×

Alishtaki Gazeti Kwa Kutumia Picha Yake Kuelezea Wanawake Wanene

MWIGIZAJI mmoja wa Iraq amesema analishtaki Gazeti la Economist kwa kutumia picha yake kuelezea makala kuhusu wanawake wa Kiarabu kuwa...

READ MORE

Waziri Ndumbalo Atoa Maagizo kwa Rita Kuboresha Huduma Mikoani

WAZIRI wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Dk Damas Ndumbaro ameilekeza Rita kuimarisha huduma zake katika Mikoa iliyo nje ya...

READ MORE

Kenya: Mashirika ya Kiraia Yaelezea Wasiwasi Juu ya Habari za Uongo Kuhusu Matokeo

Wakati Wakenya wakisubiri matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika kwa amani, shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International na...

READ MORE

Uchaguzi Kenya: Mgombea Urais Kupitia Azimio, Raila Odinga Afanikiwa Kumpita William Ruto

Mgombea Urais kupitia Azimio, Raila Odinga amefanikiwa kumpita William Ruto kwa idadi ya Kura baada ya kuwa nyuma kwa Saa...

READ MORE

Ajali Yaua Dereva na Abiria Wake Watano, Iguguno Ushamba Wilayani Mkalama, Singida

  WATU sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum, kuacha njia na kupinduka katika eneo...

READ MORE

Matokeo ya Uchaguzi Kenya 2022: Lupita Nyong’o Asherehekea Ushindi wa Baba Yake

MWIGIZAJI aliyeshinda tuzo ya Oscar Lupita Nyong’o  leo Agosti 11, 2022 amempongeza baba yake kwa kushinda muhula wa pili na...

READ MORE

Tundaman Aomba Radhi Kwa Kile Alichokifanya Kwenye Sherehe za Simba Day

KUFUATIA shutma nyingi na malalamiko dhidi yake kwa kile alichokifanya wakati akitumbuiza kwenye kilele cha tamasha la Simba Day, leo...

READ MORE

Mitambo Kinyerezi II Yapata Hitilafu, Tanesco Yatoa Taarifa Rasmi kwa Umma

  SHIRIKA la umeme Tanzania (TANESCO) Limewataarifu wateja wake kuhusu kukosekana kwa huduma ya umeme baadhi ya Mikoa nchini kuanzia...

READ MORE

Wafanyakazi wa Kike Walazimishwa Kusalia Majumbani Mwao, Afghanistan

NI mwaka sasa kuanzia kundi kubwa la Wapashtun, wenye imani kali ya Kiislamu (Taliban) kuchukua nchi ya Afghanistan.   Wakati...

READ MORE

Lupita Nyon’go Awashukuru Wakenya kwa Kumchagua Baba Yake

MUIGIZAJI wakike Lupita Nyon’go mwenye tuzo ya Oscar, amempongeza baba yake na wapiga kura wa mji wa Kisumu kwa kumchagua...

READ MORE

Kirusi Kipya Chawapata Watu 35 China Mashariki, Watafiti Wathibitisha Athari Zake

WANASAYANSI wanafuatilia kirusi kipya kilicho athiri watu wengi mashariki mwa China, Novel Langya henipavirus (LayV) kimepatikana kwa wagonjwa 35 katika...

READ MORE

Okwa, Chama Wanogesha Kombinesheni ya Zoran Simba, Wawatambia Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba Mserbia, Zoran Maki amefurahishwa na muunganiko wa viungo wake wawili Mzambia Clatous Chama na Mghana Augustine...

READ MORE

Trump Awaka Kupekuliwa na FBI, Adai ni Njama za Kumrudisha Nyuma Kisiasa

FBI ilipekua makazi ya Donald Trump ya Mar-a-Lago kama sehemu ya uchunguzi wa kama alichukua nyaraka za siri kutoka Ikulu...

READ MORE

Usiku wa Raha za Pwani Waja, Khadija Yusuf, Kivurande, Msagasumu, Misambano Ndani

  NGOMA inogile: Usiku wa Raha za Pwani waja, hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia burudani ya aina yake iliyoandaliwa na...

READ MORE

Chelsea Yatenga Dau Kuzinasa Saini za De Jong na Aubameyang Kutoka Barcelona

CHELSEA wapo tayari kufikia ofa ya United ya Paundi milionmi 72 ambayo waalimpa kiungo wa Barcelona na timu ya taifa...

READ MORE

Simorix The General Aiunganisha Australia na Bongo kwa Kolabo ya Remix ya Vaccine na Weusi

  MBONGO aishie nchini Australia anayefanya vizuri kwenye muziki wa kizazi kipya, Saimoni Masanja a.k.a Simorix The General, ametua hapa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la SpotiXtra Aug-11, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi shilingi...

READ MORE

LG, Garnet Star Watoa Ofa 33% ya Punguzo kwa Bidhaa Zake

  KAMPUNI ya vifaa vya umeme Afrika Mashariki ya LG kwa kushirikiana na Garnet Star, imetoa ofa ya punguzo ya...

READ MORE

Hii ni Kali Kuliko, Tigo na Infinix Waja Kivingine

DAR ES SALAAM, tarehe 11 Agosti 2022, Kampuni inayoongoza kwa maisha ya kidijitali ya Tigo Tanzania, imeshirikiana na Infinix kutangaza...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Agosti 11, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 10, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE