×

Tag: Celebrities

Hatima ya Idris kujulikana leo

MCHEKESHAJI na mshindi wa Shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan leo anatarajiwa kuripoti katika Kituo cha Polisi Kati kujua...

READ MORE

Kaburi la Bongo Fleva la Chimbwa!

MUZIKI wa Nigeria umesambaa kwa kiasi kikubwa barani Afrika, Ulaya, Amerika na kwingineko. Hilo halina ubishi na ndiyo maana staa...

READ MORE

Idris amtoa chozi Lulu Diva!

SEXY lady wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ hivi karibuni alijikuta akidondosha chozi kufuatia msala alioupata mchekeshaji, Idris Sultan...

READ MORE

Ndoa yamkera Lulu

STAA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kusema hakuna kitu kinachomkera kama watu kumuuliza kuhusu ndoa kwamba...

READ MORE

Wema Afichua Siri mpya na Mondi

HATA kama mtu umeachana naye kwenye uhusiano wa kimapenzi, haikatazwi kuzungumzia au kukumbukia nyakati nzuri na mbaya mlizopitia enzi za...

READ MORE

Serikali yamliza Aunt Ezekiel

MASKINI! Ikiwa ni miezi miwili tu imepita tangu alipofungua pub yake kubwa ya kisasa maeneo ya Mikocheni jijini Dar es...

READ MORE

LYYN: SIRINGI ILA NAJUA KUSAKA PESA

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni Video Vixen, Irene Louis ‘Lyyn’ amesema kuwa siyo kwamba anaringa kama watu wanavyomchukulia...

READ MORE

Odemba ajitoa kimasomaso!

MWANAMITINDO wa kimataifa Bongo mwenye makazi yake jijini Paris, Ufaransa, Miriam Odemba amejitoa kimasomaso katika kuhamasisha upatikanaji wa maji safi...

READ MORE

Muna ameenda sana kwa sangoma!

SIKU zote ukweli humweka mtu huru! Hilo ndilo linalojiri kwa mwigizaji wa sinema za Kibongo, Rose Alphonce ‘Muna Love’ ambaye...

READ MORE

MASTAA WA KIKE WANAVYOPIGA DILI ZA UBALOZI

ILI uwe balozi wa bidhaa fulani, msanii unatakiwa uwe na mashabiki wengi, uwe na heshima japo kila anayetaka kukupa dili...

READ MORE

Mrembo Ajinunulia Jeneza Mil 22

KAMA ulikuwa unadhani warembo wa Bongo pekee ndiyo wamefyatuka, basi unajidanganya kwa sababu kuna fyatu zaidi yao, Risasi Mchanganyiko lina...

READ MORE

Rayvanny aliamsha dude kwa lulu diva

MANENO huko Instagram kama yote! Kisa tu, Rayvanny alimuita Lulu Diva Shemela kwenye ukurasa wake wa Instagram. Rayvanny aliposti picha...

READ MORE

Kajala afunguka kutoswa na Aunt, Uwoya

BAADA ya kutoalikwa kwenye sherehe mbili za mastaa wenzake, Irene Uwoya na Aunt Ezekiel, muigizaji Kajala Masanja amesema kuwa haoni...

READ MORE

Aunt Aanika Siri Kumrudia Iyobo

KUNA usemi usemao bibi na bwana wakigombana, shika jembe ukalime! Hilo limedhihirika baada ya tukio la hivi karibuni la staa...

READ MORE

Mlela anaswa na mrembo

UTAWAAMBIA nini watu! Mwigizaji kunako kiwanda cha filamu Bongo, Yusuph Mlela amenaswa na mrembo mpya na baada ya kubanwa ameomba...

READ MORE

Mondi Ajirudi Kwa Kiba, Harmo

AMEONESHA uungwana! Hiyo ndiyo kauli ambayo imezungumzwa zaidi wikiendi iliyopita mara baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

 ZARI AMKINGIA KIFUA MPENZI WA VANESSA

BAADA ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘V-Money’ kuthibitisha kuwa kwenye penzi jipya na staa wa Hollywood, Marekani mwenye...

READ MORE

Meneja Afunguka Tuzo ya Mtvema kwa Harmonize

zimepita tangu msanii aliyekuwa katika lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) Rajab Abdul ’Harmonize’ aondoke na kwenda kuanzisha lebo yake...

READ MORE

Sanchi: Kama Baby Anataka, Wewe ni Nani Upinge?

MWANAMITINDO na mjasiriamali maarufu Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’, amewakata vilimilimi baadhi ya watu wanaomfikiria baby wake anakuwa katika hali gani...

READ MORE

Meninah Maisha Yanaendelea!

MSANII wa Bongo Fleva na mwigizaji Menina Attick ‘Meninah’, amesema hata kama ataamua kujifungia ndani, lakini ukweli unabaki palepale kuwa,...

READ MORE

Nandy Ahamia Jumba la Kifalme

ACHANA na madili manono ya ubalozi anayoendelea kutengeneza, sexy lady kunako Muziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amehamia kwenye...

