×

Mabondia wa Usiku wa Kisasi Wapimza Uzito Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar

JUMLA ya mabondia 32  leo Ijumaa wamepima audito  kwa ajili ya pambano la Usiku wa Kisasi linalotarajia tarajia kupigwa kesho...

READ MORE

Gavana wa Ukraine Atoa Amri Majeshi ya Nchi Hiyo Kuondoka Severodonetsk

GAVANA wa Jimbo la Luhansk Serhiy Haidai amesema majeshi ya Ukraine hayana budi kutimka katika eneo la Severodonetsk kutokana na...

READ MORE

Pre-Order Tecno Camon 19 Sasa Upate Punguzo La Bei na Zawadi Kabambe

TECNO kwa kushirikiana na INALIPA inakuwezesha kuwa miongoni mwa wamiliki wa kwanza wa TECNO CAMON 19 mara baada ya kufanya...

READ MORE

RC Mwanza Aagiza Takukuru Kuchunguza Upotevu wa Milioni 15 Buchosa

MKUU wa Mkoa wa Mwanza Robert Gabliery ameagiza Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) kuchunguza upotevu wa...

READ MORE

Ronaldo Atishia Kuondoka Old Trafford, Adai Usajili Pekee ndiyo Utakaombakisha

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Manchester United na Timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo amesema anaangalia mwenendo wa klabu yake...

READ MORE

Korea Kaskazini Yajipanga Kutumia Zana za Nyuklia Kwenye Uwanja wa Vita

RAIS wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameagiza maafisa wa jeshi la nchi hiyo kuandaa mipango ya kuimarisha vikosi vya...

READ MORE

Nafasi za Kazi Research Triangle Institute (RTI), Gender, Youth, Equity and Social Inclusion (GYESI)Specialist

Research Triangle Institute (RTI) has over 30 years’ experience assisting governments, communities, and the private sector in managing their environment...

READ MORE

Kajala: Naangalia Zaidi Furaha Yangu Kuliko Kitu Chochote Msinipangie Maisha!

    Kajala Masanja au Mama Pau; ni staa mkali kwenye kiwanda cha filamu nchini Tanzania almaarufu Bongo Movies ambaye...

READ MORE

Bunge la EU Lairuhusu Ukraine Kuwania Uanachama wa Umoja wa Ulaya, 529 Wamepitisha

Bunge la Umoja wa Ulaya Alhamisi limepiga kura kwa wingi kuipa hadhi Ukraine ya kuwania uanachama wa Umoja huo, hatua...

READ MORE

Simba Yamuachia Mshambuliaji Wake, Yusuph Mhilu Kwenda Singida Big Stars

  IMEELEZWA kuwa, Simba ipo katika mazungumzo ya mwisho kwa ajili ya kumuachia mshambuliaji wake, Yusuph Mhilu kwenda Singida Big...

READ MORE

Live: Mdee, Wenzake Kichwa Ngumu, Watinga Bungeni, Spika Kumaliza Utata | Front…

 Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi...

READ MORE

Wanajeshi 8 wa UN Wajeruhiwa Katika Mlipuko wa Bomu Katika eneo la Mali la Timbuktu

Wanajeshi walinda amani wanane wa Umoja wa mataifa wamejeruhiwa Alhamisi katika mlipuko wa bomu la kutegwa ardhini katika eneo la...

READ MORE

Wawa Aagwa Simba Kwa Ushindi Uwanja wa Mkapa, Kagere Ampatia Jezi

BEKI kisiki wa Simba, jana Juni 23 2022 aliagwa rasmi kwenye kikosi hicho kwa kushuhudia ushindi wa mabao 2-0 kwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Juni 24, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 24, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

NMB Yafikia Makubaliano na Serikali ya Zanzibar Kusimamia Utunzaji Bustani ya Forodhani

Benki ya NMB imefikia makubaliano na Serikali ya Zanzibar kutunza bustani ya Forodhani visiwani Zanzibar ikiwa ni moja ya juhudi...

READ MORE

NBC yafungua milango kwa Wafanyabiashara wa Tanzania na Sauzi

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza kuhusu utayari wake katika kufanikisha ustawi wa biashara baina ya Tanzania na Afrika...

READ MORE

Kill Challenge 2022 Kuanza Kutimua Vumbi Julai 15

Mashindano ya Kill Challenge 2022 yanayoratibiwa na Kampuni ya Geita Gold Mine Limited (GGML) yanatarajia kuanza kutimua vumbi Julai 15...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Awasili Rwanda Kushiriki CHOGM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili nchini Rwanda tarehe 22 Juni 2022...

READ MORE

Tanzania na Qatar Kushirikiana katika Maandalizi ya Mashindano ya Kombe la Dunia

UJUMBE wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Bw. Saidi Yakubu...

READ MORE