×


Facebook

Kikongwe miaka 100 amtabiria magufuli

Kikongwe, Kete Abdallah Dustan Shekidele, Morogoro. UTABIRI! Wakati taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali zikitoa matokeo ya utafiti katika kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu mwezi ujao, kikongwe…

SOMA ZAIDIBela atafuta kiki kwa picha za utupu

Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda. KATIKA kile kinachoaminika kama ni kutafuta kiki, Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda amepiga picha za utupu na kuzitupia katika mitandao…

SOMA ZAIDI

Mbasha arudishwa kortini tena

Mwimbaji wa muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha. Brighton Masalu SIKU chache baada ya kushinda kesi ya tuhuma za kubaka iliyokuwa ikimkabili katika Mahakama ya Hakimu…

SOMA ZAIDI

Sipungii tena wadada mkono!

Kuna mambo mengine mtu unafanya kisha yanageuka maana na kukuweka katika hali ya sintofahamu. Lakini lililonikuta juzi mpaka sasa nacheka huku nalia peke yangu hata…

SOMA ZAIDI

Maisha rahisirahisi

MFUMO wa mafanikio umejengwa kwenye mambo magumu.  Huhitaji kupiga ramli kujua kama utafanikiwa au la.  Kipimo chako ni jinsi unavyojiepusha na masuala rahisirahisi. Utajiri siyo…

SOMA ZAIDI

Jokate, Kiba wageuka gumzo Taifa

Waandishi Wetu MASTAA wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na mkali wa kibao cha Chekecha Cheketua, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, juzikati waligeuka kivutio ndani…

SOMA ZAIDI


No Picture

Majanja; Chumvi iliyopoteza ladha!

Baada ya wiki iliyopita kuichambua Filamu ya Wake Up, leo tunaitazama filamu iitwayo Majanja, moja kati ya filamu ambazo zimefanya vizuri sokoni. Ni filamu ambayo…

SOMA ZAIDI

Nilimpa kilema mtoto wa tajiri!-3

Ilipoishia wiki iliyopita “Walinihimiza sana kutofanya mchezo na kibarua changu, walinitaka kuwa mvumilivu na mwenye nidhamu. Kila nilipowaambia kuhusu manyanyaso niliyoanza kufanyiwa, waliniambia ni mambo…

SOMA ZAIDI

Chongo!-4

Ilipoishia wiki iliyopita “Ame, kuna jambo moja muhimu nataka kukuambia, kukubali au kukataa kwako kutakuwa na maana mbili, kuharibu au kuboresha uhusiano wetu,” alisema huku…

SOMA ZAIDI

No Picture

Unending Love -44

Mapenzi ya dhati aliyonayo Jafet kwa Anna, yanamfanya awe tayari kufanya chochote kumsaidia msichana huyo. Licha ya tofauti kubwa ya hali zao kiuchumi, Anna akitokea…

SOMA ZAIDI

Jayjay nimeumizwa na mapenzi!

MAUMIVU niache! Msanii wa filamu ya Who Is My Child, Janeth Jackson ‘Jayjay’ amekiri kuumizwa na kulizwa na mapenzi mara kwa mara licha ya kuwa…

SOMA ZAIDI

Shoga, wivu ukizidi unakuwa kero!

Mmh! Nakuona mimacho imekutoka na kuangalia kama nitauanika ujinga unaofanya, leo ndiyo hukumu yako. Kumbe unajua matatizo yako kwa nini usiyaache mpaka umsubiri Anti Naa…

SOMA ZAIDI


Waoo..! kama jana vile!-12

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Nitamwambia nini? Nikisema ni vitu vyangu nilihongwa na buzi langu ataniona mimi kumbe mchepukaji. Mbaya zaidi yeye ni mama mtu mzima na…

SOMA ZAIDI

Kwa heri Celina…

Brighton Masalu na Denis Mtima BURIANI! Hatimaye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti na Utumishi wa Umma, Celina Stephano Ompeshi Kombani…

SOMA ZAIDI

Uwazi lachangisha sh. Milioni 14

Na Haruni Sanchawa Gazeti hili la Uwazi limekuwa likiandika habari za  kijamii kwa lengo la kuwasaidia watu wenye shida mbalimbali na kwa kushirikiana na wasomaji…

SOMA ZAIDI

Muhimbili hali tete

Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’ MUHIMBILI hali ni tete! Hayo ni maneno ya baadhi ya wagonjwa wanaotibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar baada…

SOMA ZAIDIMagufuli  alama 6, Lowassa alama 9

Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli. WAKATI kampeni za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zikizidi kupamba moto, vipimo…

SOMA ZAIDI

Tajiri afa, mali zazua balaa!

Na Waandishi Wetu MALI za aliyekuwa tajiri maarufu Dar, marehemu Charles John Mallya zimezua balaa baada ya mke mkubwa, Philomena Masechu ambaye anadai kuchuma naye…

SOMA ZAIDI


Mwalimu avamiwa, akatwa koromeo

Makongoro Oging’ na Issa Mnally UKATILI! Mwalimu Nelson Andrew (23), amevamiwa na watu wanaodaiwa kuwa ni vibaka na kumkata kwa kisu koromeo katika jaribio la…

SOMA ZAIDI