×

Tag: Celebrities

Ben pol ataja sababu ndoa ya kimyakimya!

DAR ES SALAAM: Staa mkubwa wa muziki wa RnB Bongo, Benard Paul ‘Ben Pol’ ametaja siri ya kufunga ndoa ya...

READ MORE

Aunt atonesha kidonda cha wema!

DAR ES SALAAM: Ama kweli ule usemi usemao mtoto si nguo umuazime mwenzako una maana kubwa! Staa mkubwa wa filamu...

READ MORE

Ma ex wa Diamond…Wanaigana au ni Madili Tu!

MASTAA wengi wa kike ni wahanga wa mitandao ya kijamii hasa kwa kupiga picha kali na kuzitupia katika kurasa zao...

READ MORE

Ebitoke: Hata Kama Nimebabuka, Kileleni Nimechungulia

BAADA ya kuweka picha akiwa amebabuka uso huku maneno ya kejeli yakiwa mengi, msanii wa vichekesho; Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ amesema...

READ MORE

Meninah Aibu Yake

NI aibu yake! Ndiyo maneno yaliyowatoka wengi baada ya kuona video chafu inayodaiwa ni ya msanii wa Bongo Fleva na...

READ MORE

Utajiri wa mastaa, Shilole akimbiza mwizi kimya kimya

UTAJIRI wa mastaa mbalimbali Bongo unazidi kukua kila kukicha ambapo mwanamuziki anayetamba na ngoma ya ‘Nikagongee,’ Zuwena Mohammed ‘Shilole’ naye...

READ MORE

Lynn asema hakuna mwanaume wankumuacha

MREMBO anayetamba kwa sasa na wimbo wake mpya wa Pepea, Irene Louis ‘Lyyn’ kwa mara ya kwanza amefunguka mambo mengi...

READ MORE

Undani wa Wema Sepetu Kuzimia Ghafla Usiku

AFYA ya staa mkubwa Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ haiku sawa, Risasi Mchanganyiko lina undani wa matukio yake ya kuzimia...

READ MORE

Boss Martha Aibua ‘Vilio’ Upya

ZIKIWA zimepita takribani wiki tatu tangu Tasnia ya Uigizaji (Vichekesho) Bongo kupata pigo kwa kuondokewa na Martha Shilole ‘Boss Martha’,...

READ MORE

Kuna Ulazima wa Ulinzi Huu au ni Show Off?

MIAKA ya nyuma wakati Bongo Fleva inaanza kushika kasi, wasanii hawakuwa na makuzi sana.  Mambo ya kulindwalindwa hayakuwepo kivile. Ilikuwa...

READ MORE

Anayedaiwa King Bae wa Zari Avunja Ukimya

MIONGONI mwa watu wanaotafutwa (most searched) kwenye mitandao ya kijamii Kibongobongo ni pamoja na mtu anayetajwa kwa jina la King...

READ MORE

Zawadi za Bethidei Yake… Zengwe Magari 2 ya Wema

HUKO mitandaoni kumechafuka! Watu wanajadili hayo magari mapya mawili ambayo mwigizaji Wema Isaac Sepetu, wengi waliamini alizawadiwa kwenye bethidei yake,...

READ MORE

Bieber na Hailey Wafunga Ndoa Mara ya Pili!

Justin Bieber na Hailey Baldwin  walifunga ndoa mara ya pili jana (Jumatatu) mbele ya marafiki na wanafamilia huko South Carolina,...

READ MORE

Mmemsikia Poshy kuhusu kuongeza kalio.?

MMOJA wa warembo wanaotikisa kwenye mitandao ya kijamii (socialite) Bongo, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’ ametoa povu kuhusu skendo inayomuandama ya...

READ MORE

Nora amesahau kama alikuwa staa!

KUMBE kuna wakati unafika binadamu anasahau alikotoka? Msikie mwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’, eti amesahau kabisa kama alishawahi...

READ MORE

SIRI UTAJIRI WA JUX YAVUJA!

DAR ES SALAAM: Kama ulikuwa hujui, habari ikufikie kwamba staa mwingine wa Bongo Fleva, Juma Mussa ‘Jux’ ana ukwasi wa...

READ MORE

Tunda awatoa watu povu ile mbaya!

  VIDEO queen matata Bongo, Tunda Sebastian amesema amewaona watu jinsi wanavyotokwa mapovu ile mbaya baada ya kufuta picha zote...

READ MORE

Shishi ampa Kiba somo la ndoa

WAKATI msanii Ally Saleh Kiba ‘AliKiba’ ndoa yake ikiwa inapumulia mashine kutokana na migogoro, mrembo kutoka Bongo Fleva, Zuwena Mohamed...

READ MORE

Mtarajiwa wa Uwoya gumzo

HUKO Instagram wewe wape picha tu, maelezo watajaza wenyewe! Umbea mpya unaosambaa mitandaoni kwa sasa ni juu ya picha inayodaiwa...

