×

CCM Ilala Wakemea Unyanyasaji kwa Watoto, Mapenzi ya Jinsia Moja Yawa Gumzo

JUMUIYA ya Wazazi CCM Mtaa Mafuriko kwa Umoja wao Matawi Mawili (BINTI KAMBA &BUNGONI) Desemba 10/12/2022 Iliungana kwa Pamoja Kuukaribisha...

READ MORE

Majaliwa: Nimefurahishwa na Utekelezaji wa Agizo la Rais Dkt. Samia

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa amefarijika kuona Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI) imeanza kutekeleza agizo la Rais wa...

READ MORE

CMC Automobiles Yapiga Jeki Mradi wa Madawati wa Rotary

MRADI wa kutoa madawati kwa shule za umma unaoendeshwa na klabu ya Rotary ya Dar es Salaam taongeza idadi ya...

READ MORE

Kocha Mgunda Akabidhi Majembe Mapya Simba, Cesar Manzoki Ajadiliwa

KUELEKEA usajili wa dirisha dogo, uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, Juma Mgunda, tayari amekutana...

READ MORE

Waarabu Wafunga Safari Kumfuata Feisal Salum ‘Fei Toto’, Azam FC Kuweka Ofa

MABOSI wa Berkane FC ya nchini Morocco wamefunga safari kumfuata kiungo mchezeshaji, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa ajili ya kuinasa...

READ MORE

Msanii Shilole Alipuka Gharama ya Mwili Wake, Atoa Elimu Kwa Mastaa

MWIGIZAJI na msanii mkali anapokuwa mbele ya kamera, Zuwena Mohammed ‘Shilole ‘ ameamua kuwahamasisha mastaa na watu mbalimbali kuepuka gharama...

READ MORE

GSM Yamalizana na Kiungo Kiungo wa Uganda, Bobosi Byaruhanga, Mkataba Watajwa

TAARIFA zinaeleza kuwa, Klabu ya Yanga chini ya wadhamini wao Kampuni ya GSM, rasmi imemalizana na kiungo wa Uganda, Bobosi...

READ MORE

Biden Kufanya Mazungumzo na Viongozi wa Afrika Kuanzia Jumanne, Washington DC

Rais wa Marekani, Joe Biden atakuwa mwenyeji wa viongozi kutoka nchi za Afrika kuanzia kesho Jumanne hapa Washington DC, wakati...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Danish Refugee Council (DRC) kwa Madereva

  Driver Founded in 1956, The Danish Refugee Council (DRC) is a humanitarian, non-governmental, non-profit organization providing direct assistance to...

READ MORE

Kampeni ya Nmb Mastabata ‘Kotekote’ Yazidi Kupasua Anga

  Kampeni ya NMB MastaBata ‘Kote Kote,’ inayoendeshwa na Benki ya NMB, imezidi kupasua anga baada ya zawadi zenye thamani...

READ MORE

Halotel Kuwapatia Wanafunzi wa Vyuo Salio la Bure

  Katika juhudi zake za kusaidia sekta ya elimu hapa nchini, Kampuni ya Halotel imekuja na ubunifu mwingine katika kutoa...

READ MORE

Yanga Inautaka Tena Ubingwa wa Kombe la Shirikisho Kucheza Dhidi ya Kurugenzi Uwanja wa Mkapa

WAKATI leo Jumapili Yanga SC itacheza mechi ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports dhidi ya Kurugenzi, uongozi wa mabingwa...

READ MORE

Msanii Jacqueline Wolper Alia Ndoa Yake na Rich Mitindo Kuvunjwa

MTI wa ndoa ya msanii Jacqueline Wolper aliyofunga na Rich Mitindo hivi karibuni unakatwa; Ijumaa lina nyeti za ndani kabisa....

READ MORE

Video: Mo Dewji Kuondoka Simba? “Kuna Tatizo Simba” -Saleh Jembe

GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na mchambuzi mkongwe wa soka nchini Saleh Jembe ambaye amefunguka mengi kuhusiana na ishu ya...

READ MORE

Mambo Mawili Mazito Yamuondoa CEO Barbara Gonzales Simba

OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzales, jana Jumamosi alifikia uamuzi wa kujiuzulu nafasi yake hiyo, huku akitoa sababu kuu...

READ MORE

Nafasi za Kazi KCB Bank , Head of Legal and Company Secretary

Head of Legal and Company Secretary Job Summary: Reporting to the Country Managing Director, this is a key role that...

READ MORE

Ufaransa Yakata Tiketi ya Kuingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia

Doha, Qatar — Iliwachukua Ufaransa dakika 17 tu kupata bao lao la kwanza kupitia kwa mshambuliaji Aurelien Tchouameni Na Uingereza waliendelea...

READ MORE

Maelfu Wajitokeza Kwenye Kilele cha Boomplay Campus Tour Jijini Mwanza

  Boomplay, App inayoongoza katika utoaji wa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika kwa kushirikiana na jukwaa la...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumapili, Desemba 11, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 11 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

Kombe La Dunia 2022: Morocco Yaichapa Ureno Na Kuweka Rekodi Ya Timu Ya Kwanza Kutoka Afrika Kufika Nusu Fainali

Bao la ushindi lilifungwa dakika za mwisho za kipindi cha kwanza wakati Youssef En-Nesyri alipoteleza na kushinda kwa kichwa krosi...

READ MORE