Yanga Wavujishiwa Siri za Ibenge Al Hilal, Wapewa Mbinu ya Kuwamaliza Mapema
KUELEKEA katika mchezo wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Msaidizi wa AS Vita, Roul Shungu, amewapa siri Yanga ambao ni mabosi wake wa zamani kwa kuwaambia wana kila sababu ya kupata ushindi mkubwa dhidi ya Al Hilal ya…
