×

Nafasi za Kazi 3 National Audit Office (NAOT), Fani ya Uchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta II

POST FANI YA UCHAMBUZI WA MIFUMO YA KOMPYUTA II (COMPUTER SYSTEM ANALYSIS) – 3 POST EMPLOYER National Audit Office (NAOT)...

READ MORE

UVCCM: Asante kwa Kazi Kubwa Rais Samia, Piga Kazi Mama

Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM limeaziamia kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu...

READ MORE

Makamu wa Rais Ashiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa Nchini Sweden

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 2 Juni 2022 ameshiriki...

READ MORE

Serikali Kuandaa Kanuni za Udhibiti wa Bei ya Dawa na Vifaa Tiba

SERIKALI ipo mbioni kuandaa kanuni za kudhibiti bei za dawa nchini na tayari rasimu ya kanuni hizo zimeshawasilishwa kwa Mwanasheria...

READ MORE

Watu 6 wa Familia Moja Mkoani Songwe Wanasakwa na Polisi kwa Uharibifu wa Mazingira

MKUU wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba amemuagiza Kamanda wa Jeshi la Polisi kuwatafuta popote pale walipo watu sita (6)...

READ MORE

Bosi Simba Aanika Mkataba wa Chama, Kocha Hakumtaka Hakuwepo katika Mipango Yake

  MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Kassim Dewji ‘KD’ amesema kuwa kiungo mshambuliaji Mzambia, Clatous Chama hakuwepo katika...

READ MORE

Wizara ya Afya Yanuia Kuongeza Kasi ya Matumizi ya Chanjo ya Uviko-19

WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu leo Juni 02, 2022 amezindua zoezi la kuongeza kasi ya matumizi ya chanjo ya Uviko...

READ MORE

Mshindi wa Milioni 20 na Meridianbet Anena Mbinu ya Ushindi!, Shinda na Aviator

Unapata furaha kiasi gani pale dakika moja tu inapotosha kubadilisha maisha kukufanya uwe tajiri kwa kuweka rehani pesa kidogo tu?...

READ MORE

Nchi ya Uturuki Yabadili Jina Katika Mkakati wa Kulitangaza Taifa Hilo

NCHI ya Uturuki imefikia uamuzi wa kubadili jina lake linalotambulika siku zote la Turkey na sasa itafahamika kama Turkiye.  ...

READ MORE

Rais Samia Afungua Mkutano wa Mwaka wa Chama cha Makatibu Mahsusi(PICHA+VIDEO)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano wa Mwaka wa Makatibu Mahsusi kutoka mikoa mbalimbali...

READ MORE

Kampuni ya Agrinfo Yaingia Mkataba na Vilabu vya Simba na Yanga( PICHA +VIDEO)

VILABU vya Simba na Yanga vimesaini Mkataba na Kampuni ya Agrinfo iliyojikita katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ambao...

READ MORE

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa Ashitakiwa kwa Kosa la Jinai

MKUU wa Usalama wa zamani wa Afrika Kusini Arthur Fraser amemfungulia mashitaka ya kosa la jinai Rais wa nchi hiyo...

READ MORE

Huzuni, Wachezaji 14 Ndani ya Kikosi cha Yanga Kufyekwa Msimu Ujao wa 2022/23 -Video

    MASTAA 14 ndani ya kikosi cha Yanga, wapo kwenye hesabu za kufyekwa kwa ajili ya kukiboresha kikosi hicho...

READ MORE

Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Akanusha Tuhuma za Rais Putin Kuwa Mgonjwa

KWENYE kipindi cha mahojiano alichofanya na Televisheni ya Ufaransa Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amekanusha tuhuma...

READ MORE

Live: Rais Samia Anafungua Mkutano wa Mwaka Wa Chama cha Makatibu Mahsusi…

 RAIS Samia Suluhu leo Juni 02, ameshiriki kwenue mkutano mkuu wa kitaaluma wa makatibu mahsusi Tanzania, uliofanyika jijini Dodoma....

READ MORE

Simba, Yanga Wanajambo Lao, Barbara na Manara Uso kwa Uso – Video

LEO Juni 02, 2022  viongozi wa Vilabu vya  Simba na Yanga, wanazungumza na wanahabari kuhusiana na shindano la ‘NANI ZAIDI’...

READ MORE

Simba Wafunguka Tetesi za Kumsajili Ntibanzokiza ‘Saido’, Watangaza Mipango Mipya

  BAADA tetesi nyingi kuzagaa za kiungo Mrundi, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ kutua Simba, uongozi wa timu hiyo umeibuka na kutamka...

READ MORE

Urusi Yatangaza Majaribio ya Makombora ya Nyuklia, Baada ya Marekani Kutoa Roketi

Wizara ya Ulinzi ya Urusi imetangaza kuanza kwa mazoezi ya kijeshi ya kile kinachoitwa Kikosi cha Makombora cha Kimkakati –...

READ MORE

Tundu Lissu: Serikali Imenilipa Mafao Yangu ya Ubunge Baada ya Kutumikia Miaka Mitatu

  MAKAMU mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amesema Serikali imemlipa kiinua mgongo chake aliochukuwa anadai baada ya kutumikia nafasi ya...

READ MORE

Nafasi za Kazi 7 NAOT, Fani ya Ukaguzi wa Mifumo ya Taarifa (Information System Auditor)

POST FANI YA UKAGUZI WA MIFUMO YA TAARIFA (INFORMATION SYSTEM AUDITOR II) – 7 POST EMPLOYER National Audit Office (NAOT)...

READ MORE