×

Tag: Celebrities

CASTO AWASHUKIA TUNDA, WHOZU!

MTANGAZAJI wa Clouds TV, Casto Dickson ameibuka na kuwavaa aliyekuwa mpenzi wake; Tunda na jamaa wake wa sasa Whozu kuwa...

READ MORE

 FAYMA AFUNGUKIA NDOA YAKE NA RAYVANNY

NI mrembo hasa lakini sifa kubwa ambayo inamfanya aendelee kuonekana mrembo kila kukicha ni heshima na upendo wa dhati alionao...

READ MORE

GIGY AWAKA KISA MPENZI WAKE

MSANII wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amewaka vibaya kwamba watu waache kufuatilia maisha yake na badala yake wafanye...

READ MORE

GAUNI LAMTOA NISHAI UWOYA

SIKU chache baada ya staa wa sinema za Kibongo, lrene Uwoya kuingia kwenye sekeseke la kuwatupia pesa waandishi wa habari na...

READ MORE

BABY J ADAI ESMA KABEBA MZIGO MZITO WA DHAMBI

MwanaMuziki maarufu visiwani zanzibar, Jamila Abdalah ‘Baby J’ amefunguka kuwa anachokiamini ni kwamba dada wa msanii wa Bongo Fleva, nasibu...

READ MORE

MONDI KUPIGA BILIONI 3 SIKU 150

HARUFU ya ubilionea imeanza kumnyemelea staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ baada ya shoo zake kuonesha...

READ MORE

LYNN AKIRI KUTOKA USWAHILINI NA KUTOBOA

VIDEO vixen ambaye kwa sasa amejiingiza kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Irene Louse ‘Lynn’ amekiri kutoka maisha ya uswahilini na...

READ MORE

P DIDDY ADAIWA ‘KUNYAKUWA ’ DOGODOGO

KACHAFUKA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mkongwe kwenye gemu la Muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Sean John Combs ‘P...

READ MORE

VIDEO: Duh! DIAMOND Amjibu ZARI, Kuhusu KUOLEWA, Eti Sijaongea na Watoto Miezi 9?

Mwanamuziki Diamond Platnumz, amepiga stori na Global TV na kuzungumzia ishu mbalimbali ikiwemo ndoa ua mzazi mwenziye, Zari The Boss...

READ MORE

PACQUIAO KUNUNUA TIMU YA NBA AKISTAAFU

BONDIA Mfilipino, Manny Pacquiao, amesema anataka kupigana hadi afikishe umri wa miaka 45 kisha atastaafu na baadaye kununua moja ya...

READ MORE

POSHY AELEZA ANAVYOWAPANGUA WANAOTESWA NA UMBO LAKE

MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu wa safu hii ya My Style, kama ilivyo kawaida tunakulea mastaa mbalimbali kisha wanaelezea namna...

READ MORE

RAY ATAMBA JAYDEN KUMPA CHAPA

MWIGIZAJI mkubwa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ ametamba kuwa, mwanaye wa kiume, Jayden aliyezaa na mwigizaji Chuchu Hans anamfanya kutembea kifua...

READ MORE

MAJIZO AWAKA, KISA LULU

WAKATI ukimya ukiwa umetawala kwa muda tangu kutangazwa kwa ndoa yao huku maneno yakiwa mengi kuwa harusi yake na mwigizaji...

READ MORE

WEMA ‘AUMISS’ MWILI WAKE

Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa anaumiss mwili wake wa zamani alipokuwa mnene kwa sababu kila kukicha...

READ MORE

ESMA, JAMAA MPYA MAMBO NI MOTO!

 DADA’KE Diamond, Esma Platnumz na jamaa anayedaiwa kuwa ndiye mtu wake kwa sasa mambo ni moto ambapo wawili hao picha...

READ MORE

MUNA AIPANGA NDOA YAKE KICHWANI!

MuigizaJi wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rose alphonce ‘Muna’ amefunguka kuwa, anaiona ndoa yake siku za hivi karibuni...

READ MORE

KADINDA AFUNGUKA KUHAMIA KWA HAMISA

MWANAMItINdo wa kiume Bongo, Martin Kadinda amefungukia madai ya kuhamia na kumsimamia mwanamitindo Hamisa Mobeto kuwa alikuwa akifanya mambo ya...

READ MORE

DIAMOND USO KWA USO NA WATOTO WAKE

  BAADA ya mwanamama ambaye pia ni mjasiriamali, Zarinah Hassan ‘Zari The Bosslady’ kubana kwa muda mrefu hatimaye ameachia kwa...

READ MORE

MARRY MAWIGI SIDANGI, TAMTHILIYA ZINALIPA

Mwigizaji wa filamu Bongo, Mary Mawigi amefunguka kuwa, kwa sasa maisha yake anayaendesha kwa kucheza tamthiliya ikiwa ni baada ya...

READ MORE

IYOBO, AUNT ‘FULL’ KURUSHANA ROHO

DANSA wa Kundi la Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Moses Iyobo ‘Moze’ na mzazi mwenziye Aunt Ezekiel ambao sasa wamemwagana, hivi...

