×

Bosi Simba Afunga Mjadala Wa mshambuliaji Wao Mpya Jean Baleke

BAADA ya kuenea kwa taarifa kuhusu usajili wa mshambuliaji wa Simba, Jean Baleke kwamba ametua hapo kwa mkopo akitokea TP...

READ MORE

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi Aichambua Pacha ya Mayele, Musonda

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amesema anatarajia matunda mazuri kutoka kwa washambuliaji wake wawili, Kennedy Musonda na Fiston Mayele...

READ MORE

TCB Bank Yashiriki Uzinduzi Ujenzi wa Reli Ya Kisasa Kutoka Tabora Hadi Isaka

  Tanzania Commercial Bank (TCB) Imeendelea kushiriki zoezi endelevu la ujenzi wa kipande cha nne cha ujenzi wa reli ya...

READ MORE

Masomo Yanayohusisha Hesabu Ni Changamoto Kwa Watahiniwa Wa Ununuzi Na Ugavi

Masomo yanayohusisha hesabu yamekuwa yakiwaangusha watahiniwa wanaofanya mitihani ya bodi ya wataalam wa ununuzi na ugavi (PSPTB). Akizungumza na waandishi...

READ MORE

Jukwaa La Biashara La Tanzania Na India (TIBF) Kuimarisha Mahusiano Ya Kibiashara

Dar es salaam, 19 Januari 2023: Jukwaa la Biashara la Tanzania na India (TBIF) limedhamiria kukuza mahusiano ya kibishara baina...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Wa Reli Ya Kisasa NBC Yashiriki

Katika kufanikisha miradi mbalimbali ya kimkakati Benki ya Taifa  Biashara  ya Taifa  (NBC) imetoa ahadi ya  kuwa mstari wa mbele...

READ MORE

El Chapo Aomba Msaada kwa Rais Obrador Kurejeshwa Mexico

RAIS wa Mexico, Andres Manuel Lopez Obrador amesema atazingatia ombi la mlanguzi wa dawa za kulevya Joaquin ‘El Chapo’ Guzman,...

READ MORE

Straika mpya Yanga Kennedy Musonda Aichimba Mkwara Mzito Simba

BAADA ya kuanza kuitumikia Yanga, straika mpya wa timu hiyo, Mzambia, Kennedy Musonda, ameweka wazi kuwa anajua miongoni mwa michezo...

READ MORE

Exclusive: Tundu Lissu Afunguka – “Usalama Wangu Upo Kwenye Mikono Ya Rais Samia Na Serikali Yake”-Video

KUPITIA VOA Kiongozi nguli wa upinzani na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lisu amezungumza katika mahojiano maalum ambapo ameeleza hali...

READ MORE

Marcus Rashford Awaita Mezani Man United Majadiliano juu ya Mkataba Mpya

MANCHESTER United na Marcus Rashford wanaripotiwa kuendeleza majadiliano juu ya mkataba mpya na klabu hiyo ambayo inaaminika kuwa wanataka kumpa...

READ MORE

Video: Kitanzi Wasiopeleka Watoto Shule, Vigogo Wa Chadema Waanza Kazi, Majanga Mikopo | Front Page

Karibu kutazama na kusikiliza na kutazama Kipindi cha FRONT PAGE kila siku kuanzia JUMATATU hadi IJUMAA kuanzia Saa 2:30 Asubuhi....

READ MORE

Wanajeshi wa UN Wagundua miili 50 ndani ya Makaburi Mawili Mashariki mwa DRC

Wanajeshi wa Umoja wa mataifa wamegundua miili 50 ya raia ndani ya makaburi yaliyozikwa watu wengi kwa pamoja mashariki mwa...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz nchini Uswizi

Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, Davos nchini Uswizi. Rais Samia amekutana na...

READ MORE

Jinsi Nilivyogundua Kwamba Mke Wangu Anaisaliti Ndoa Yetu na Kuchepuka

  JINA langu ni Baba Sele kutokea Madale jijini Dar es Salaam. Baada ya mke wangu kuanza tabia ya kuninyima...

READ MORE

Expanse Studio na Meridianbet Kuzindua Sloti Mpya

Wiki chache tu baada ya kuzindua michezo yao ya hivi karibuni– Wild White Whale na Zombie Apocalypse hatimaye sasa Expanse...

READ MORE

Tigo Yampata Mshindi Wa Ndinga La Kishua, Wengine Waibuka na Mamilioni

Dar es Salaam 19 Januari 2023: Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo hatimaye jana imempata mshindi wa...

READ MORE

Tigo Yazidi Kuhamasisha Usajili Kidijitali Tigo Kili Half Marathon 2023 Kwa Kishindo Mjini Moshi

Mbio maarufu za Tigo Kili Half Marathon zikiwa ni mbio ambazo zipo ndani ya Kilimanjaro Marathon 2023 zimezinduliwa rasmi kimkoa...

READ MORE

Tuzo Ya Kiswahili Ya Safal-Cornell Ya Fasihi Ya Afrika: 2021 Yatoa Orodha Ya Miswada

Januari 10, 2023, Nairobi…… Tuzo ya Kiswahili ya Safal-Cornell ya Fasihi ya Afrika imetangaza orodha fupi ya miswada ya mashindano...

READ MORE

Uzinduzi wa Awali wa Rifaly Badala ya M-Paper

Dar es Salaam, Tanzania 18 Januari 2023: Kampuni ya Smart foundry imezindua bidhaa yake mpya iitwayo ‘Rifaly’ ambayo ni jina...

READ MORE

Kilimanjaro International Marathon 2023 Yazinduliwa

MBIO ndefu za kimataifa za Kilimanjaro International Premium Lager Marathon kwa mwaka wa 2023 zimezinduliwa rasmi Alhamisi, mjini Moshi, mkoani...

READ MORE