×

Zigo la Disemba Shinda na Shinda Tena, Pikipiki 5 Kushindaniwa, Tecno Camon 19 na Spark 9 Kutolewa Kila Wiki

JE UNAUONAJE msimu wa sikukuu za Chrismas na Mwaka Mpya? Umeshajua ni zawadi gani utampa umpendae au kujizawadia mwenyewe kwa...

READ MORE

Rushwa ya Ngono Makazini Bado ni Tatizo Kubwa Nchini, Lazima Idhibitiwe

LICHA ya kuwepo kwa tafiti mbalimbali zilizofanywa na Taasisi ya Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)  na tafiti zilizofanywa na Chama cha...

READ MORE

George Mpole Apewa Mkono wa Kwaheri Geita Gold Mkataba wake Wamalizika

Uongozi wa klabu ya Geita Gold umethibitisha kuwa mkataba wake na kinara wa magoli Ligi kuu ya NBC msimu wa...

READ MORE

Yanga: Kivyovyote Namungo Watatoa Pointi Tatu Kwenye Uwanja wa Majaliwa

YANGA jioni ya leo watashuka kwenye Uwanja wa Majaliwa uliopo Ruangwa, Lindi kuwavaa Namungo FC na mpango wa benchi la...

READ MORE

Video: Rais Samia Anashiriki Mkutano Mkuu Wa 10 Wa Chama Cha Mapinduzi – Jkcc, Dodoma…

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa 10 wa CCM Katika...

READ MORE

Mawakala wa Bima Wafanya Mkutano Kujadili Changamoto, Kamishna Awaahidi Neema

  Dar es Salaam 7 Desemba 2022: Viongozi wa mawakala wa bima nchini kutoka kanda tano za Tanzania Bara pamoja...

READ MORE

Makamu wa Rais Nchini Argentina Cristina Kirchner Ahukumiwa Kifungo cha Miaka Sita

Makamu wa Rais Nchini Argentina Cristina Kirchner amehukumiwa kifungo cha miaka sita (6) jela kwa matumizi mabaya wa Mali ya...

READ MORE

Orodha ya Wanachama Walioteuliwa Kugombea Nafasi ya Ujumbe wa NEC viti 15 Tanzania BARA

Orodha ya wanachama walioteuliwa kugombea nafasi ya ujumbe wa NEC viti 15 Tanzania BARA  

READ MORE

Rusha Kete Na Ujipatie Mshiko Wa Kutosha Kutoka Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet.

Sloti Ya Titan Dice Anza siku yako ukicheza mchezo wa Titan Dice kwa kujikusanyia mkwanja wa kutosha na kasino ya...

READ MORE

CCM Yapitisha Wanachama 374 Kugombea Nafasi za Ujumbe wa Halmashauri Kuu

Kikao cha halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika mkoani Dodoma, kimepitisha majina ya wanachama 374 wa CCM wanaogombea...

READ MORE

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Yampitisha Dkt. Samia kuwa Mgombea Pekee wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imempitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mgombea pekee...

READ MORE

Mkuu wa Jeshi la Polisi Atangaza Nafasi za Ajira kwa Vijana Waliohitimu JKT na JKU

  Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa...

READ MORE

Kombe la Dunia 2022: Samuel Eto’o Amshambulia Mtu Qatar Baada ya Mechi

Tukio hilo lilitokea nje ya Uwanja wa 974 huko Doha baada ya mechi ya Jumatatu ya hatua ya 16 bora...

READ MORE

Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande Awatunuku Wahitimu 943 ARU

WAKUFUNZI 54 wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), wamepata ufadhili wa kusoma Shahada za Uzamili kupitia mradi unaolenga kufanya tafiti kutatua...

READ MORE

Yanga Yaifungia Namungo Full Mziki Kesho Kwenye Uwanja wa Ruangwa Lindi

MSAFARA wa wachezaji 21 wa Yanga umesafiri kuelekea mkoani Lindi, kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...

READ MORE

Wakala wa Gvardiol Akanusha Kuwepo kwa Makubaliano ya Awali na Klabu Yoyote

WAKALA wa Beki wa kati wa Timu ya Taifa ya Croatia pamoja na klabu ya RB Leipzig Josko Gvardiol anayeitwa...

READ MORE

Exclusive: Masha Love Ajilipua – “Zuchu Hana Shepu, Mimba Yangu Ipo Kifuani, Diamond Anaoa”…

 KWENYE EXCLUSIVE za IMELDA MTEMA zinazoruka kila wiki ndani ya Global TV amepiga stori na Masha Love; mrembo aliyejipatia...

READ MORE

Brazil Yatinga Robo Fainali Kombe la Dunia, Yashinda 4-1 Katika Uwanja wa 974 Doha

Timu ya Brazil imeingia kwa kishindo katika robo fainali ya kombe la dunia baada ya kuifunga Korea Kusini mabao 4-1...

READ MORE

Endorphine Fairytale -Shangwe La Sloti Disemba Hii! Cheza Na Ujishindie Zawadi Kabambe Za Fedha!

Amini mwezi Desemba ni mwezi wa maajabu ya kujishindia mawindo yako kirahisi! Waandaaji wa michezo ya sloti Endorphine wanaopatikana Meridianbet...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Milioni 960 za Uhuru Zijenge Mabweni Katika Shule nane za Msingi

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza TZS milioni 960 ambazo zilitengwa katika bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya...

READ MORE