×

Tag: burudani

DIAMOND KAKUBALI KUJISHUSHA, VIPI KIBA?

MARA kadhaa nimekuwa siyo muumini wa kuamini kwamba eti Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ wakikubali...

READ MORE

KAJALA: PAULA AKINIZINGUA NAMFUNDISHA ADABU

KARIBU mpenzi msomaji ndani ya safu hii mpya kabisa ya Staa na Familia. Hapa tutakuwa tunakuletea mastaa mbalimbali ambao wamejaliwa...

READ MORE

SHILOLE AHAMIA KWAKE NA MKOSI

MWANAMAMA ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, wiki iliyopita alihamia kwenye mjengo wake mpya uliopo Majohe, Gongo...

READ MORE

AMBER LULU AFUNGUKA KURUDI KWA PREZZO

IN love again! Sexy lady wa Bongo Fleva anayefanya poa na ngoma yake ya Jini Kisirani’, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’...

READ MORE

MENINAH: KULEA KUMENIPOTEZA

I AM back! Msanii wa kike wa Bongo Fleva ambaye ni zao la BSS 2012, Meninah Atik amesema alikuwa kimya...

READ MORE

QUEEN DARLEEN: MAMA YANGU KAFUNGWA CHINA?

MSHANGAO! First Lady wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ ameshtushwa na tetesi za mama yake...

READ MORE

FAIZA AIBUKA NA WANAOONGEZA MAKALIO

KAIBUKA! Mwanadashoti wa Bongo Movies asiyeishiwa vituko, Faiza Ally ameibuka na stori ya wanawake wanaoongeza shepu za miili yao hasa...

READ MORE

 UZINDUZI WA ‘MAMA WA HIYARI’ ULIKUWA MOTOOO!

Kundi la First Class Modern Taarab la jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo limezindua albamu yake ya kwanza...

READ MORE

LINEX AFUNGUKA KUPORWA MTOTO WAKE

MKALI wa Bongo Fleva, Sunday Sangu ‘Linex’ amefungukia kinachomuumiza kwa sasa ni kitendo cha kunyang’anywa mtoto na mzazi mwenziye. Akizungumza...

READ MORE

HE! KUMBE SHEPU YA SANCHI SIRI NI MADAFU!

WAPO wanawake wanaotamani kuwa na shepu kama ya mwanamitindo Jane Ramoy ‘Sanchi’ lakini mwanadada huyo ameanika siri ya muonekano wake.  ...

READ MORE

SISTER P AIBULUWA TENA

MKONGWE kwenye gemu la Bongo Fleva, Happy Pela ‘Sister P’ ameibuliwa upya kwenye muziki na mwanadada Matata ambaye ameamua kumsimamia...

READ MORE

BABY J : NIKIIBUKA MAFICHONI, NITAWASHANGAZA WENGI !

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri Bara na Visiwani kupitia Bongo Fleva, Jamila Abdallah ‘Baby J’ amesema kwa sasa yupo mafichoni lakini yuko mbioni...

READ MORE

MAI: KWA BUTI LA ZARI, WABONGO TUMEKAA!

GHARAMA ya kiatu ‘buti’ alichokuwa amevaa mwanamama Zarina Hassan ‘Zari’ kwenye picha zake mpya Instagram, limemshitua Mtangazaji Maimartha Jesse ‘Mai’...

READ MORE

NANDY ASHEREHEKEA BETHDEI, AZINDUA ALBAMU YAKE

MWANAMUZIKI wa kizazi kipya, Faustina Charles maarufu Nandy,  usiku wa kuamkia leo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa sambamba na kuzindua...

READ MORE

IRENE PAUL: SIMUAMINI MTU KULEA MWANANGU!

MSANII wa filamu Bongo Muvi, Irene Paul ‘Mama Wendo’, amefunguka kuwa hata siku moja haamini kumuachia mtu mtoto wake kwa...

READ MORE

SHAMTE AFUNGUKA KUISHI KWA MAMA DIAMOND

MAISALA Shamte ‘Anko’ ambaye ni mume wa mama wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ amefungukia madai ya...

READ MORE

DUDUBAYA JIPANGE UPYA ACHA KUTEGEMEA KIKI ZA ‘MASHOGA’

                    Godfrey Tumaini, KONKI! Konki! Konki master! ‘KONKI! Konki! Konki master!’ huu...

READ MORE

AUNTY AFUNGUKIA KUACHANA NA IYOBO

STAA wa filamu kutoka Bongo Muvi, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa amekuwa akisikia fununu kila kukicha kuwa ameachana na mzazi mwenzake,...

READ MORE

STAMINA AFICHUA SIRI YA MTOTO MTARAJIWA

MKALI wa muziki wa  kufokafoka kutoka pembezoni mwa Milima ya Uluguru iliyopo Mji Kasoro Bahari, Morogoro, Boniveture Kabogo ‘Stamina’ amefichua...

READ MORE

ULINZI WA ZARI LEVO ZINGINE!

ACHANA na dili alizolamba kupitia makampuni mbalimbali kipindi akiwa na mzazi mweziye ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

MUZIKI KONKI, ELIMU KONKI MASTER!

