×

GGML Kili Challenge-2023 kukusanya bilioni 2 kudhibiti VVU/UKIMWI

  NA MWANDISHI WETU KAMPENI ya GGML Kili Challenge inayoratibiwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana...

READ MORE

Jimmy Khalili; Kutoka Gerezani Mpaka Kuwa Kinyozi Maarufu Nchini Italia

Baada ya kutoka gerezani na kuhama kutoka nchi yake ya Nigeria, kijana Jimmy Khalili almaarufu 360Kuts alihamia nchini Italia ambapo...

READ MORE

Panga Zito Lapita na Wachezaji Tisa Simba Kuingiza Majembe Mapya

SIMBA hawataki utani, haraka wamepanga kuchukua maamuzi magumu ya kuachana na wachezaji tisa kuelekea msimu ujao, huku wakiingiza majembe mapya....

READ MORE

Kitawaka Leo Uwanja wa Mkapa Yanga Yawapania Marumo Gallants ya Nchini Afrika Kusini

BENCHI la Ufundi la Yanga lililo chini ya Kocha Mkuu Mtunisia, Nasreddine Nabi limepangua mtego waliouweka wapinzani wao Marumo Gallants...

READ MORE

Trump Kulipa Fidia ya Dola Milioni 5 kwa Kumnyanyasa Kingono Mwanamke

Baraza hilo lenye wajumbe tisa, wanaume sita na wanawake watatu, lilifikia uamuzi wake baada ya saa tatu ya mashauriano, mara...

READ MORE

Benchi La Ufundi Simba Kikaangoni Bodi ya Wakurugenzi Kukutana

BODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, imepanga kukutana kwa ajili ya kulifanyia tathimini Benchi la Ufundi la timu hiyo,...

READ MORE

Uturuki Yaongeza Mishahara ya Wafanyikazi wa Umma kwa 45%

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan ameangaza nyongeza ya asilimia 45 ya mshahara kwa wafanyikazi wa umma 700,000 siku tano...

READ MORE

Hakielimu Yaishauri Serikali Kuongeza Bajeti Ya Elimu

TAASISI ya HakiElimu imeitaka Serikali kuongeza Bajeti ya Sekta ya Elimu ili kiwango cha fedha inayotengwa iwiane na viwango vilivyopendekezwa...

READ MORE

Wakaguzi wa Ndani Waanza Maadhimisho ya Mwezi wa Wakaguzi

TAASISI ya Ukaguzi wa ndani Tanzania (IIA) imeanza kuanzimisha mwezi wa wakaguzi wa ndani ulimwenguni ambao huadhimishwa kila ifikapo Mwezi...

READ MORE

PanAfrican Energy Tanzania Yakabidhi Majengo Ya Kituo Cha Afya Kwa Wilaya Ya Kilwa

Kilwa, Lindi Mei 5, 2023. Kampuni ya PanAfrican Energy Tanzania (“PAET”) inayofuraha kutangaza kuwa imemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kilwa...

READ MORE

NMB, ZIPA Zasaini Makubaliano ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar

KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kuharakisha maendeleo ya kiuchumi, Benki ya NMB na Mamlaka...

READ MORE

Tantrade na TCCIA Zafungua Fursa za Soko Huru La Afrika (AfCFTA)

Leo tarehe leo 9 Mei, 2023  katika ofisi za TCCIA Kaimu Mkurugenzi Ukuzaji Biashara wa Mamlaka ya Maendeleo ya biashara...

READ MORE

Nafasi za Kazi 11 za Wahudumu wa Ndege Kutoka Job Junction Tanzania

FLIGHT ATTENDANTS (11) Details Business name : JOB JUNCTION TANZANIA Work Type : Full Time Years of Experience: 1 year...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Zamani wa Pakistan Imran Khan Akamatwa Nje ya Mahakama

Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan amekamatwa na maafisa wa kijeshi nje ya mahakama mjini Islamabad. Khan alikuwa...

READ MORE

Aviator ya Meridianbet Yampa Utajiri Mshindi wa Tsh Milioni 60,000,000/=

Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet kupitia mchezo pendwa Zaidi kwa majokeri Aviator/ kindege, umefanikiwa kumzawadia Mamilioni ya pesa bingwa huyo....

READ MORE

Yanga Yawashtukia Wasauz Wapewa Mchongo wa Kuimaliza mechi Dar

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameshtuka mapema baada ya kuwaambia washambuliaji wake, Fiston Mayele na Kennedy Musonda kuwa, wanapaswa...

READ MORE

Wavuvi Watatu Wafariki na Wengine Watatu Wanusurika Kifo Mkoa wa Geita

Wavuvi watatu wamefariki dunia na wengine watatu wamenusurika kifo baada ya mtumbwi waliokuwa wakiutumia kuvulia samaki kuingiliwa maji na kuzama...

READ MORE

Bosi wa Manchester City Atangaza Kikao Na Mastaa Wake Kufanya Uamuzi

BOSI wa Manchester City, Pep Guardiola, amesema atakaa na wachezaji wake kabla ya kufanya uamuzi ambao kwake anaona utakuwa sahihi....

READ MORE

SADC Yakubali Kupeleka Vikosi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Nchi wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi Kusini mwa Afrika, SADC zimekubaliana kupeleka vikosi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo....

READ MORE