×

Sadio Mane Afunguka Kuhusu Maisha Yake, Awaasa Mastaa Duniani Kuijali Jamii

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Bayern Munich ya Nchini Ujerumani, raia wa Senegal Sadio Mane amefunguka na kuelezea vipaumbele vyake katika...

READ MORE

Live: Mkutano wa Pili wa Mwaka wa Kumuenzi Maalim Seif Shariff Hamad-Video

MKUTANO wa Pili wa mwaka kwa ajili ya kumuenzi mwanasiasa mkongwe ambaye ameshatangulia mbele ya haki Maalim Seif Shariff Hamad...

READ MORE

Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Awapa Mbinu Kukabiliana na Majanga, Polisi

BALOZI wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar amesema kuwa maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi wanapaswa kuwa makini na uwasilishwaji...

READ MORE

Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Kinara Maadhimisho Wiki ya Chakula

  WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) umeibuka na kuwa mshindi katika Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani...

READ MORE

Mzuka wa Mechi Zenye Odds Kubwa Wiki Hii Uko Hivi Meridianbet

Yule mtu aliyesema maisha bila soka hayaendi wala hakukosea, ni kweli kabisa mpira ni maisha na maisha ni mpira. Sasa...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Oktoba 22, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 22 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi leo Oct-22, Kwa nusu bei tu Gazeti la Championihttps://bit.ly/3M4GO0G AU Championihttps://bit.ly/3M4GO0G . Twende...

READ MORE

Jipatie Sandols Kali za Aina Mbalimbali Kutoka D.Mushi Enterprises Limited

D. MUSHI ENTERPRISES LIMITED Kwa mahitaji yako yote ya Sandols za kisasa za aina mbalimbali, zikiwemo yebo yebo, kwa bei...

READ MORE

Takribani Watu 60 Wauawa Akiwemo Mwandishi wa Habari Katika Maandamano ya Chad

TAKRIBANI watu 60 wameuawa katika maandamano ya kupinga serikali ya Chad ambapo kulitokea vurugu baada ya vikosi vya usalama kufyatua...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ripoti ya Kikosi Kazi Kuhusu Uratibu Maoni ya Wadau Vyama Vya Siasa -Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 21, 2022 amepokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha...

READ MORE

Kesi ya Akina Halima Mdee, Mwaifunga Ashindwa Kutoa Ushahidi

Aliyekuwa Makamu mwenyekiri wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) Hawa Mwaifunga, ameshindwa kutoa ushahidi wake baada ya kuieleza Mahakama kupitia...

READ MORE

Kilima Chenye Maajabu Kiendacho kinyume na Sheria za Mvutano

KILIMA hiki cha mvutano ni kilima kinachofahamika kuwa cha ajabu, kwa kuwa kinatengeneza kiini macho kupelekea watu kuhisi kama vile...

READ MORE

Timu ya Kampuni ya Simu ya Google Pixel Wakamatwa Wakitumia Iphone Kujibu Tweet

KUNA makampuni mengi ya teknolojia ya simu yanayofahamika duniani ikiwemo Google Pixel, Apple na Samsung, Kampuni hizi zipo katika mashindano...

READ MORE

Simba: Tumechoka Kufungwa na Yanga Tutapambana Kuibuka na Ushindi

UONGOZI wa Klabu ya Simba, umekiri kuwa umechoka kufungwa na Yanga, na safari hii watapambana kuhakikisha kuwa wanaibuka na ushindi...

READ MORE

Mrembo Maarufu Kwenye Mitandao Poshy Queen Afunguka Kutumia Mil. 3 Kwa Siku

  Poshy Queen; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) nchini Tanzania ambaye naye ameibua gumzo kama lote.  ...

READ MORE

Majaliwa Atoa Siku 15 Mkandarasi Kukamilisha Barabara Ukerewe

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku 15 kuanzia leo Oktoba 20, 2022 kwa kampuni ya Inter Country Contractors kuhakikisha inakamilisha...

READ MORE

Injinia Hersi: Wachezaji Wametuapia Kuifunga Simba Kesho Kutwa Jumapili

WACHEZAJI wa Yanga kwa pamoja wamewaahidi viongozi wa timu hiyo, kupambana kwa dakika 90 ili kuhakikisha wanarejesha furaha ya mashabiki,...

READ MORE

Nafasi za Kazi United Nations at UNICEF Tanzania, National Consultant

Job no: 556267 Contract type: Consultant Duty Station: Zanzibar Level: Consultancy Location: United Republic of Tanzania Categories: WASH (Water, Sanitation...

READ MORE

GGML, Rafiki Surgical Mission Watoa ‘Ambulensi’ Mbili Geita

KATIKA kuimarisha mahusiano mazuri baina ya Serikali na jamii zinazoizunguka kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na Taasisi ya...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Oktoba 21, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 2 1 , 2022 Usipitwe...

READ MORE