×

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda leo Aug-15, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia...

READ MORE

Mgombea Urais Kenya Waihiga Akubali Kushindwa, Amtaja William Ruto Kama Mshindi

MGOMBEA wa chama cha Agano Waihiga Mwaure akiongea na vyombo vya habari amesema kwamba baada ya kipindi kirefu cha kufuatilia...

READ MORE

Exclusive… Uwoya: Msiniige Mtaumia, Hamjui Nimepitia Msoto Gani Mpaka Kufikia Hapa

Irene Pancras Uwoya; ni mwanamama kinara wa Bongo Movies mwenye mvuto wa kipekee nchini Tanzania ambaye anasema kuwa, huu ni...

READ MORE

Kocha Zoran: Msimu Huu Hautakuwa Mwepesi Kila Timu Inahitaji Kufanya Vizuri

  ZORAN Maki, Kocha Mkuu wa Simba, amesema kuwa, msimu huu wa 2022/23, hautakuwa mwepesi kwa sababu kila timu inahitaji...

READ MORE

Video: Rais Samia Ashuhudia Utiaji Saini wa Mikataba ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini wa Mikataba ya ujenzi wa miundombinu...

READ MORE

Matokeo ya IEBC Odinga Anaongoza, ya Reuters Yamuweka Ruto Mbele -Live Updates

MATOKEO rasmi yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi yanaonesha mwanasiasa mkongwe nchini Kenya, Raila Odinga, akiongoza kwenye mbio za kuwania urais,...

READ MORE

Mayele Awavuruga Vibaya Inonga, Ouattara, Awapiga Mbili …Aziz Ki Habari Nyingine

  WANANCHI Yanga SC wanatamba huko mtaani wakiwaambia Simba SC: “Semeni tena.” Hiyo ni baada ya jana kuibuka na ushindi...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Agosti 14, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 14, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la SpotiXtra Aug-14, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi shilingi...

READ MORE

NBC wasisitiza kukuza michezo, sanaa na utamaduni

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza kuhusu adhma yake ya kukuza na kuendeleza sekta ya michezo hapa nchini kwa...

READ MORE

Kocha Yanga Awakabidhi Rungu Aziz Ki, Morrison Kuiua Simba Leo

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amefichua kuwa amepanga kuwatumia vizuri nyota wake wapya ndani ya timu hiyo akiwemo Benard...

READ MORE

Lori la Magogo Lafunga Barabara Morogoro, Wasafiri Wasota kwenye Foleni Masaa Saba

ADHA ya usafiri imetokea kwa wasafiri wanaofanya safari zao kati ya Morogoro-Dar es Salaam baada ya Lori lililobeba magogo kushindwa...

READ MORE

Ugonjwa wa Ajabu Waipa Mateso Familia Babati, Waathiri Familia Nzima

MKAZI wa kijiji cha Imbilili Juu kilichopo Wilaya ya Babati, mkoani Manyara amezungumzia maumivu anayopata kutokana na ugonjwa wa ngozi...

READ MORE

Lionel Messi Atupwa Nje kwa Mara ya Kwanza katika Kinyang’anyiro cha Ballon d’Or

HUENDA ikawa habari mbaya kwa staa wa PSG Muargentina Lionel Messi baada ya kukosekana kwenye orodha ya wachezaji 30 wanaowania...

READ MORE

Barca Yakamilisha Usajili wa Nyota Wake Wapya, Kounde Matatani

KLABU ya Barcelona ya nchini Hispania imekamilisha kuwaandikisha wachezaji wake wanne kati ya watano waliosajiliwa na klabu hiyo kuelekea katika...

READ MORE

Wivu wa Mapenzi Wazidi Kuleta Maafa Kwa Jamii, Kamanda wa Polisi Athibitisha

KATIKA kile kinachosemwa kuwa ni wivu wa mapenzi Jeshi la Polisi Masasi mkoani Mtwara Limesema Kifo cha mwalimu wa shule...

READ MORE

Nafasi za Kazi 2 MUHAS, Lecturer- Biomedical Engineering

POST ASSISTANT LECTURER-BIOMEDICAL ENGINEERING – 2 POST EMPLOYER Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) APPLICATION TIMELINE: 2022-08-10 2022-08-24...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Agosti 13, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 13, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi Aug-13, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi shilingi...

READ MORE