×

Tag: BONGO FLEVA

HALI YA DIMPOZ NI DARASA KWA WASANII

MARA nyingi matatizo huwaunganisha watu na kuwafanya kuwa kitu kimoja, hata kama katikati yao kulikuwa na tofauti kubwa kiasi gani...

READ MORE

PENZI LA UWOYA LAMVURUGIA KALALA JUNIOR

  UBUYU mpya mjini ni kwamba mwanamama kiwango kwenye kiwanda cha filamu Bongo, Irene Uwoya anamzimia usipime mkali wa miondoko...

READ MORE

UICHOKIJUA KUHUSU NIKKI WA PILI KUWANIA URAIS WA TANZANIA

Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo kutoka Kampuni ya Weusi, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ hivi karibuni amezua gumzo baada ya...

READ MORE

MBOSSO: NILITAKA KUZIKWA NIKIWA HAI

  HITMAKER wa Ngoma ya Nadekezwa ambaye pia ni Memba wa Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yussufu ‘Mbosso’, amefunguka kuwa...

READ MORE

SISTER FAY AHOFIA KUPORWA BENTEN WAKE

MWANADADA Faidha Omari ‘Sister Fay’, ambaye kwa sasa anatengeneza vichwa vya habari kutokana na uhusiano na ‘benten’ wake aitwaye Hollystar,...

READ MORE

DIAMOND AMLIZA MAMA MOBETO!

USHUHUDA alioutoa hivi karibuni mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuhusu maisha yake, umekuwa mwiba mkali kwa mama...

READ MORE

SO SMART! ALICHOKISEMA VEE MONEY KWA WATOTO YATIMA

UKIZUNGUMZIA wanadada wanaofanya vizuri kwenye Bongo Fleva ni Vanessa Mdee ‘Vee Money’. Amefanya mambo mengi kwenye gemu la Bongo Fleva.  Vee...

READ MORE

KAULI YA DULLY KUHUSU NDOA YAZUA GUMZO

MWANAMUZIKI mkongwe kwenye Tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ hivi karibuni mbele ya umati wa mashabiki...

READ MORE

NAY WA MITEGO AFUNGUKA ISHU YA KUFILISIWA NA BENKI

Staa wa Bongo Fleva, Emm-anuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameifungukia ishu ya kufilisiwa na benki inayosemekana inamdai baada ya kukopa...

READ MORE

ZAMANI ‘HIT-SONG’, MSANII MKUBWA, SIKU HIZI KIKI KUBWA,‘HIT SONG’

ZAMA zinabadilika kwa kasi sana utadhani zinakimbizwa na mwanariadha mwenye heshima Bongo, Alphonce Simbu na walioushuhudia Muziki wa Bongo Fleva...

READ MORE

FID Q ‘ANAVYOLIA’ NA UFALME WA KING KIBA

KWA mpenzi wa burudani na shabiki wa Muziki wa Hip Hop Bongo hasa wa mwanamuziki Fareed Kubanda ‘Fid Q’, wimbo...

READ MORE

JIKE SHUPA AVUNJA KIAPO

Juma Kassim ‘Nature’LICHA ya kuapa kwamba hatazaa mtoto mwingine zaidi ya yule aliyezaa na mwanamuziki, Juma Kassim ‘Nature’, muuza nyago...

READ MORE

AY ATOBOA SIRI KUISHI MAREKANI

MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY’, ambaye wimbo wake wa Microphone aliomshirikisha Fareed Kubanda ‘FID Q’...

READ MORE

BONGE LA NYAU ATOBOA SIRI KUTOKA NA KHADIJA KOPA

MWANAMUZIKI Lameck Philipo ‘Bonge la Nyau’ amefunguka kwamba siri ya yeye kuamua kufanya kazi na mwanamuziki mkongwe wa Taarab, Khadija...

READ MORE

DIAMOND ANANGWA ‘BETHIDEI’ MTOTO WA MOBETO

WAKATI akijiandaa kumfanyia sikukuu maalumu ya kuadhimisha kuzaliwa kwake mwanaye Tiffah, sherehe ya bethedai ya Dylan mtoto aliyezaa na Hamisa...

READ MORE

SHILOLE HAKUSOMA, ALITELEKEZWA NA WATOTO; LEO NI STAA BONGO!

  ANAITWA Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amezaliwa katika familia ya kimasikini huko Igunga, Tabora. Ni mtoto wa mwisho kati ya watoto...

READ MORE

AMBER LULU, ASIYEFUNZWA NA MAMAYE…… !

SIZUNGUMZII kuhusu mitusi ambayo mwanadada Lulu Eugene ‘Amber Lulu’ alikuwa akivurumishiana na mpenzi wake wa zamani, David Genzi almaarufu kama...

READ MORE

SIRI YA ROSA REE KUTOBOA NI HII

MWANAMUZIKI Rosary Robert, ambaye anafanya vizuri kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva na Afrika kwa sasa na Wimbo wa...

READ MORE

RUBY AFUNGUKIA KUBUMA, KUACHA MUZIKI !

TAJA wanamuziki wa kike wakali Bongo. Si jambo geni kwa mpenzi wa muziki mtaani kumuuliza mwenzake na si ajabu kusikia...

READ MORE

VEE MONEY ATOBOA SIRI YA KUANDAA SHOO ZAKE

  MWANAMUZIKI wa kimataifa, Vanessa Mdee ‘Vee Money’, amesema siri ya kuandaa shoo zake mbali na kufikisha kazi zake kwa...

