×

Video: Sakata La Bonde Mzimbazi, Wananchi Wamlilia Rais Samia – ”Nyumba Vyumba 15 Nimelipwa Mil 8”…

KUFUATIA sakata linaloendelea juu ya wananchi wanaotakiwa kulipwa fedha kwa ajili ya kuondoka eneo hilo, wananchi wameibuka tena na kuzungumza….

READ MORE

Mabosi Yanga Watoa Kauli Ya Kutisha Kombe la Shirikisho

WAKATI jana wakicheza mechi yao ya tano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Monastir ya Tunisia, uongozi wa...

READ MORE

Kisa 7-0 Za Horoya Ligi ya Mabingwa… Bosi Simba Awatumia Ujumbe Yanga

KUFUATIA kufanikiwa kutinga robo fainali kwa kishindo cha mabao 7-0 dhidi ya Horoya, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba,...

READ MORE

Polisi Kenya Wakataa Maandamano ya Chama cha Raila Odinga Kesho Nairobi

Polisi wa Kenya Jumapili wamepiga marufuku wa wapinzani kufanya maandamano kutokana na kupanda kwa gharama za maisha wakisema maombi ya...

READ MORE

Watu 15 Wafariki Dunia kwa Tetemeko la Ardhi Ecuador

Takriban watu 15 wamefariki dunia Jumamosi mchana baada ya kutokea tetemeko la ardhi lenye nguvu ambalo lilitikisa mataifa ya Ecuador...

READ MORE

Mradi Wa Uwezeshaji Wa Wasichana Na Wanawake Vijana Washinda Tuzo Katika Jukwaa La WSIS 2023

Mpango wa Tigo wa Uwajibikaji kwa Jamii kwa kushirikiana na Apps and Girls, shirika lisilo la kiserikali nchini limeibuka mshindi...

READ MORE

SBL Yakabidhi Pikipiki Na Zawadi Kadhaa Kwa Washindi Wa Kampeni Pilsner

Dar es Salaam, Monday March 20th, 2023: Serengeti Breweries Limited (SBL) kupitia kampeni ya bia yake ya Pilsner lager iliyopewa...

READ MORE

SBL Yamuaga Ocitti, Yabainisha Mafanikio Yake

Dar es Salaam. Jumapili, Machi 19, 2023. Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imesaidia mamia ya wakulima kote nchini na...

READ MORE

Kamati Ya Kudumu Ya Bunge ya Miundombinu Yavutiwa Na Maendeleo Ujenzi BRT II

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Selemani Kakoso imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya miundombinu inayosimamiwa na Wakala wa...

READ MORE

Rais Samia Awapisha Makatibu Tawala wa Mikoa na Kamishna wa Dawa za Kulevya Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Makatibu Tawala Mikoa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya...

READ MORE

Unataka ushindi Mkubwa, Njoo Huku | Expanse Kasino

Kila siku Meridianbet wanatoa pesa kibao kupitia michezo yake ya Kasino ya mtandaoni ambayo kwa dau dogo tu unaweza kutimiza...

READ MORE

Mayele Awaita Mashabiki wa Yanga kwa Mkapa leo Dhidi ya US Monastir

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Kalala Mayele, amesema wanachotakiwa kukifanya mashabiki wa timu hiyo ni kuhakikisha wanajaa katika Uwanja wa Mkapa,...

READ MORE

Video: Dk Mwaka Adaiwa Kumtimua Mpangaji Usiku, Amtolea Vitu Nje, Mke Wake Ashindwa Kuzungumza…

GLOBAL TV imefika kwenye nyumba aliyokuwa anaishi mke wa Dk Mwaka anayejulikana kama Queen maeneo ya Ilala Sharif Shamba jijini...

READ MORE

Messi Abakishwa PSG Apokea Ofa ya Mkataba Mpya, Barcelona Yatajwa

INAELEZWA kuwa, Lionel Messi amepokea ofa ya mkataba mpya ndani ya Paris Saint-Germain, huku ikibainishwa kwamba staa huyo hajaomba mshahara...

READ MORE

Simba Yaifanyia Balaa Zito Horoya AC, Yatinga Robo Fainali Ligi ya Mabingwa

SIMBA wanawaambia semeni tena juu ya timu yao kwamba haifungi mabao mengi, hiyo ni baada ya jana kufanya balaa zito...

READ MORE

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump Asema Anatarajia Kukamatwa Siku ya Jumanne

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump anasema anatarajia kukamatwa Jumanne katika kesi kuhusu madai ya pesa inayosemekana ililipwa kwa...

READ MORE

Majaliwa Awataka Ma-Dc Kusimamia Ajenda za Kitaifa na Kufuata Maono ya Rais Samia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Wilaya nchini wakasimamie ajenda za kitaifa ikiwemo ya mapambano dhidi ya rushwa. Amewataka...

READ MORE

Kwa Walichopanga Monastir, Yanga Washindwe Wao Uwanja wa Mkapa Kesho

MSAFARA wa wachezaji, Benchi la Ufundi na Uongozi wa US Monastir ya nchini Tunisia umetua alfajiri ya jana Ijumaa huku...

READ MORE