×

Ndege ya Shirika la Emirate A380 Yatua Kwa Dharura Tanzania

Uwanja wa Ndege wa Julius Kambarage Nyerere uliopo Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Aprili 16, 2023 umepokea...

READ MORE

Mipira na Jezi Imetolewa na Meridianbet Kwaajili ya Wanawake

Ukimshika mkono mwanamke mmoja ni sawa sawa na kuwashika mkono wanawake wengi na hii imefanywa leo na Kampuni kubwa ya...

READ MORE

Aweso Afanya Mabadiliko Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Korogwe, Asisitiza Utatuzi wa Changamoto za Maji

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefika wilayani Korogwe mkoa wa Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe...

READ MORE

Pamba Wanaitaka Ligi kuu, waichapa Mashujaa, Matubaini kibao ligi Kuu.

Baada ya ushindi wa 2-0 walioupata Pamba  dhidi ya Mashujaa FC kwenye dimba la Nyamagana, Kocha wa Pamba FC Yusuph...

READ MORE

Uchumi wa Tanzania Wapaa Miaka Miwili ya Rais Samia, Pato la Taifa Laongezeka

  TAKWIMU mpya za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania kwa bei ya...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Japan Anusurika Kifo Kufuatia Mlipuko Mkubwa wa Bomu

Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida amenusurika kifo baada ya kutokea mlipuko uliofuatiwa na moshi mzito alipokuwa akitoa hotuba katika...

READ MORE

Kisa Yanga… Simba Yamficha Kiungo Wa Kazi Chafu

KUELEKEA mchezo wao wa kesho Jumapili dhidi ya Yanga, Uongozi wa kikosi cha Simba umeweka wazi kuwa kukosekana kwa kiungo...

READ MORE

Mateso Ya Mtoto Miezi 6 Yatakuliza, Mama Yake Aomba Msaada – Video

Mkazi wa Kibada Jijini Dar es Salaama, Rukia Mohamed Ally (25) ambaye kwa sasa anapitia mateso makali baada ya Mtoto...

READ MORE

Majaliwa kuongoza harambee ujenzi Shule ya KKKT inayogharimu Sh1.9 bilioni Mwanza

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Kassim Majaliwa (Mb) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Harambee ya kuchangisha...

READ MORE

Jeshi la Polisi Mwanza lakamata wahalifu 264, RPC Atoa onyo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza baada ya  kufanya misako na doria mbalimbali na limefanikiwa kukamata watuhumiwa 264 wa makosa...

READ MORE

Mpira Ulianzia Wapi? Pesa Zinatoka Wapi? Majibu yapo Hapa

Historia ya mpira wa miguu ilikuwepo tangu karne ya 15C, lakini ilisambaa Zaidi karne ya 19C huko Uingereza ambapo mpira...

READ MORE

Waziri Gwajima Aitambulisha Klabu ya Yanga kuwa Mabalozi wa kupinga Unyanyasaji wa Watoto -Video

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima leo Aprili 14, 2021 ameitambulisha rasmi Klabu...

READ MORE

Bosi Simba Amkinga Kifua Sawadogo ni Mchezaji Mzuri

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema kuwa, licha ya kuonesha kiwango kisichoridhisha, Ismael Sawadogo, ni...

READ MORE

Beki Yanga Mamadou Doumbia Afiwa na Baba Yake Mzazi

  Beki wa Kimataifa wa Yanga, Mamadou Doumbia mwenyeji wa Mali amefiwa na Baba yake jana huko Bamako nchini Mali....

READ MORE

Kocha wa Simba Akili Nyingi dhidi ya Yanga Jumapili Uwanja wa Mkapa

KOCHA Mkuu wa Simba, Jumatatu wiki hii alifanya uammuzi mgumu wa kuwapumzisha kwa makusudi nyota wake muhimu wawili tegemeo ili...

READ MORE

Waziri Mkuu: Serikali Imeanza Kufanyia Kazi Taarifa Ya CAG – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali tayari imeanza kuifanyia kazi taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...

READ MORE

Mfanyakazi Kitengo cha Ujasusi Akamatwa Akidaiwa Kuvujisha Nyaraka za siri za jeshi la Marekani

Idara ya upelelezi ya Marekani (FBI) imemkamata mlinzi wa usalama wa anga mwenye umri wa miaka 21 kuhusiana na uvujaji...

READ MORE

Jean Baleke Aitamani Yanga Awaita Mashabiki wa Simba Uwanja wa Mkapa

STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na...

READ MORE

Russia yaomba kuondolewa vikwazo ili kuruhusu tena usafirishaji wa nafaka ya Ukraine

Russia Alhamisi imesema hakutakuwa na kuongeza muda kwa makubaliano yaliyosimamiwa na Umoja wa Mataifa ya kusafirisha nafaka za Ukraine kutoka...

READ MORE

Jipatie Virutubisho na Mimea Tiba kwa Ajili ya Kurudisha Heshima ya Ndoa

➡️ MWANAUME ZINGATIA HAYA 👇 Kumfikisha mwanamke kileleni lazima mwanaume awe na bakora yenye nguvu na iliyosimama imara mda wote...

READ MORE