×

Chongolo Aanza Ziara Mkoani Manyara Kupokea na Kutatua Kero za Wananchi

SEKRETARIETI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo leo imeanza ziara mkoani Manyara ya...

READ MORE

PEP Guardiola Aitaja Arsenal Kuwa Timu Bora Premier League Msimu Huu

PEP Guardiola ameitaja Arsenal kama timu bora msimu huu ndani ya Premier League, ikiwa inaikimbiza Manchester City katika kuwania ubingwa....

READ MORE

Chama cha soka Simiyu wafanya maboresho ya katiba

Chama cha soka mkoa wa Simiyu (SIFA) March 4 mwaka huu  kilifanya mkutano mkuu wa kawaida ambapo pamoja na mambo...

READ MORE

Wapinzani Siyo Maadui-Rais Samia

“Mtanzania yoyote, awe chama chochote cha siasa. Tunachotofautiana ni mawazo tu na fikra. Mimi sichukulii wapinzani kama maadui, nawachukulia kama...

READ MORE

Moses Phiri Awachimba Mkwara Mzito Vipers wanakufa kwa Mkapa

KUELEKEA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Vipers utakaopigwa keshokutwa Jumanne, staa wa kimataifa wa Simba raia wa...

READ MORE

Taasisi ya Elimu (TET) Yatoa Ufafanuzi Madai ya Kitabu cha Hisabati Kukosewa

Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), imetoa ufafanuzi wa taarifa iliyochapishwa na gazeti moja la kila siku likiwa na kichwa cha...

READ MORE

GGML Yaahidi Kuendelea Kushirikiana na Serikali, Yachangia 40% Mapato ya Dhahabu

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeeleza kuridhishwa na juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuvutia wawekezaji na kuboresha...

READ MORE

SBL Yakabidhi Pikipiki Na Zawadi Kadhaa Kwa Washindi Wa Kampeni ya Pilsner Mikoa Mitatu

Dar es Salaam, Jumamosi Machi 04th, 2023: Serengeti Breweries Limited (SBL) kupitia kampeniya  bia yake ya Pilsner lager iliyopewa jina la...

READ MORE

Klopp Awaonya Mastaa Wake Dhidi ya Manchester United Leo Jumapili

BOSI wa Liverpool, Jurgen Klopp, amefunguka kuwa, ni lazima wajipange dhidi ya Manchester United kwani kwenye kikosi cha wapinzani wao,...

READ MORE

Rais wa Ufaransa Azungumza Na Kagame, Tshisekedi, Asifu “Makubaliano Ya Kusitisha Mapigano DRC Kuanzia”

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, akiwa nchini DRC, kituo cha mwisho cha ziara yake barani Afrika, amesema kuwa pande zote...

READ MORE

Video: Chapride Kampuni Ya Kitanzania, Madereva Wamwagiwa Mikopo, Abiria Ni Mserereko…

Chapride imesambaa kila kona jijini Dar es Salaam na wikiendi hii, ofa ya usafiri BURE inaendelea kama kawaida. Kama wewe...

READ MORE

Fiston Mayele na Clement Mzize Wagawana Ufalme Yanga Mashabiki Watamba

YANGA kwa sasa wanaringa kwa kuwa safu yao ya ushambuliaji inafunga mabao jambo ambalo ni furaha kwa benchi la ufundi...

READ MORE

Lema Awajibu Viongozi Wa Bodaboda – “Najua Gambo Yupo Nyuma Yao, Umaskini Ni Laana, Zifutwe Kote”- Video

MWANASIASA maarufu nchini Tanzania, Godbless Lema ameendelea kusimamia msimamo wake juu ya madereva wa bodaboda…

READ MORE

Joe Biden Aondolewa Uvimbe Kwenye Ngozi Wenye Saratani, White House Yafunguka

Rais wa Marekani Joe Biden ameondolewa uvimbe wa kwenye ngozi wenye saratani mwezi uliopita wakati wa uchunguzi wa kawaida wa...

READ MORE

Kocha Mualgeria Akabidhiwa Taifa Stars Achukua Mikoba ya Kim Poulsen

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limemtangaza Adel Amrouche kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Kocha...

READ MORE

Nafasi za Kazi Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Director Safety Regulation

POST DIRECTOR SAFETY REGULATION(RE-ADVERTISED) – 1 POST EMPLOYER Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) APPLICATION TIMELINE: 2023-02-22 2023-03-07 JOB...

READ MORE

Kampuni 3 Bunifu Za Kiteknolojia Zaibuka Washindi Wa Vodacom Digital Accelerator

Dar es Salaam – March 3, 2023. Kampuni 3 bunifu chipukizi kwenye masuala ya kiteknolojia zimeibuka washindi wa programu ya msimu wa pili ya Vodacom Digital Accelerator. Washindi hawa walipatikana baada ya mchuano mkali na kuwasilisha shughuli za kampuni zao mbele ya majaji wabobevu na kupitia mchakato wa kupigiwa kura, ambapo watazawadiwa zaidi ya Shilingi milioni 200 za Kitanzania, zikiwa ni katika...

READ MORE

Waganda Wamuondoa Kibu Simba Ligi ya Mabingwa Afrika

MSHAMBULIAJI wa Simba, Kibu Denis atakosekana ndani ya kikosi cha timu hiyo kwa muda wa wiki mbili kufuatia kuumia goti...

READ MORE

Kocha wa Yanga Ategua Mitego Ya Real Bamako Uwanja wa Mkapa jijini Dar

WAMEKWISHA! Ndio utakavyoweza kusema ni baada ya Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi kuwajua wachezaji wawili wa kuchungwa wakati...

READ MORE

Upinzani Nigeria Kupinga Matokeo ya Uchaguzi Mahakama Kuu

Majimbo sita yanayoongozwa na upinzani nchini Nigeria yameiomba mahakama ya juu kutupilia mbali matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika mwishoni...

READ MORE