Wenger Amshukia Salah Kisa Uchoyo
KOCHA wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amemtaka straika wa Liverpool, Mohamed Salah kuacha uchoyo wakati akiichezea timu yake. Kauli ya Wenger imekuja siku chache baada ya Sadio Mane kukorofishana na Salah baada ya kunyimwa pasi…