READ MORE

Samatta Apewa Unahodha Genk

MAMBO yanazidi kumnyookea straika Mtanzania Mbwana Samatta katika kikosi cha KRC Genk baada ya Jumamosi iliyopita kuwa nahodha kwenye mechi...

READ MORE

SERIKALI YAJITOSA HARMO KUJITOA WASAFI

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), imejitosa kwenye sakata la staa wa...

READ MORE

Ndoa ya Tiko kufungwa katikati ya bahari

KILA mtu na staili yake! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii wa filamu na muziki, Tiko Hassan kusema kuwa ndoa...

READ MORE

DMX ASAINI MKATABA MPYA NA DEF JAM

  KAMPUNI ya muziki ya Ruff Ryders imesaini mkataba mpya na Def Jam Records, kwa mujibu wa XXL. Mwaka 1998,...

READ MORE

ISHU YA TANASHA KUJIFUNGUA…OFM watinga kimafia nyumbani kwa Diamond

BAADA ya tetesi kusambaa mitandaoni kuwa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Dimond Platnumz’ amepata mtoto wa nne kwa mpenzi...

READ MORE

Hamisa atamani kuolewa

SIKU hizi ndoa ni shughuli pevu jamani! Hilo limejidhihirisha kwa mwanamitindo na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Hamisa Mobetto ambaye ameeleza...

READ MORE

Baada ya kutua Bongo kimyakimya… Zari ampa Tano JPM

MWANAMAMA mjasiriamali wa Uganda mwenye maskani yake kwa Madiba nchini Afrika Kusini, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, wikiendi iliyopita...

READ MORE

Wema, Mobeto wamaliza bifu

BAADA ya kuishi kwa muda mrefu huku ikidaiwa hawaivi, warembo Wema Sepetu na Hamisa Mobeto wameonesha kwamba hawana tena kinyongo...

READ MORE

Kitumbo cha Nandy chashtua!

MTOTO mzuri Nandy amedaiwa kunasa ujauzito kufuatia wananzengo kuona kipande kipya cha video cha mrembo huyo.  Kwenye kurasa mbalimbali za...

READ MORE

Jokate atoa ya moyoni followers mil. 5

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwigelo amefurahishwa na idadi ya wafuasi kwenye ukurasa wake wa Instagram kuongezeka hadi kufikia...

READ MORE

 Esha Buhet: Aunt ana roho jamani!

NI ngumu sana kusikia staa akimpigia saluti staa mwenzake lakini kwa msanii wa Bongo Muvi, Esha Buhet ni kama maji...

READ MORE

Fahyma: Natongozwa sana, ila Rayvanny…

 MKE wa msanii wa Bongo Fleva ambaye ni memba wa Kundi la Wasafi Classic Baby ‘WCB’ Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ Fahyma...

READ MORE

Dimpoz Ampigia goti Mondi

LICHA ya kuwa na tofauti kwa muda mrefu, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ametoa kauli iliyotafsiriwa kuwa...

READ MORE

Chuchu Hans asema hajawahi kukerwa na mitandao

LICHA ya kuandamwa mara kwa mara na mitandao ya kijamii kwa skendo mbalimbali, mwanamama mwigizaji wa filamu za Kibongo, Chuchu...

READ MORE

Mondi aweka rekodi Ujerumani

DAR ES SALAAM: Staa wa muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameweka rekodi ya kipekee nchini Ujerumani baada ya...

READ MORE

Ndoa ya Ben Pol, Anerlisa palepale

  Baada ya uvumi wa maneno ya waja kuhusu mastaa kuchumbia au kuchumbiwa na kuacha au kuachwa solemba, mwanamuziki wa...

READ MORE

HARMO AZIMA VITA YA MONDI, KIBA

BADO hali si shwari ndani ya lebo kubwa ya muziki barani Afrika ya Wasafi Classic Baby (WCB) iliyo chini ya...

READ MORE

Zari minyoosho kama yote!

WAKATI upande wa pili huku wakiwa bize na mambo yao ya kusubiri mtoto na nini na nini, huko Sauz mambo...

READ MORE

WEMA ASHAURIWA KUONGEZA ‘TUNYAMA’

WANANZENGO hawaishiwi maneno. Baada ya mwanadada Wema Sepetu kuamua kujipunguza mwili, basi unaambiwa eti wanamshauri aongeze nyama kidogo (tunyama) maana...

READ MORE

TUNDA ANG’AKA KUMWAGANA NA WHOZU

VIDEO Vixen Bongo, Ana Kimario ‘Tunda’ amesema anashangaa kuona watu wakimnanga kwenye mitandao ya kijamii kuwa ameachana na mpenzi wake...

READ MORE