×

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Julai 14, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 14, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Naibu Waziri Katambi: Serikali Inajivunia Kuwa WCF

  SERIKALI imesema inajivunia Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa jinsi umeweza kufikia malengo yaliyokusudiwa kwa kuongeza matumaini kwa...

READ MORE

Katika Kuunga Juhudi za Rais Samia, Nmb Yatoa Vifaa Vya Afya, Elimu Wilya ya Lushoto

  Benki ya NMB imetoa msaada wa mabati 200 kwa Zahanati ya Kwemakame iliyopo wilayani Lushoto mkoani Tanga yenye thamani...

READ MORE

Baba Levo Amuonya Rayvanny, Asibadilike na Kuwa kama Harmonize

  BABA Levo au Chawa Promax wa Diamond Platnumz; ni msanii na mtangazaji wa Wasafi ambaye hajabaki nyuma kuzungumzia suala...

READ MORE

Dimpoz Afukua Makaburi Kuwekewa Sumu Afe, Amtaja Mama Yake Mzazi

OMMY Dimpoz; ni staa wa muziki wa Bongo Fleva ambaye amefukua makaburi juu ya ile ishu yake ya kuwekewa sumu...

READ MORE

Serikali Yatangaza Ajira Mpya 334

Serikali imetangaza nafasi mpya za ajira 334 katika kada tofauti tofauti ikiwa ni mlengo mpya kwa mwaka wa fedha 2022/23...

READ MORE

Makamu wa Rais Atoa Rai kwa Wafanyabiashara Kuzalisha Bidhaa Zenye Uhitaji Mkubwa Nchini

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametoa rai kwa wafanyabiashara nchini kuwekeza nguvu zao...

READ MORE

Watatu wa Familia Moja Wafariki kwa Kugongwa na Gari Wakipeleka Mtoto Hospitali

WATU watatu wa familia moja akiwemo mtoto mdogo, wakazi wa kata ya Terat  katika jiji la Arusha,wamepoteza Maisha papo hapo ...

READ MORE

Sterling Aaaga Rasmi Manchester City, Akwea Pipa Kuelekea Marekani Kujiunga na Chelsea

MCHEZAJI wa Manchester City na Timu ya Taifa ya Uingereza Raheem Sterling (27) ameandika ujumbe maalum wa kuwaaga mashabiki wa...

READ MORE

Waziri Jafo Aipongeza NEMC Kwa Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira

Pongezi hizo  zimetolewa na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhe.Selemani Jafo alipokuwa akiongea na waandishi wahabari...

READ MORE

Simba Yatambulisha Jembe Jipya Kutoka Nchini Ghana, Takwimu Zake Zinatisha

KLABU ya Simba imemtambulisha kiungo mshambuliaji raia wa Ghana Augustine Okrah akitokea Bechem United.   Okrah amesaini mkataba wa miaka...

READ MORE

Rais wa Sri Lanka Atoroka Nchi kwa Kutumia Ndege ya Jeshi, Ndugu Yake Atimkia Marekani

RAIS wa Sri Lanka Gotabaya Rajapaksa (73) ametoroka nchi yake kwa kutumia ndege ya jeshi la nchi hiyo akiwa yeye...

READ MORE

Nane Wafariki Ajalini, Watano wa Familia Moja

Watu nane wakiwamo watano wa familia moja ambao ni mama na watoto wake wanne, wamefariki dunia baada ya magari mawili...

READ MORE

Mwanajeshi Mstaafu Aua Wakigombea Mpaka

MSTAAFU wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), Jonas Ziganyige (71), anashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam...

READ MORE

Mwizi Amuua Binti wa Kazi za Ndani na Kuuficha Mwili Huo Katika Stoo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara...

READ MORE

Chelsea Yafikia Makubaliano na Napoli Kumsajili Beki Kalidou Koulibaly

KLABU ya Chelsea ya nchini Uingereza imefikia makubaliano na klabu ya Napoli ya nchini Italia juu ya uhamisho wa Beki...

READ MORE

Nafasi za Kazi Absa Group Limited Manager, Internal Audit (Cyber and Technology)

locations Absa House – ABT time type : Full time posted on Posted Yesterday job requisition id R-15935076 Bring your...

READ MORE

Wabunge wa Sri Lanka Kumchagua Rais Mpya Mapema Wiki Ijayo, ni Kutoka Miongoni Mwao

  Wabunge nchini Sri Lanka wamefikia muafaka wa  kumchagua rais mpya wa nchi mapema wiki ijayo lakini, licha ya kufikia...

READ MORE

UN Wametoa Taarifa Kwamba Idadi ya Watu Itaongezeka hadi Kufikia Watu Bilioni 8 kufikia Novemba 15

UMOJA wa Mataifa wametoa taarifa siku ya Jumatatu juu ya ongezeko la watu duniani ambapo inatarajiwa kwamba idadi ya watu...

READ MORE