×

Tag: BONGO FLEVA

Mabinti wa Hip Hop Wasibaniwe, Watoboe!

KWA sasa huwezi kutaja maendeleo ya muziki wa kuchana kwa kinadada bila kumtaja mwanadada Onika Maraj ‘Nicki Minaj’. Nicki ambaye...

READ MORE

Amber Lulu: Bila Pombe Kali Siimbi, Siuzi Nyago!!

 Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA IJUMAA| STAR MIX VIDEO Queen ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva amefungukia kazi zake...

READ MORE

VIDEO: Simu ya Roma Ipo Hewani, Haipokelewi…

ITAZAME video mke wa Roma, mama Ivan afunguka…

READ MORE

Diamond Awahusia Watoto Wake Mtandaoni

DAR ES SALAAM: Msanii wa kiwango cha kimataifa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amewaasa wanaye kuwa wanatakiwa kuitumia vyema midomo yao....

READ MORE

Vita ya Idadi ya ‘Followers’ Insta na Kiburi cha Watumiaji

“MIMI ni mtu mkubwa, nina wafuasi (followers) wengi sana kwenye mtandao wangu wa  Instagram ‘Insta’, unacheki walivyokuwa wengi, wamefi ka...

READ MORE

Mheshimiwa Spika, kwa Leo Sitasema Saaa…na!

JAMANI wasomaji wangu, mimi kila wiki ikifika Alhamisi msemo wangu ni uleule kwamba, Mungu ni wa kumshukuru sana kwa sababu...

READ MORE

Mastaa Wavaa Mlegezo si Heshima Kwenu!

Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ XTRA IMEZOELEKA kuwa wasanii ni kioo cha jamii kwa sababu wana nafasi...

READ MORE

Tunda Afyatuka Skendo ya Usagaji

Na Mwandishi Wetu/GPL MUUZA nyago kwenye video mbalimbali za wanamuziki wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian amefyatuka kuwa, kamwe hawezi kujihusisha...

READ MORE

Siku Chache Baada ya Kukimbia Bastola kwa Nape, Hamorapa Anusa Kifo!

DAR ES SALAAM: Chuki! Zikiwa zimepita siku chache baada ya msanii chipukizi wa Bongo Fleva lakini mwenye matukio mengi, Athuman...

READ MORE

Kwa Mara ya Kwanza, Dayna Nyange Anyakua Tuzo za Kimataifa

MWANADADA matata kwenye game ya Bongo Fleva, Dayna Nyange amekuwa Mtanzania pekee kuibuka mshindi wa Tuzo mbili za BAE Awards...

READ MORE

Joh Makini Kuachia Ngoma na Davido Soon

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Joh Makini, yupo mbioni kuitimiza ahadi aliyowaahidi mashabiki wa muziki huo nchini. Joh Makini...

READ MORE

Belle 9 Atinga Mwanza Kumfariji Jetman

Na MAYASA MARIWATA| GAZETI LA UWAZI| SHOWBIZ MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Abednego Damian ‘Belle...

READ MORE

Tammy Afungukia Kujiachia Nusu Utupu!

Na ANDREW CARLOS| IJUMAA WIKIENDA| TOWN STORY MSANII wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Tamara Ally ‘Tammy The Baddest’ ameweka...

READ MORE

Snura Adaiwa Kupangiwa Nyumba na Mwarabu

Na HAMIDA HASSAN| GLADNESS MALLYA| IJUMAA WIKIENDA| UBUYU ULIONYOOKA DAR ES SALAAM: Ubuyu wa mjini! Staa wa muziki na sinema...

READ MORE

Fella, Thabit Nusura Wazichape Msalani

Na ISSA MNALLY| IJUMAA WIKIENDA|OVER ZE WEEKEND WAMILIKI wa Makundi ya Taarab, Thabit Abdul wa Wakali Wao na Said Fella...

READ MORE

Shilole Ajivisha Pete ya Uchumba

Na Mwandishi Wetu/GPL STAA wa Filamu za Kibongo, Zuwena Mohammed ameamua kujivisha pete ya uchumba mwenyewe, kitendo ambacho kimezua minong’ono...

READ MORE

Harmorapa Auza Sura na Mzungu wa Kampuni ya Swala Escape One

Salum Milongo/GPL MSANII wa Bongo Fleva anayetrendi katika mitandao ya kijamii Bongo, Athuman Omary ‘Hamorapa’, jana jumamosi katika viwanja vya...

READ MORE

Baada ya Wimbo wa Nay Kufunguliwa, na hizi nazo vipi?

Na ANDREW CARLOS| GAZETI LA IJUMAA| SHOW BIZ MWISHONI mwa wiki iliyopita gumzo kubwa kunako burudani hususan katika Muziki wa...

READ MORE

Pacha wa Wema: Mimi Kauzu, Simshobokei Wema!

DAR ES SALAAM: Kuna imani kuwa duniani wawiliwawili! Hii inajidhihirisha kwa mwanadada Lisa Deedee `Tuerny’ ambaye amejipatia umaarufu mitandaoni kutokana...

READ MORE

Nuh: Mtoto Kanipa Mzuka Kimuziki!

