Bodaboda yamvunja bega Masai Nyota Mbofu
Msanii wa Vichekesho, Gilliady Severine ‘Masai Nyota Mbofu’.
MSANII wa Vichekesho aliyewahi kutamba na Kundi la Vituko Show, Gilliady Severine ‘Masai Nyota Mbofu’, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuvunjika bega kufuatia ajali mbaya…