READ MORE

LINA: NITAZAA WATOTO 3 TU

STAA wa Filamu za Kibongo, Esterlina Sanga, ameibuka na kusema ataongeza mtoto wa pili miaka miwili ijayo kwani mpango wake...

READ MORE

FEZA KESSY APIGA CHINI UTANGAZAJI , AMFUNGUKIA MWANAYE

FEZA Kessy aka Manzi ya Arusha ni miongoni mwa mastaa ambao wamepata nafasi ya kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania nje...

READ MORE

LINAH ASIMULIA ALIVYOKUTANA NA SHABANI BENKI

MPENZI msomaji tunazidi kuinjoi simulizi za watu mbalimbali juu ya namna walivyokutana na kuanzisha uhusiano wa kimapenzi.  Wiki iliyopita tuliwaona mastaa...

READ MORE

LULU DIVA HATAKI KUSIKIA ALIKOTOKA

MWANADADA Lulu Abass ‘Lulu Diva’ ambaye kwa sasa anakimbiza kwenye gemu la Bongo Fleva na Wimbo wa Ona ambao amemshirikisha...

READ MORE

SOLO THANG ADATA NA MAUA SAMA

MWANAMUZIKI mkongwe katika gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Msafiri Kondo ‘Solo Thang’, ambaye kwa sasa anaishi Uingereza hivi karibuni...

READ MORE

MAISHA YA SOLO THANG ‘TRAVELLAH’ UGHAIBUNI

MWISHONI mwa miaka ya 1990, Clouds Media ikishirikiana na Kinywaji cha Pilsner, waliandaa mashindano ya kusaka vipaji vya wanamuziki yaliyofanyikia...

READ MORE

UTATA WAIBUKA BETHIDEI YA TIFFAH

DAR ES SALAAM: WAKATI mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akitangaza maandalizi ya kufuru ya bethidei ya mwanaye...

READ MORE

MISS WA BONGO ALIYENASWA KWA SANGOMA NAKAAYA AANIKA

DAR ES SALAAM: Kwa wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii, video ya mrembo aitwaye Samirata anayetajwa kuwahi kushiriki mashindano ya Miss...

READ MORE

BETHIDEI YA TIFFAH KUFURU

DAR ES SALAAM: Maandalizi ya pati ya kuzaliwa (birthday) ya bintiye ambaye ndiye uzao wake wa kwanza, Latifah Nasibu ‘Tiffah...

READ MORE

KEISHA: NINAMUDU MUZIKI NA SIASA

MWANAMAMA mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Khadija Shaban Taya ‘Keisha’ amefunguka kuwa kuna ugumu wa kufanya muziki na siasa...

READ MORE

BILL NAS ASHINDWA KUPATA MBADALA WA NANDY

HITMAKER wa Ngoma ya Labda, William Lyimo ‘Bill Nas’ amefunguka kwamba anatamani sana kuwa kwenye uhusiano lakini kinachomfanya mpaka sasa...

READ MORE

LULU DIVA AWEKA WAZI KILICHOBADILI MAISHA YAKE

MWANADADA Lulu Abass ‘Lulu Diva’ amebonga kwamba miongoni mwa vitu vilivyombadilisha maisha yake hasa kwenye gemu la Muziki ni wimbo...

READ MORE

‘KIKUKU’ CHA DIAMOND NA USHONGA KWA VIJANA WETU !

MIAKA ya nyuma kidogo, mtoto wa kiume akionekana anafanya mambo ambayo yamezoeleka kufanywa na watoto wa kike, wazazi walikuwa wakiumia...

READ MORE

ROSE NDAUKA ACHOMOA KUBANJUKA NA DJ OMMY

MSANII wa filamu Bongo ambaye amepotea kwenye ‘media’ kwa kipindi kirefu, Rose Ndauka amefunguka juu ya tetesi zinazoenea mitandaoni kuhusu...

READ MORE

KWA HILI LA MAKOSA YA MTANDAO; MASTAA MTAPATA TABU SANA

KILA kukicha, wapo mastaa ambao wamekuwa wakijiachia kihasara mitandaoni bila kujali kwamba wanaenda kinyume na maadili ya Kitanzania na wao...

READ MORE

NISHA, SISTER FAY; KIKI ZA KISHAMBA HAZIKIKI

KWENU mastaa wawili, Salma Jabu ‘Nisha’ na Faiza Omary ‘Sister Fay’, habari zenu? Mkitaka kujua hali yangu, mimi sijambo. Hofu...

READ MORE

JUMA NATURE KUONYESHA UKONGWE WAKE KESHO

NGULI kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Juma Kassim ‘Juma Nature’, kesho anatarajia kuangusha shoo ya kibabe kwenye Uwanja...

READ MORE

BABU TALE AFUNGUKA MAVOKO KUTIMULIWA WCB

BAADA ya kuzagaa kwa madai kwamba msanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ambaye yuko kwenye Kundi la WCB ambalo mkurugenzi...

READ MORE

ROMA AGAWA MAGAZETI YA GLOBAL, KUPIGA SHOO DAR LIVE J2

Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki juzi Jumatano alihamsha shangwe za kutosha kwa mashabiki wake baada ya kufanya sapraiz...

READ MORE

ROMA AWAFUNGUKIA WANAOFELISHWA NA NDOA

ALIINGIZA somo la ‘Mathematic’ kwenye ulimwengu wa Muziki wa Hip Hop, mashabiki wakaingia ‘class’ kupiga msuli, akawaita ‘Wanakondoo’ kisha akajitangaza...

READ MORE