STORI: IMELDA MTEMA | GAZETI LA IJUMAA | SHOWBIZ BAADA ya hivi karibuni mkewe kujifungua mtoto wa kike aitwaye, An­yagile,...

READ MORE

Siwema: Nay Anakurupukaga

  Na IMELDA MTEMA| GAZETI LA IJUMAA| SHOWBIZ MZAZI mwenziye na Mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’,  Siwema Hudson amesema...

READ MORE

Diamond Adhihakiwa Mtandaoni na Mashabiki wa Muziki

Na Salum Milongo/GPL MASHABIKI  wa muziki wa  Bongo Fleva nchini wamekuwa wakisambaza picha ya mwanamuziki nyota, Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’, ...

READ MORE

Heh! Kumbe kuna Harmonize!

Na BONIPHACE NGUMIJE| GAZETI LA AMANI| HABARI NI nadra sana kwa sasa kama utatembelea kwenye mitandao ya kijamii usikutane na...

READ MORE

Mama Mobeto Amtolea Povu Zari!

NA IMELDA MTEMA| GAZETI LA  AMANI| HABARI DAR ES SALAAM Skendo ya mjini iliyotapakaa mjini na kwenye mitandao ya kijamii...

READ MORE

Nature: Singeli Haiwezi ‘Kufa’

STORI: NA ANDREW CARLOS | AMANI | Showbiz Xtra MKONGWE wa Muziki wa Bongo Fleva, Juma Kassim ‘Nature’ amefungukia baadhi ya...

READ MORE

Harmonize Sikio Halizidi Kichwa, Chunga Sana

  Na ERIC EVARIST| RISASI MCHANGANYIKO| BARUA NZITO MOJA kati ya jambo ambalo linawashinda watu wengi ni kubaki na nidhamu...

READ MORE

Kopa: Nitashuka na T.O.T Taarab Dar Live

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES ZIKIWA zimesalia wiki kadhaa kufikia Sikukuu ya Pasaka, Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa...

READ MORE

Mary Mawigi Alia na Wanasiasa

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES MSANII wa filamu Bongo, Mary Mawigi amelia na wanasiasa, akiwataka kuangalia matatizo ya...

READ MORE

Najua Uliimiss ‘Kizaizai’ ya Daimond Sasa Nimekuwekea Hapa….

  Yanaanza kama safari twende folani ukaone, Kumbe yana nguvu ni hatari ukishanasa ndio uponie..x2 Mungu aliumba dunia na Maajabu...

READ MORE

JIDE: Tuache Kuwaziana Mabaya

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES WAKATI akitarajia kuzindua albamu yake ya saba Ijumaa hii, mkongwe wa Afro Pop...

READ MORE

Davina Amshauri Jambo Mwakyembe!

Na GLADNESS MALLYA| RISASI MCHANGANYIKO| ZA MOTOMOTO NEWS NYOTA wa filamu nchini, Halima Yahaya ‘Davina’ amemtaka Waziri Mpya wa Habari,...

READ MORE

Baada ya Kuruhusu Wimbo wa Nay upigwe, Mastaa Wampa Big Up Magufuli

Na GLADNESS MALLYA| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI DAR ES SALAAM: Saa chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Mama Wema Aitikisa Ndoa ya Alex Msama

Na WAANDISHI WETU|RISASI MCHANGANYIKO| HABARI DAR ES SALAAM: Hatari! Mama mzazi wa muigizaji mkubwa wa filamu Tanzania, Wema Sepetu, Miriam...

READ MORE

Baghdad Kula Sahani Moja na Serikali

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI UWAZI| SHOWBIZ RAPA ambaye ni miongoni mwa wasanii wanaounda Kundi la Mexcana la Vavela, Baghdad anayetamba...

READ MORE

Dayna Nyange Alia ‘Njaa’ Kwenye Muziki

Na BONIPHACE NGUMIJE| GAZETI LA UWAZI| SHOWBIZ MWANAMUZIKI wa kike anayefanya poa Bongo na Wimbo wa Komela, Mwanaisha Saidi ‘Dayna...

READ MORE

Kisa Wivu Snura Awatosa Wasanii

Na ALLY KATALAMBULA|GAZETI LA UWAZI|SHOW BIZ MWANADADA mwenye umbo matata anayesumbua kunako Tasnia ya Muziki Bongo na Filamu, Snura Mushi...

READ MORE

Wamarekani Wambadilisha Jina Malaika

Na ANDREW CARLOS| IJUMAA WIKIENDA| HABARI MKALI wa Ngoma ya Rarua, Diana Exavery ‘Malaika’ ameamua kulikubali rasmi jina la Sinyora...

READ MORE

Baada ya Ney Kuachiwa, Nape Aandika Ujumbe Huu

ALIYEKUWA Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye kupitia ukurasa wake wa twitter amechapisha ujumbe wenye kutaka...

READ MORE

Shamsa Ampa Makavu Aliyedukua Akaunti Yake…

DAR ES SALAAM: Staa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amempa makavu mtu aliyedukua akaunti yake ya Mtandao wa Instagram...

READ MORE

Mainda Adaiwa Kukimbia Kwake, Aishi kwa Muna!

DAR ES SALAAM: Ubuyu mtamu wa Wikienda! Kumeibuka ubuyu matata wa staa wa kitambo wa maigizo Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’...

READ MORE