×

Tag: BONGO MASTAA

#Exclusive: Niffer Ataka Kujiua Kisa Mapenzi – “Nilisimama Katikati Ya Barabara Sinza Nigongwe Nife” -Video

Mfanyabiashara ambaye pia ni maarufu kwenye mitandao ya kijamii Jenifer Jovin ‘Niffer’ amefunguka kupitia mahojiano aliyoyafanya na @globaltvonline alipokuwa akihojiwa...

READ MORE

Video Mpya Ya ‘Wajuria’ Kutoka Kwa Msanii Clion Odhiambo

MSANII, Clion Odhiambo ametoa video ya wimbo wake mpya wa ‘WAJURIA’ wenye maudhui kuelimisha na kuburudisha kwa njia ya dini....

READ MORE

Taarifa Mpya Kufungiwa Wasafi TV

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa ametoa taarifa mpya juu ya kinachoendelea kufuatia kufungiwa Wasafi TV kwa...

READ MORE

Kitambi Cha Mondi Chawaacha Hoi Wananzengo

Heheheh hivi karibuni video ya staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ ilivuja mitandaoni huku ikimuonyesha kuwa na kitambi kikubwa...

READ MORE

Nana Amchinjia Baharini Ibrah

 Video vixen na muigizaji wa tamthilia Bongo, Nabila Othman ‘Nanah’ amekanusha skendo za kutoka kimapenzi na msanii wa Lebo ya...

READ MORE

Maua Awafokea Zuchu, Nandy

Mrembo anayekiwasha kwenye tasnia ya Bongo Fleva, Maua Sama anadaiwa ‘kuwafokea’ kiaina warembo wenzake kwenye fani hiyo, Zuhura Othman ‘Zuchu’...

READ MORE

Aunt: Kusah Siyo Mpenzi Wangu, ni Kaka Yangu

KUMEKUWA na wimbi la mastaa mbalimbali hapa Bongo kutodumu na wapenzi au waume wao na kutaka kama kuhalalisha suala la...

READ MORE

Amber Lulu, Gigy Money Wafika Pabaya

VITA nzito ya mastaa wawili wa kike wa Bongo Fleva; Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ na Gifty Stanford ‘Gigy Money’ imefika...

READ MORE

Nandy Afunguka Kumkwapulia Wema Bwana

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amesema kuwa hajawahi kugombana na msanii mwenzake Wema Sepetu na wala...

READ MORE

MC Pilipili Achekelea Mtoto, Mwijaku Aumbuka

KOMEDIANI matata Bongo, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’, amechekelea kupata mtoto huku rafiki yake ambaye ni mwigizaji wa Bongo Movies, Burton...

READ MORE

Zuchu Aizidi Nguvu Corona

LICHA ya maambukizi ya Virusi vya Corona kuendelea kuitesa tasnia ya muziki nchini ikiwamo sekta mbalimbali, Msanii chipukizi wa muziki...

READ MORE

Lulu Diva Afunguka Kumwagiwa Maji ya Moto

Mwanamuziki wa kike wa Bongo Fleva, Lulu Abass ‘Lulu Diva’ amesema anawashangaa watu wanaosema amemwagiwa maji ya moto, kisa mume...

READ MORE

Lulu Afungukia Siku Ya Ndoa Yake

WAKATI akiwa anasherehekea kutimiza miaka 25 toka kuzaliwa kwake, juzi Alhamisi Muigizaji wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amefunguka kuwa...

READ MORE

Nisha Aeleza Corona Ilivyoam-Kwamisha

MSANII wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka Virusi vya Corona vilivyomkwamisha kibiashara, kwani ameshindwa kusafiri kwenda nchini China....

READ MORE

Video: Shoo Ya Marioo, G Nako, Maua Sama, Moshi, Full Shangwe!

 Shindano la Kili Marathon 2020 limeshatua wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kuimarisha afya kwa mazoezi ya kukimbia....

READ MORE

Fahyma – ‘Rayvanny Hata Alie, Agalegale’, Sijasikiliza Nyimbo Zake -Video

 Mwanamitindo maarufu Bongo, Fayma, Februari 14, 2020 ameamua kusheherekea sikukuu ya wapendanao kwa kutoa misaada kwa watoto yatima na...

READ MORE

Jukwaa la KAN Lawa Gumzo Kwa Wapenzi wa Burudani

Ubunifu uliotumika kutengeneza jukwaa kuu la Knowledge, Art na Networking (KAN) umekua kivutio kikubwa kwa wapenzi wa sanaa na burudani...

