×

Machinga, Bodaboda Wapata Ufadhili Kutoka Nmb,Kupata Mafunzo Nchini Rwanda

BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Wafanyabiashara Wadogo (Machinga)...

READ MORE

Wizara ya Sanaa Yaja na Tatu Kubwa za 2023, Kupokea Ripoti ya Kamati Kuhusu Vazi la Taifa

Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kesho Ijumaa, Februari 03, 2023, inakwenda kuweka historia ya fungua mwaka kwa kufanya mambo...

READ MORE

DRC: Papa Francis Awasihi Waliodhulumiwa Kusamehe, Awataka Wamuige Yesu

Papa Francis amewasihi watu wa Kongo kuwasamehe wale walio wadhuru, alisema hayo alipokuwa akiongoza misa iliyohudhuriwa na watu takriban milioni...

READ MORE

Mwijaku, Baba Levo Watambulishwa Bungeni, Wapigiwa Makofi Na Wabunge – Video

Brighton Mwemba maarufu kama Mwijaku na Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo ni miongoni mwa Wageni waliofika Bungeni Dodoma leo...

READ MORE

Metacha Mnata Apewa Masharti Mapya Yanga kuachana Matumizi ya Kinywaji

WAKATI kipa wa Yanga, Metacha Mnata akiendelea na majukumu yake kikosini humo, uongozi na benchi la ufundi la timu hiyo...

READ MORE

FBI Haijakuta Nyaraka Mpya za siri katika Makazi ya Rais wa Marekani, Joe Biden

Maafisa wa idara ya upelelezi ya Marekani, FBI hawakupata nyaraka mpya za siri katika operesheni yake ya Jumatano. Oparesheni hiyo...

READ MORE

Man Utd Kuvaana na Newcastle Katika Fainali ya Kombe la EFL

Manchester United ilifuzu kwa hatua ya nusu fainali ya Kombe la EFL mkondo wa pili wa nusu fainali dhidi ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Awaalika Bungeni Wanafunzi Walioiwakilisha Nchi Uswizi Kuunda Roboti

MWALIKO BUNGENI: Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa amewaalika  timu ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali  Bungeni-Dodoma wanafunzi waliowakilisha Tanzania...

READ MORE

Baada ya Kuhangaika Sana, Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kupata Mchumba wa Kumuoa

  Vijana wengi huwa tunapitia changamoto mbalimbali katika kipindi cha kutafuta wenzi (mke au mume) maisha kutokea na baadhi ya...

READ MORE

Jinsi Ya Kuepuka Kuwa Na Mpenzi Muongo

MPENZI msomaji wangu suala la kumshukuru Mungu kwa uzima hata kunikutanisha pamoja nawe katika makala haya ni la muhimu mno,...

READ MORE

DC Aipongeza Mahakama Utoaji Elimu kwa Wananchi

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva ameipongeza Mahakama ya Wilaya ya Ludewa kwa kutoa elimu ya Sheria kwa wananchi...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Watanzania Kuadhimisha Siku Ya Sheria

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 1 Februari, 2023 amewaongoza Watanzania...

READ MORE

Chongolo Awaagiza Tanroads Kukamilisha Haraka Barabara ya Malinyi- Namtumbo

  KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo ameuagiza wakala wa barabara Tanzania TANROADS kuhakikisha ndani ya mwaka...

READ MORE

Morrison Apewa Masharti Mapya Yanga Atakiwa Kutofanya kosa Lolote

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga raia wa Ghana, Bernard Morrison, amerejea kikosini baada ya kutatua matatizo yake na uongozi pamoja na...

READ MORE

Kumbe Scorpion Aliyemtoboa Macho Said Siye Aliyefungwa? Samjet Atoka Gerezani, Afunguka -Video

Salum Njwete ambaye mitaa imembatiza jina la Scorpion, ametoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha miaka saba, akidaiwa kumtoboa macho...

READ MORE

Rushaynah Afunguka Mahusiano Yake Na Manara – “Hana Pesa, Sihitaji Ndoa” -Video

Aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah ameweka wazi kuwa mambo yote yanayoendelea katika mitandao ya kijamii ni uongo kwani suala...

READ MORE

Waziri Nape na Mafanikio Aliyoyapata Kwenye Mwaka Mmoja wa Kuaminiwa

Mwaka Mmoja umepita tangu Rais Samia Suluhu Hassan, alipomteua Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari....

READ MORE

Mbrazil Atua na Mikwara Mizito Simba Awapa Makavu Wachezaji Wake

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazil, Roberto Oliveira  ‘Robertinho’  amefunguka kuwa anataka kuona wachezaji wa timu hiyo  wanacheza kwa kujituma na...

READ MORE

SportPesa Yatoa Taarifa ya Kusikitishwa na Yanga Waitaja “Visit Tanzania”

Kampuni ya kubashiri ya SportPesa imetoa taarifa ya kusikitishwa sana na uamuzi uliochukuliwa na uongozi wa Young Africans SC wa...

READ MORE

Boomplay Kusherehekea Wasanii wa Afrika Waliochaguliwa Kwenye Tuzo Za Grammy

Sekta ya muziki duniani inajitayarisha kwaajili ya usiku mkubwa wa mwaka kupitia tuzo za 65 za Grammy. Huku wasanii wa...

READ MORE