×

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Julai 21, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 21, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Kampuni ya Knauf Yatoa Misaada ya Elimu ya Sh.milioni 60 Mkuranga

    SHULE za msingi Kisemvule na Mwanambaya zilizopo Mkuranga mkoani Pwani, zimenufaika na msaada wa madawati 300, matundu kumi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la SpotiXstra leo July-19, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi...

READ MORE

Padri Mmoja Aliyetekwa Nyara Akiwa na Wenzake Auawa kwa Kupigwa Risasi Nigeria

  PADRI mmoja wa Kanisa la Katoliki anayefahamika kwa jina la John Mark Cheitnum ambaye alitekwa nyara akiwa na wenzake...

READ MORE

Abiria 41 Wanasurika Kifo Baada ya Basi la Happy Nation Kugongana Uso kwa Uso na Lori

ABIRIA 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya...

READ MORE

Rais Samia Ashtukia Wanaoajiriwa Jeshi la Polisi, Aagiza Mfumo wa Ajira Uchunguzwe

RAIS wa Jamhuri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema atakwenda kuuchunguza mfumo wa ajira katika...

READ MORE

Waziri Aweso Akutana na Kuzungumza na Mkurugenzi wa Mtendaji wa India Exim Bank

MHESHIMIWA Jumaa Aweso (Mb)-Waziri wa Maji New Delhi nchini India amekutana na kuzungumza na Ms. Harsha Bangari, Mkurugenzi Mtendaji wa...

READ MORE

Mzee Mfinanga Aibuka Akidai ni Baba Mzazi wa Nandy, Asimulia Jinsi Alivyokutana na Mama Yake Mzazi

IKIWA ni siku chache baada ya mastaa wa Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga maarufu kama Nandy na William Nicolaus Lyimo...

READ MORE

Wadau wa Bandari Waomba TICTS Isiongezewe Mkataba Washindwa Kufikia Lengo

Kampuni ya Kimataifa ya huduma ya Kontena Tanzania (TICTS) inadaiwa kushindwa kutekeleza makujukumu yake na wadau wa sekta za biashara...

READ MORE

Rais Samia Amtaka IGP Mpya Kuonesha Ufanisi na Kuimarisha Usalama wa Raia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema anatarajia kuona ufanisi mkubwa wa kazi kutoka kwa Inspekta...

READ MORE

Barcelona Yamfungia Kazi Azpilicueta, Chelsea Yaandaa Mbadala Wake Kutoka Ujerumani

KLABU ya Barcelona ya nchini Hispania ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa beki na Nahodha wa klabu...

READ MORE

Live: Rais Samia Anamuapisha IGP Mpya, Balozi Sirro na Viongozi Wengine Aliowateua-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaapisha Viongozi wateule wafuatao: 1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA,...

READ MORE

Uviko-19 Yasababisha Wafanyakazi Nchini Australia Kufanyia Kazi Nyumbani Kwao

WAFANYAKAZI nchini Australia washauriwa kufanyia kazi nyumbani kutokana na ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya Uviko-19 kulikumba Taifa hilo....

READ MORE

Nafasi za Kazi 2 University Of Dar es Salaam (UDSM), Instructor – Film and Television

POST INSTRUCTOR II- FILM AND TELEVISION – 2 POST EMPLOYER University Of Dar es Salaam (UDSM) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-19 2022-08-01...

READ MORE

Aishi Manula Asaini Mkataba Mpya Kuendelea Kubaki Mitaa ya Msimbazi

GOLIKIPA namba moja wa Klabu ya Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania Aishi Manula ameongeza mkataba mpya wa kuendelea...

READ MORE

Rais Samia Amteua IGP Mpya Camillus Wambura, DCI Ramadhan Kingai

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa watumishi mbalimbali wa Serikali

READ MORE

Rais Samia Aikabidhi Vodacom Tuzo Kwa Kujenga Wodi ya Wajawazito na Watoto CCBRT

    Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc kupitia asasi yake ya Vodacom Tanzania Foundation imepokea tuzo kutoka hospitali ya CCBRT...

READ MORE

Rais Ramia Amteua IGP Sirro Kuwa Balozi Nchini Zimbambwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi leo July-20, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi...

READ MORE