×

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) Afariki Dunia

Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo...

READ MORE

GGML: Uwanja Mpya wa Geita Gold FC Kukamilika Mei

  NA MWANDISHI WETU UWANJA wa Magogo unaojengwa na Halmashauri ya Mji wa Geita kwa kushirikiana na Kampuni ya Geita...

READ MORE

Nimefunga Ndoa na Mama Mwenye Nyumba Wangu, Mapenzi Yamenoga

KAMA kijana wa kiume unajua kuna mambo yanaweza kukutokea hadi wewe mwenyewe ukawa unashangaa maana yake ni ipi hasa, ndicho...

READ MORE

SBL Inaendelea Kukuza Kilimo Kupitia Programu Ya Kilimo Viwanda

Januari 24, 2023: Kilimo kinaendelea kuimarika kama moja ya sekta kuu za kiuchumi nchini Tanzania; sekta hiyo inaajiri mamilioni ya...

READ MORE

Kuelekea ‘Grand finale ‘ NMB Kupitia Kampeni yake Ya ‘MastaBataKoteKote’ Yakabidhi Pikipiki

Ikiwa zimesalia siku 3 tu kuelekea ‘Grand finale ‘ ambapo tutashuhudia wateja 8 wakijishindia safari ya kwenda Dubai kwa siku...

READ MORE

Baraza la Ulamaa Watoa Tamko Ndoa Dk. Mwaka na Mkewe Queenie Haijavunjika

BARAZA la Ulamaa, limefutilia mbali uamuzi wa “kuvunja ndoa,” uliyofanywa na sheikh wa BAKWATA mkoani Dar es Salaam, Alhadj Mussa...

READ MORE

Dubai Yatajwa Kama Sehemu Maarufu Zaidi Ya Kutembelewa Duniani

  Kwa mujibu wa tuzo za mtandao mkubwa zaidi wa masuala ya usafiri duniani Trip Advisor zinazoitwa Travellers’s choice Awards,...

READ MORE

Serikali Yaipa Mtaji Kampuni Ya Mbolea Nchini(Tfc),Yaanza Usambazaji Wa Mbolea Nchini

Ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuhakikisha mbolea sahihi na bora zinawafikia wakulima wote kwa wakati na kwa bei nafuu,...

READ MORE

Magaya, Gwajima, Mkenda Wasaka Dawa Dhidi Ya Ukatili

KUKITHIRI kwa vitendo vya ukatili kwa Watoto nchini, Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imekutana na Waziri wa...

READ MORE

Video: Mwili Wa Mtanzania Aliyefia Ukraine Waagwa Nyumbani Kwao Dar, Umati Wajitokeza

MWILI wa Raia wa Tanzania, Nemes Tarimo aliyefia vitani Ukraine umewasili nchini asubuhi ya leo Januari 27, 2022 ukitokea Urusi...

READ MORE

Mgunda Ashusha Presha Simba Awataka Mashabiki Kutulia Mechi za Ligi ya Mabingwa

KOCHA Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda amewataka mashabiki wa timu hiyo kutulia kwa kuwa mikakati yao ya kutaka kufanya vizuri...

READ MORE

Kocha Nabi Aweka Rekodi mpya Yanga Aziacha Mbali Simba na Azam

BAADA ya kikosi cha Yanga chini ya Kocha Nasreddine Nabi kugotea kwenye mechi 49 mfululizo kucheza bila kupoteza katika Ligi...

READ MORE

Jeshi la Marekani lamua Kiongozi wa Islamic State (ISIS) nchini Somalia

US MILITARY OPERATION-SOMALIA Jeshi la Marekani liliendesha operesheni ambayo ilimua afisa kiongozi wa kundi la Islamic State kaskazini mwa Somalia,...

READ MORE

Breaking: Mwili Wa Mtanzania Aliyefia Vitani Ukraine Wawasili Dar Ukitokea Urusi -Video

MWILI wa Raia wa Tanzania, Nemes Tarimo aliyefia vitani Ukraine wawasili nchini asubuhi ya leo Januari 27, 2022 ukitokea Urusi....

READ MORE

Meridianbet Yamwaga Ajira Temeke, Zaidi ya Watanzania 142 Wanufaika

ZAIDI ya watanzania 142 wamenufaika na ajira kupitia Meridianbet Tanzania, ikiwa ni moja ya ndoto ya kampuni hiyo inayotoa huduma...

READ MORE

Msanii Peter Msechu Awekewa Puto Tumboni katika Hospitali ya Mloganzila, Dar

MSANII Peter Msechu amekuwa miongoni mwa watu waliopatiwa matibabu ya kuwekewa puto tumboni (intragastric balloon) katika hospitali ya Mloganzila, Dar...

READ MORE

Dk Mwaka Afunguka – “Ndoa Yangu Haijavunjwa, Mufti Naomba Toa Tamko”- Video

Baada ya sakata la mke wa Dokta Mwaka kudai talaka kuchukua sura mpya hapo jana, Januari 25, 2023 na uamuzi...

READ MORE

Wapalestina Tisa Wauawa katika Uvamizi wa Israel huko Jenin

Wapalestina tisa, akiwemo mwanamke mzee, wameuawa katika uvamizi wa kijeshi wa Israel katika ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, maafisa...

READ MORE

Alichokifanya mbele ya Nabi… Mamadou Doumbia Gumzo Yanga

KAZI aliyopiga kwa siku chache alizofanya mazoezi na Yanga, kumemfanya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe afungue...

READ MORE

Simba Yamtangaza Imani Kajula Kuwa Afisa Mtendaji Mkuu Mpya (CEO)

KLABU ya Simba leo Januari 26, 2023 imemtangaza Imani Kajula kuwa Mtendaji Mkuu (C.E.O), ambaye anachukua nafasi ya Barbara Gonzalez...

READ MORE