READ MORE

Video: Binti Aliyeolewa na Babu Mzungu Afunguka “Anajua Mapenzi”

 Mwanadada Aziza Rinner amefunguka kilichomsukuma kufanya uamuzi wa kuolewa na Babu Mzungu.

READ MORE

Huyu Amber Rose kha! Wanaume Aliolala nao Inasikitisha!

  Jina lake halisi ni Amber Levonchuck lakini ni maarufu kwa jina la Amber Rose, ni maarufu katika ulimwengu wa...

READ MORE

Snura Ayapa Kisogo Mapenzi

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ameibuka na kusema kuwa ameamua kuyapa mapenzi kisogo kwani hayana faida kwake....

READ MORE

ODAMA: UZURI WA SURA UENDANE NA KICHWA

MSANII wa kitambo kwenye tasnia ya Bongo Muvi, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amewatolea uvivu wanawake warembo, wenye maringo akidai hawatumii akili. ...

READ MORE

MASTAA BONGO WAISHI KWA NAMBA 9

UKIONA mtu anatukanwa halafu anacheka ujue maisha yake yanaongozwa na namba 9. Uzuri wa namba hii ni kwamba hutoa majibu...

READ MORE

VIDEO: NEDY Kaweka WAZI Kuhusu OMMY DIMPOZ, “Why Not”

 Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nedy Music, ni mmoja kati ya wasanii waliohudhuria katika uzinduzi wa Kampuni ya NYANYA Captures...

READ MORE

USIYOYAJUA KUKUHU MAISHA HALISI YA MOZE IYOBO, AANIKA KILA KITU

MIONGONI mwa vijana wanaohamasisha vijana wenzao katika kujituma na kuendeleza vipaji vyao, yumo dansa maarufu anayeitumikia Lebo ya Wasafi Classic...

READ MORE

CHEMICAL ABEBA JINA LA KONKI

MWANADADA anayefanya Hip Hop Bongo, Claudia Lubao ‘Chemical’ amelikubali jina la Konki baada ya kuwa msanii wa kwanza kutoa shoo...

READ MORE

Kajala Ataka Kuanza Mwaka Akiwa Safi

AMANI tupu! Mkali wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ameapa kumaliza mwaka 2018, bila kugombana wala kuwa na bifu na...

READ MORE

Esma Abariki Diamond Kumuoa Tanasha

KAMA vipi poa tu! Dada wa staa mkubwa Afro-Pop nje na ndani ya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan...

READ MORE

Esma: Hata Iweje, Sirudiani na Peti

DADA yake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan, amefunguka kuwa, hata iweje, hawezi kurudiana na mzazi mwenziye, Petit Man.  ...

READ MORE

Uwoya Afungukia Jeuri ya Pesa

KUFUATIA kuonesha jeuri ya pesa kwa siku za hivi karibuni, Amani lilimbana staa wa Bongo Movie, Irene Uwoya na kumuuliza...

READ MORE

Bela Adai Uzazi Haujamuachisha Muziki

Mwanamuziki wa Kundi la Scorpion Girls, Isabela Mpanda ‘Bela’ baada ya kimya kingi ameibuka na kudai kuwa uzazi haujamuachisha muziki...

READ MORE

Marehemu Pancho Latino Atakumbukwa Kwa Nyimbo Hizi

Mtayarishaji wa muziki Maarufu, wa B’ Hitz Record, Pancho Latino, maarufu kama Mafia, amefariki dunia jana jioni kwenye ajali ya...

READ MORE

HARUSI YA MAFUFU YAACHA HISTORIA BONGO MUVI (Picha+Video)

Mwigizaji Jimmy Mafufu akiwa na mkewe Upendo Meja baada ya kufika kwenye Ukumbi wa Alfa. .Wakikata keki. Mafufu akimpiga busu...

READ MORE

Video: Mashindano Hatari ya Pikipiki na Magari Mwanza

 Tamasha la Sport & Music Festival limefanyika tena mkoani Mwanza baada ya kumalizika Geita na kufanya mashindano ya michezo...

READ MORE

Amber Lulu Awateka Mashabiki Geita Eid El Fitr

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni muuza nyago ‘video vixen’ Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ amefanya shoo ya aina yake ...

READ MORE

Mastaa Harusi Ya Prince Harry, Meghan Markle

Zaidi ya watu bilioni 1.8 duniani jana Mei 20, 2018 waliifuatilia harusi ya kifalme ya Prince Harry na mchumba wake...

READ MORE

Ray C Aibuka Na Mahaba Kimbunga Kutoka Tornado

MWANAMUZIKI maarufu nchini Tanzania Rehema Chalamila ‘Ray C’, baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye ameibuka upya na wimbo mpya...

READ MORE