha safari yako...

READ MORE

Kocha Nabi Akiri Kikosi Chake Kuwa Na Matatizo Aongea Kiswahili “Kazi Bado” – Video

BENCHI la Ufundi la Yanga, limeweka wazi kuwa, lazima licheze michezo yote kwa ufasaha mkubwa na hawatategemea matokeo ambayo watayapata...

READ MORE

Naibu Spika wa Bunge Amuonya Mbunge wa Tarime, Mwita Waitara – Video

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azan Zungu, amemuonya Mbunge wa Tarime, Mwita Waitara na...

READ MORE

Simba Yawapigia Hesabu Wajeda Kwenye Mchezo wa Ligi Kuu

  BAADA ya kupoteza kwenye hatua ya nusu fainali dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la...

READ MORE

Mkali Wa Dansi Adolf Mbinga Ana Hali Mbaya Kiafya, Alia Na Wadau Wa Muziki – Video

 Msanii maarufu wa bendi hapa nchini, Adolph Mbinga, yuko kwenye hali ngumu, baada ya kusumbuliwa na ugonjwa takribani miezi...

READ MORE

#Exclusive Video: Dorah Amwaga Machozi, Aeleza Anavyotamani Mtoto – ”Napenda, Ikitokea Inshallah”…

Kwenye Exclusive na @imeldamtema amekutana na kupiga stori na msanii maarafu wa filamu @dorahofficial ambaye amefunguka mambo mengi ikiwa ni...

READ MORE

Watu Wengine Kumi Wafariki Katika Maporomoko ya Ardhi DRC

Watu kumi wamefariki katika maporomoko ya ardhi baada ya mvua kubwa kunyesha huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,...

READ MORE

Spika Tulia Ackson Awaonya Wabunge Kuvua Nguo Bungeni

Wabunge wa Tanzania wameonywa kutovua nguo zozote wanapokuwa bungeni. Spika Tulia Ackson alitoa onyo hilo baada ya Mbunge Mwita Waitara...

READ MORE

GGML Kili Challenge-2023 kukusanya bilioni 2 kudhibiti VVU/UKIMWI

  NA MWANDISHI WETU KAMPENI ya GGML Kili Challenge inayoratibiwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana...

READ MORE

Jimmy Khalili; Kutoka Gerezani Mpaka Kuwa Kinyozi Maarufu Nchini Italia

Baada ya kutoka gerezani na kuhama kutoka nchi yake ya Nigeria, kijana Jimmy Khalili almaarufu 360Kuts alihamia nchini Italia ambapo...

READ MORE

Panga Zito Lapita na Wachezaji Tisa Simba Kuingiza Majembe Mapya

SIMBA hawataki utani, haraka wamepanga kuchukua maamuzi magumu ya kuachana na wachezaji tisa kuelekea msimu ujao, huku wakiingiza majembe mapya....

READ MORE

Kitawaka Leo Uwanja wa Mkapa Yanga Yawapania Marumo Gallants ya Nchini Afrika Kusini

BENCHI la Ufundi la Yanga lililo chini ya Kocha Mkuu Mtunisia, Nasreddine Nabi limepangua mtego waliouweka wapinzani wao Marumo Gallants...

READ MORE

Trump Kulipa Fidia ya Dola Milioni 5 kwa Kumnyanyasa Kingono Mwanamke

Baraza hilo lenye wajumbe tisa, wanaume sita na wanawake watatu, lilifikia uamuzi wake baada ya saa tatu ya mashauriano, mara...

READ MORE

Benchi La Ufundi Simba Kikaangoni Bodi ya Wakurugenzi Kukutana

BODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, imepanga kukutana kwa ajili ya kulifanyia tathimini Benchi la Ufundi la timu hiyo,...

READ MORE

Uturuki Yaongeza Mishahara ya Wafanyikazi wa Umma kwa 45%

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan ameangaza nyongeza ya asilimia 45 ya mshahara kwa wafanyikazi wa umma 700,000 siku tano...

READ MORE

Hakielimu Yaishauri Serikali Kuongeza Bajeti Ya Elimu

TAASISI ya HakiElimu imeitaka Serikali kuongeza Bajeti ya Sekta ya Elimu ili kiwango cha fedha inayotengwa iwiane na viwango vilivyopendekezwa...

READ MORE

Wakaguzi wa Ndani Waanza Maadhimisho ya Mwezi wa Wakaguzi

TAASISI ya Ukaguzi wa ndani Tanzania (IIA) imeanza kuanzimisha mwezi wa wakaguzi wa ndani ulimwenguni ambao huadhimishwa kila ifikapo Mwezi...

READ MORE