READ MORE

JUMA NATURE KUIBUKA NA NANDY, HARMONIZE

MSANII mkongwe katika tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Juma Kassim ‘Nature’ amefunguka kuwa, ana nyimbo nyingi alizofanya yeye mwenyewe...

READ MORE

 PENZI LA KIBA LAMTESA MREMBO!

TOA la moyoni! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mrembo mmoja anayetumia jina la Nancy_The_Beuty kueleza hisia zake za mapenzi kwa staa...

READ MORE

AMBER LULU AIBU 100%

UNAPOAMBIWA msanii ni kioo cha jamii siyo kwa kufanya mambo maovu au kinyume na maadili ya Kitanzania! Msanii na muuza...

READ MORE

NDOA YA BARAKA THE PRINCE, NAJMA YANUKIA

WAKATI wakiwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu, hatimaye msanii wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Baraka The Prince’ amefunguka...

READ MORE

UCHEBE AMPONZA SHILOLE

MUME wa mwanamuziki na muigizaji wa filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ Ashiraf Uchebe amemponza mkewe huyo baada ya kuzuiliwa kuingia...

READ MORE

MBOSSO AMTOA MACHOZI ALIYEKATWA MIGUU KENYA

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva kutoka kwenye Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuph ‘Mbosso’ amemtoa machozi shabiki wake wa...

READ MORE

QUEEN DARLEEN, FIRST LADY WA WCB ASHIKWA MKONO NA DULLY SYKES

MIAKA 15 nyuma katika muziki wa Bongo Fleva kwa upande wa wanamuziki wa kike, alikuwepo Mwanahawa Abdul Juma ‘Queen Darleen’...

READ MORE

MOBETO AKIENDEKEZA MITANDAO ATAJIKONDESHA

Modo ambaye kwa sasa anafanya poa kwenye Bongo Fleva,Hamisa Mobeto, ‘Misa’ amefunguka kuwa akiwa anafuatilia kila kinachoandikwa kuhusu yeye kwenye...

READ MORE

MWIJAKU AMKALIA KOONI BATULI

BAADA ya mnyukano mzito wa maneno yasiyofaa kwenye mitandao ya kijamii kati ya msanii wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuf...

READ MORE

VITA YA PENZI HAIJAWAACHA SALAMA

MAISHA ni safari ndefu. Kuna kupanda na kushuka. Kuna furaha na huzuni.  Kwenye ulimwengu wa mastaa hapakosekani vitimbi na mikasa...

READ MORE

MAMA WA NICKI MINAJ AJITOSA KWENYE MUZIKI

LIKE Mother Like Daughter! Unaweza sema hivyo baada ya mama mzazi wa rapa wa kike anayekimbiza kunako Muziki wa Hip...

READ MORE

DIANA HAFUTI TATUU YA WEMA NG’O

Hata kwa mtutu wa bunduki! Mwigizaji sexy kunako Bongo Movies, Diana Kimari ameweka wazi kuwa hafikirii kufuta tatuu alizochora jina...

READ MORE

KOLETHA, BEN BRANKO NUSURA WAZICHAPE

NI shida! Mkongwe wa filamu za Kibongo, Koletha Raymond na msanii mwenzake, Ben Branko hivi karibuni waliponea chupuchupu kuzichapa baada...

READ MORE

 50 CENT AMKATAA MWANAYE

RAPA kutoka Marekani, 50 Cent ameingia kwenye headline kwa mara nyingine baada ya kumkana hadharani kijana aitwaye Marquise Jackson (21)...

READ MORE

KIDOA AELEZA SABABU UCHUMBA KUVUNJIKA

MSANII wa filamu na video queen maarufu Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ ameibuka na kueleza sababu za uchumba wake kuvunjika. Kidoa...

READ MORE

TUNDA KAMA MIMBA NISHABAMBIKIWA SANA

Muuza nyago maarufu kwenye video za Kibongo, Tunda amefunguka kuwa kama kubambikiwa mimba anaongoza kwani angekuwa na watoto zaidi ya...

READ MORE

MWANAHERI: SIJAFUATA PESA KWA MUME, NI MAHABA TU!

Yapo mengi ambayo yamezungumzwa kuhusu msanii wa filamu Bongo, Mwanaheri ahmed. Mengine yana ukweli lakini yapo ambayo ni uzushi. Waandishi...

READ MORE

HATUA 4 ZA NDOA YAO MONDI, TANASHA WATIKISA AFRIKA

STAA wa Bongo Fleva anayefanya freshi Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mchumba wake, Tanasha Donna Oketch wameshaanza kutikisa katika...

READ MORE

WAKIWA KIMAHABA MSITUNI, BABA D, BABY MADAHA LIVE

KAZI na dawa! Baba wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Juma Abdul ‘Baba D’ amenaswa kimahaba msituni...

READ MORE

WEMA ATOKA NA GONJWA GEREZANI

BAADA ya kutupwa Mahabusu ya Segerea jijini Dar kwa wiki moja, Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu amedai kutoka na...

READ MORE