UKISIKIA neno Konki Konki, Konki Master kwa harakaharaka kwanza utamfikiria mkongwe katika Muziki wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudu Baya’....

READ MORE

MWILI WA SAJENTI UNARUHUSU VIZAZI VYA MITEGO

MSANII wa filamu Bongo, Husna Iddy ‘Sajent’ amesema kuwa hata kama akivaa vivazi vya mitego haisumbui kwa mtu yeyote kwa...

READ MORE

GHOROFA ANALOJENGA HARMONIZE LASHTUA

DAR: Ghorofa analojenga Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ limeshtua wengi ni baada ya kuonekana katika hatua za awali...

READ MORE

DAVINA AFUATA NYAYO ZA SHILOLE, WOLPER

MSANII wa kitambo kwenye tasnia filamu nchini, Halima Yahaya ‘Davina’ amesema kuwa kwa sasa hakuna staa ambaye anayejielewa na ‘anafuga...

READ MORE

LULU DIVA: NISINGEJIONGEZA, NINGEJIUZA!

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwa sasa ambaye pia ni muigizaji, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa kama asingetumua akili ya kuamua...

READ MORE

SANCHI AANIKA SABABU YA KUPIGA ZA UTUPU

MWANAMITINDO maarufu Bongo na Afrika Mashariki, Jane Ramoy ‘Sanchi’ amesema kuwa picha zozote zinazoonekana kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha yuko...

READ MORE

MABESTE AWAPONDA WANAODHALILISHA WANAWAKE

MKALI wa Muz-iki wa Hip Hop Bongo aliyekuwa anafanya vizuri kwenye gemu ya Bongo Fleva, Venance William ‘Mabeste’ amechukizwa na...

READ MORE

WALTER, KADJA NITO; BONGO FLEVA BAHATI MBAYA?

KABLA ya kuanza kuimba, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alianza kwa kurap.   Kipaji hicho cha kurap...

READ MORE

MWAITEGE KUMSINDIKIZA IRENE MWAMFUPE

MKONGWE wa Nyimbo za Injili, Mchungaji Bonny Mwaitege anatarajiwa kuungana na waimbaji wenziye, Bahati Bukuku, Happy Mlinga, Martha Mwaipaja, Edda...

READ MORE

CHOKI AANZA MAZOEZI RASMI

BAADA ya kuugua kwa mwezi mmoja na siku kadhaa, hatimaye mwanamuziki wa Dansi, Ali Choki ameanza mazoezi ya muziki katika...

READ MORE

AUNTY LULU AMPONGEZA MAKONDA MSAKO WA MASHOGA

SIKU chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kutangaza oparesheni ya kuwasaka wanaume wanaojihusisha na mapenzi ya...

READ MORE

SHAMSA ATESWA NA WAPENZI WA ZAMANI WA MUMEWE

STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford ameeleza kuteswa na wapenzi wa zamani wa mumewe, Chid Mapenzi ambapo kila kukicha...

READ MORE

WEMA AIKIMBIA NYUMBA USIKU

NI majanga juu ya majanga! Wakati akiwa amedakwa kisha kuburuzwa mahakamani kwa msala wa kusambaza picha za faragha mtandaoni, mwigizaji...

READ MORE

BWANA MPYA WA MOBETO MAMA ATOA NENO

MAMA mzazi wa mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga ametoa neno juu ya madai ya mtoto wake huyo kupata...

READ MORE

MASOUD YUSUPH ASHINDA BAJAJ YA SPORTPESA

Baada ya mshindi wa droo ya kwanza ya shinda zaidi na SportPesa kutokea Pangani, droo ya 34 pia imetoa mshindi...

READ MORE

BAHATI BUKUKU KUPAMBA UZINDUZI WA ALBAMU YA MWAMFUPE

MKONGWE wa Nyimbo za Injili, Bahati Bukuku anatarajiwa kuungana na waimbaji wenziye, Mchungaji Bonny Mwaitege, Happy Milinga, Martha Mwaipaja, Edda...

READ MORE

MB DOGG ATOBOA SIRI YA KUPOTEA, NCHI ALIYOKIMBILIA

KWA wale waliokuwa wakipenda kusikiliza Muziki wa Bongo Fleva miaka ya 2006 watakuwa wanaelewa mashairi ya ngoma hii ya Si...

READ MORE

Wachezaji Leicester City Wawasili Thailand Kumzika Mmiliki wa Klabu

Wachezaji wa Leicester City wamewasili nchini Thailand kwa mazishi ya mmiliki wa klabu ambaye alifariki kwenye ajali ya helikopta. Jamie Vardy...

READ MORE

Wizkid Anunua Lamborghini Kali ya Sh. Mil. 633

MWANAMUZIKI nyota wa Nigeria, Wizkid, ameripotiwa kununua gari mpya aina ya Lamborghini Urus kwa Naira milioni 101 ambazo ni sawa...

READ MORE

ESTER KIAMA: NIMEGUNDUA WANAWAKE WAZURI HATUOLEWI

MWIGIZAJI sexy kunako Bongo Muvi, Ester Kiama amesema kuwa, amegundua kuwa wanawake wazuri siku zote ni vigumu kupata waume wa...

READ MORE