Rais wa Afghanistan Akimbia Nchi, Wanamgambo wa Taliban Waingia Ikulu
RAIS wa Afghanistan, Ashraf Ghani ameikimbia nchi yake jana Jumapili, Agosti 15, 2021 jioni baada ya wanamgambo wa Taliban kuuzingira mji mkuu wa Kabul, kuingia Ikulu na kuchukua nchi.
Maafisa wawili wa serikali ambao hawakutaka…
