×

Prof. Ndalichako: Kiwanda cha kuchakata Nyama Cha Ngulu Hills Kimeleta Mapinduzi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Mhe. Profesa Joyce Ndalichako amesema kiwanda cha...

READ MORE

Asasi za Kiraia Zapewa Elimu Juu ya Masuala ya Kujitolea, Kutoa Msaada kwa Jamii

Shirika la Foundation of Civil Society (FCS) kwa kushirikiana na  East Africa Philanthropy Network (EAPN) wamewakutanisha asasi za kiraia kwa...

READ MORE

Pape Ousmane Sakho Ashinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Usiku wa Tuzo za CAF Nchini Morocco

KIUNGO Mshambuliaji wa Klabu ya Simba Pape Ousmane Sakho, ang’aa kwenye usiku wa utoaji wa tuzo za Shirikisho la Mpira...

READ MORE

Morrison Ampiga Mkwara Mzito Kapombe, Atamani Ligi Ianze Wamalizane

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, raia wa Ghana, Bernard Morrison, ameahidi kuwagaragaza mabeki atakaokutana nao msimu ujao akiwemo beki wa kulia...

READ MORE

Diamond Ajibu Mapigo Tuhuma za P Funk Kwa WCB, Atoa Tamko Zito

SUPASTAA wa Bongo Fleva ambaye pia ni Mkurugenzi wa lebo ya Wasafi amekanusha tuhuma za kwamba lebo yake inawanyonya wasanii...

READ MORE

Rais Biden Akutwa na Covid-19, Taarifa Yatikisa Ikulu ya Marekani

RAIS wa Marekani Joe Biden ameripotiwa kukutwa na maambukizi ya Virusi vya Covid-19 hiyo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...

READ MORE

P Funk Majani: Paula Atabadilika Tabia, Sasa Naongea Naye Vizuri

PRODYUZA mkongwe wa muziki Bongo, P Funk ‘Majani’ amesema kuwa, mwanaye Paula anayo nafasi kubwa ya kubadilika tabia kwani sasa...

READ MORE

Sri Lanka Yashuhudia Uapishwaji wa Rais Mpya, Apewa Matarajio Makubwa

RAIS mpya wa Sri Lanka Rani Wickremesinghe ameapishwa leo kufuatia maadamano makubwa ya umma yaliomlaazimisha mtangulizi wake kuikimbia nchi. Kuapishwa...

READ MORE

Mama wa Kambo Amfungia Mtoto Ndani Siku 3 Bila Chakula, Asingizia Amepotea

MTOTO wa kike Vanessa Mwakalobo miaka 10 mkazi wa Tunduma kata ya majengo mapya amefungiwa ndani ya chumba kwa siku...

READ MORE

Maoni ya ACT Kuhusu Utendaji Kazi wa Kampuni ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS)

    Kwa miaka mingi, pamekuwa na mjadala wa mara kwa mara juu ya utendaji kazi usioridhisha wa kampuni binafsi...

READ MORE

Chelsea Mbioni Kukamilisha Usajili wa Beki Mbadala wa Christensen

KLABU ya Chelsea ya nchini Uingereza ipo mbioni kukamilisha usajili wa mlinzi wa kati wa klabu ya Sevilla ya nchini...

READ MORE

Live: Rais Samia Anashiriki Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za EAC, AICC – Arusha-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Italia Atangaza Kujiuzuru, Ugumu wa Maisha Watajwa kama Sababu

WAZIRI Mkuu wa Italia Mario Draghi amethibitisha kutuma barua kwa rais wa nchi hiyo Sergio Mattarella kutaka kujiuzuru wadhifa wake...

READ MORE

Manara Afungiwa Kujihusisha na Soka kwa Miaka 2, Apigwa Faini ya Milioni 20.

KAMATI ya Maadili ya TFF imetoa hukumu ya kumfungia Msemaji wa Yanga Haji Manara kujihusisha na masuala ya soka kwa...

READ MORE

Bi Sonia wa Bongo Movies Afariki Dunia, Mastaa Mbalimbali wa Filamu Wamlilia

FARIDA Sabu almaarufu Bi Sonia; ni mkongwe mwingine wa Bongo Movies ambaye amefariki dunia leo, Julai 21, 2022 ikiwa ni...

READ MORE

Kamati Ya Maadili (Tff ) Inazungumza Muda Huu na Waandishi wa Habari

KAMATI ya Maadili ya TFF inazungumza na waandishi wa habari juu ya sakata la Msemaji wa Yanga Haji Manara na...

READ MORE

Zaidi ya Watoto 358 Waripotiwa Kuuawa Kwenye Vita ya Urusi na Ukraine

RIPOTI mpya ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Ukraine imebainisha kuwa jumla ya watoto 358 wameripotiwa kuuawa katika vita inayoendelea...

READ MORE

Nafasi ya Kazi CRDB, Senior Specialist; Business Processes Reengineering

Reporting Line- Head; Business Transformation   Department- Business Transformation   Job Summary. Strategically and continuously develop, measure, improve, monitor, and...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Julai 21, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 21, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE