×

Serikali Yatoa Msimamo Vita ya Sudan, Mapigano Yasimama Kwa Saa 24 -“Hakuna Mtanzania Aliepata Madhara”-Video

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stergomena Tax amesema hakuna Mtanzania aliyepo Sudan aliyepata madhara kutokana...

READ MORE

Putin Afanya Ziara Kwenye Makao Makuu ya Vikosi vya Russia nchini Ukraine

Kremlin imesema Jumanne kwamba Rais wa Russia Vladmir Putin alitembelea makao makuu ya vikosi vya Russia huko Ukraine. Picha ya...

READ MORE

Mayele Ampa Mamilioni Kipa wa Simba Katika Mchezo wa Kariakoo Dabi

MABOSI wa Simba, juzi walimpa kipa wao namba tatu, Ally Salim shilingi milioni 10 kama sehemu ya ahadi endapo asiporuhusu...

READ MORE

FOX News Kulipa fidia ya Dola milioni 787 kwa Kampuni ya Dominion, Iliyodai Kuharibiwa jina

Shirika la Fox linalomiliki chombo cha habari ya Fox News hapa Marekani Jumanne limekubali kulipa fidia ya dola milioni 787.5...

READ MORE

Mgunda: Bahati Yao, Yanga Wangekula Za Kutosha Ligi Kuu

KOCHA Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda, ametamba gemu plani yao ndio imewapa matokeo mazuri ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi...

READ MORE

Kocha wa Yanga Atamba “Simba Wametufunga, Lakini Ubingwa Wasahau”

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amekubali kufungwa dhidi ya Simba katika Kariakoo Dabi, lakini amesisitiza hawatakubali kuuachia ubingwa...

READ MORE

Mwanafunzi Apigwa Risasi na Kuzikwa Katika chuo Kikuu cha Sudan

Mwanafunzi mmoja ameuawa katika Chuo Kikuu cha Khartoum baada ya kupigwa risasi huku kukiwa na mapigano makali katika mji mkuu...

READ MORE

Mbunge Wa Zamani, Nimrod Mkono Afariki Dunia – Video

Aliyekuwa Mbunge wa Musoma Vijijini na Butiama na pia Wakili maarufu Nchini Nimrod Mkono amefariki asubuhi ya Aprili 18, 2023...

READ MORE

Jinsi Bolt Business Inavyosaidia Mashirika Na Biashara Katika Soko La Tanzania

Dar es Salaam Aprili 2023: Katika kuhakikisha ukuaji wa maendeleo ya uchumi au biashara yoyote inategemea sana ufanisi wa usafiri....

READ MORE

Shinda Tsh Milioni 90,000,000/= za Meridianbet Kila Siku

Siku zote kwenye Maisha unaambiwa usipende sana kuomba hela ya kula bali omba kazi, huwa iko hivi hata uchawa una...

READ MORE

Ubalozi wa Marekani Watoa Mbinu Kwa Jeshi la Polisi Kukabiliana na Wahalifu

  Ubalozi wa Marekani umetoa mafunzo kwa askari wa Jeshi la Polisi Nchini ya namna ya kukabiliana na matukio ya...

READ MORE

Johari Awakataa Mastaa Atamani Uhusiano wa Kimapenzi na Mwanaume ‘Kapuku’

UKISIKIA mwanaume kapuku maana yake apeche aroro yaani fukara, eti ndiyo mwigizaji wa kitambo kunako Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’...

READ MORE

Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Afanya Mazungumzo na Pande zote Mbili za Hasama Sudan

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken amezungumza na kamanda wa vikosi vya wanajeshi wa Sudan Abdel Fattah...

READ MORE

Kampeni ya #MitiMilioni ya Benki ya NMB yatua Tabora!

Benki ya NMB inaendelea kupambana na athari za mabadiliko ya tabia nchi kupitia kampeni ya #MitiMilioni nchi nzima, na wiki...

READ MORE

Nani Kulia au Kucheka Ligi ya Mabingwa? Chelsea vs Madrid, Bayern vs Man City

Wahenga waliwahi kusema Usiku wa deni hauchelewi, ni sasa kule kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kitaeleweka nani mbambe dhidi ya...

READ MORE

Meli Kubwa ya Kitalii ya Seaborn Yawasili Dar Ikiwa na Watalii 715 Wa Royal Tour

Moja ya Meli kubwa za kifahari duniani, Seabaorn Sojourn iliyotengenezwa Genoa, Italia, imetua leo Dar es Salaam hii ikitokea visiwa...

READ MORE

Mwenyekiti UVCCM Awataka Vijana Kuchangamkia Fursa ya Kilimo cha Kisasa

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Taifa Mohamed Kawaida amewataka vijana nchini kutokidharau kilimo na badala yake wakikumbatie na kuiona...

READ MORE

NHC Yaanza Ujenzi wa Mradi wa Zaidi la Bilioni Moja Kahama Mkoani Shinyanga

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limekabidhi kwa Mkandarasi wa Shirika eneo kunapoanza kujengwa majengo ya kitega uchumi yakiwamo maduka,...

READ MORE

Vodacom Yazindua Programu Maalumu Ya Tuzo Kwa Mawakala Wa Mauzo, Kuwapeleka Afrika Kusini

Dar es Salaam – Aprili 13, 2023. Kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua programu maalumu ya tuzo...

READ MORE