×

Tag: calisah

CALISAH NAPENDA KUVAA MITUMBA, SIVAI NGUO ZA KARIAKOO

NI siku nyingine tena tunakutana katika safu hii ya My Style ambayo inazungumzia mastaa mbalimbali na kueleza maisha yao ya...

READ MORE

CALISAH: MWANAMKE WANGU ANANITOSHELEZA

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Calisah Abdulhamiid kwa mara ya kwanza amefunguka kwamba anampenda sana mpenzi wake Lisah, ambaye pia amefanikiwa kumzalia...

READ MORE

Calisah Azawadiwa Benz na Mpenzi Wake Vera Sidika

MWANAMITINDO wa Bongo, Calisah ambaye kwa sasa anafaidi penzi la aliyekuwa mpenzi wa msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Otile Brown,...

READ MORE

CALISAH AJITAPA KWA UFUSKA!

MWANAMITINDO asiyeishiwa skendo mjini, Calisah Abdulhamid amefunguka kwa mara nyingine tena kuwa katika ukuaji wake mpaka sasa alipofikia ameshatembea na...

READ MORE

KIVAZI CHA CALISAH CHAACHA GUMZO

Kivazi alichokivaa mwana-mitindo anayetamba Bongo, Calisah Abdulhamiid kwenye mashindano ya kumsaka Miss Tanzania 2018 yaliyofanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa...

READ MORE

Calisah Kuja na Vidonge vya Kung’arisha Ngozi

BAADA ya ‘kutrend’ na ishu ya kuwapa mimba wanawake 25, mwanamitindo maarufu Bongo, Calisah Abdulhamid, ameibuka na ishu nyingine kuwa...

READ MORE

Calisah Aibuka na Kampuni Ya Kuwasadia Wanawake Kupata Mimba -Video

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Calisah, amesema kwa sasa anamiliki kampuni mbili,  moja ni ya kukuza wanamitindo wachanga Bongo na nyingine ni...

READ MORE

CALISAH APATA ZALI MR AFRIKA 2018

Mwana-mitindo anayezidi kuja kwa kasi Bongo, Calisah Abdulhamiid, amepata zali la kwenda nchini Nigeria kwa ajili ya kushiriki Shindano la...

READ MORE

PRETTY KINDY ADAIWA KULA MAKOMBO YA WEMA !

MSANII wa filamu na muziki Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ anadaiwa kula makom­bo ya msanii mwenzake, Wema Sepetu kwa kutoka...

READ MORE

CALISAH: SIYO SKUNA TU, UKINILIPA DAU HILI HATA GAUNI NAVAA!

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Calisah, ambaye hivi karibuni ameshangaza ulimwengu kwa kupiga picha akiwa amevaa viatu vya kike, amefunguka kuwa yeye...

READ MORE