×

Wanandoa Wahukumiwa Kifungo Cha Miaka 10 Jela Kwa Kusakata Densi Hadharani – Video

Wanandoa wa Iran walio na umri wa miaka 20 wamehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kuchapisha video yao...

READ MORE

Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki ya Sheria Dodoma

  Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika leo jijini Dodoma ambapo katika kilele hicho kimehitimishwa...

READ MORE

DCB Yaingia Kwenye Mizania ya Kati, Yajiimarisha Kuendelea Kupata Faida Zaidi 2022

Benki ya Biashara ya DCB imepata faida kwa kiwango kikubwa kwa mwaka wa fedha wa 2022 ukilinganisha na faida iliyopatikana...

READ MORE

GGML Kuwapatia Mafunzo Kazi Wahitimu 50 wa Vyuo Vikuu

  JUMLA ya wahitimu 50 wa vyuo vikuu nchini wamepata fursa ya kupata mafunzo yanayotolewa na Kampuni ya Geita Gold...

READ MORE

Kampuni Kutoka China, HAIER Yaidhamini Yanga Mashindano ya CAF, Yatoa Bil 1.5

  Kampuni mpya Tanzania ya bidhaa za umeme itokeayo China iitwayo HAIER imesaini mkataba na KLABU ya Yanga kuwa mdhamini...

READ MORE

Mo Dewji Atangazwa Kuwa Bilionea wa 13 Afrika, Apanda kwa Nafasi Mbili

  Bilionea na mfanyabiashara maarufu Tanzania na Afrika kwa ujumla, Mohammed Dewji, anazidi kupaa kwa utajiri duniani baada ya hivi...

READ MORE

Moses Kaluwa Agomea Matokeo Uchaguzi Simba Afunguka Mazito, Agomea Kusaini

ADVOCATE Moses Kaluwa, aliyekuwa anawania nafasi ya Mwenyekiti wa Simba kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi Jumapili, ameweka wazi kuwa, hajaridhishwa...

READ MORE

Chongolo Ataka Kiwanda cha Kilombero Kitoe Elimu kwa Wakulima wa Miwa

  KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Fatuma Mwassa kukutana na...

READ MORE

Matokeo ya Kidato cha Nne 2022 Yatazame Hapa

  Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Januari 29, 2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022...

READ MORE

Papa Francis Aelekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa ziara ya Kihistoria

Papa Francis leo anatarajiwa kutua katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, nyumbani kwa jumuiya kubwa zaidi ya wakatoliki wa Roma...

READ MORE

Xabi Alonso Atajwa Kumrithi Jurgen Klopp ndani ya Liverpool, Kikosi Kubadilika

INAELEZWA kuwa, licha ya kuzungumzia mafanikio ya Jurgen Klopp ndani ya Liverpool, lakini mambo yanaweza kubadilika wakati wowote kikosini hapo...

READ MORE

Kigogo Simba Atoa Tamko kwa Mashabiki na Wanachama Kufunga Mjadala wa Uchaguzi

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amewataka wanachama na mashabiki wa timu hiyo, kufunga mjadala wa...

READ MORE

Rais wa Liberia George Weah Kuwania Muhula wa pili Mwezi Oktoba

Rais wa Liberia na mchezaji nyota wa zamani wa soka ya kimataifa George Weah Jumatatu ametangaza kwamba atawania muhula wa...

READ MORE

NALA Yaungana na Vodacom M-Pesa Kuleta Urahisi wa Kutuma, Kupokea Pesa Nchi za Ulaya

Kampuni ya kimataifa iliyozaliwa Tanzania (NALA), inayoshughulika na mfumo wa malipo, duniani na kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano ya Vodacom...

READ MORE

Sheikh Mkuu Dar : Awachana Baraza La Maulamaa… ”Unamtetea Muhuni Kwa Kutaka Mke Ambaye Hamtaki?” – Video

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amezungumzia juu ya sakata linaloendelea kuhusiana na talaka ya...

READ MORE

Vita vya Ukraine: Joe Biden Afutilia mbali Uwezekano wa Kuipa Ukraine Ndege za Kivita za F-16

Rais wa Marekani Joe Biden amefutilia mbali uwezekano wa kutuma ndege za kivita za F-16 nchini Ukraine, licha ya wito...

READ MORE

Baada ya Kusota Kazini Na Mshahara Mdogo, Hatimaye Nimepandishwa Cheo

  Hakuna ubishi kuwa ni ndoto ya kila mfanyakazi kupanda daraja, cheo na mshahara katika kazi yake, kufanyika hilo hupelekea...

READ MORE

Yanga Yazindua Jezi Maalum Zitakazotumika Kwenye Mashindano ya Kombe la Shirikisho la CAF

Yanga imezindua jezi maalum ambazo itazitumia kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho la CAF [CAF Confederation Cup] 2022|23 kuanzia hatua...

READ MORE

Nmb Yazindua Kampeni ya Umebima 2023, Elimu Zaidi Yatolewa

Katika azma yake ya kuchangia ujumuishi wa kifedha nchini kupitia huduma za bima, Benki ya NMB Jumatatu wiki hii imezindua...

READ MORE