Eti Wema, Aunt wapatana!
Waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel katika pozi.
Na MWANDISHI WETU
KITUKO! Katika hali isiyotarajiwa, waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamepatana ghafla…