READ MORE

Ada Mil. 30 ya mtoto wa Uwoya yaibua gumzo

ADA ya mtoto wa shule ya msingi shilingi milioni 30 kwa mwaka? Ndiyo, hiyo ndiyo inayomtesa staa wa sinema za...

READ MORE

Kumekucha: Zari Amvua Nguo Tanasha

DAR ES SALAAM: Kumekucha tena! Ni maneno ambayo yanaweza kutumika kuelezea dude lililoamshwa linalomhusisha, zilipendwa wa staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

WEMA APATA HOFU KUZIDI KUKONDEANA

TANZANIA sweetheart, Wema Isaac Sepetu amesema ameshauriwa kuongeza kilo tatu kwenye mwili wake kufuatia kuzidi kukondeana.  Akizungumza na Shusha Pumzi...

READ MORE

 Nai akana kutoa kibendi

VIDEO Qeen zao la Gigy Money, Kim Nana na Lulu Diva anayetikisa kwa kuuza vipodozi, Nai Kisa ‘Official Nai’ ameng’aka...

READ MORE

Nandy, Mobeto kunani tena?

WAKATI watu wako bize kuwaza pesa hii imekuwa tofauti kwa warembo wawili wanaofanya vizuri kwenye gemu ya muziki wa Bongo...

READ MORE

Hamisa ampa mama’ke ndinga matata!

NANI kama mama? Najua unajibu kimyakimya kuwa hakuna! Unaambiwa mwanamitindo na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto amemzawadia mama’ke, Shufaa...

READ MORE

FAMILIA YA MENINAH YALALA MBELE NA MWIJAKU!

WAKATI upelelezi wa kesi ya picha na video chafu za msanii wa filamu na muziki Bongo, Menina Attick ‘Meninah’ ukiendelea,...

READ MORE

Aunt Amemmisi Moze Iyobo?

MWANAMAMA mkali kutoka kiwanda cha filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amewajibu wanaomhoji kama amemmisi Mose Iyobo, lakini bado hajammisi baba...

READ MORE

Serena Atupia Mtandaoni Picha za Mwanaye Akishiriki Harusi

NYOTA wa mchezo wa tennis duniani,  Serena Williams, wa Marekani, ametupia katika mtandao wa Instagram picha ya mwanaye wa kike,...

READ MORE

Utata wa mimba ya Kim Nana

UTATA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Video Queen Lilian Kessy ‘Kim Nana’ kuanika kitumbo chake kinachoonesha kina kiumbe ndani, kupitia...

READ MORE

Watoto wa Kim Kardashian Wabatizwa Armenia

Kim Kardashian na watoto wake watatu wamebatizwa wakati wa ziara yao huko Armenia.  Nyota huyo mwenye miaka 38 amesambaza mtandaoni...

READ MORE

Elton John: Michael Jackson Alichanganyikiwa  

Sir Elton John mwanamuziki nyota wa Uingereza  amesema  hayati bingwa wa muziki wa pop, Mmarekani Michael Jackson aliyamaliza maisha akiwa...

READ MORE

Bata la Lyyn Dubai usipime!

WAKATI watu wakidai kuwa hali ni ngumu, kwa upande wa mwanamuziki anayeanza kufanya vizuri kwenye Bongo Fleva, Irene Loiuse ‘Lyyn’...

READ MORE

Kaka wa Nicki Minaj Hatiani kwa Kubaka Kibinti Miaka 11

KAKA wa rapa Nicki Minaj ametiwa hatiani kwa kubaka kibinti cha umri wa miaka 11 nyumbani kwake huko Long Island,...

READ MORE

Wenye Video Chafu za Meninah Kimenuka!

HAKUNA aliye salama! Hiyo ndiyo taarifa kutoka Jeshi la Polisi ambayo imetua kwenye Dawati la Gazeti la Ijumaa Wikienda kwamba,...

READ MORE

Diana hapawezi mamtoni!

PAMOJA na kwamba aliposepa Bongo na kutimkia mamtoni (Marekani), staa wa Bongo Muvi; Diana Kimari, alisema hawezi kurejea, lakini ukweli...

READ MORE

Mke wa Rayvanny Abanwa Kumkuwadia Mondi

UKISIKIA mambo ni moto ndiyo haya sasa! Wakati mwandani wa mwanamuziki wa kimataifa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,...

READ MORE

Huddah Amtikisa Zari kwa Utajiri

DAR ES SALAAM: Huku wakidaiwa kuchukuliana mabwana, mrembo maarufu Afrika Mashariki anayetokea jijini Nairobi, Kenya, Huddah Monroe ametajwa kuwa miongoni...

READ MORE

Mahakama yavunja ndoa ya Muna Love

HATIMAYE Mahakama ya Mwanzo Magomeni jijini Dar, imevunja ndoa ya msanii wa filamu nchini, Rose Alphone ‘Muna Love’ na aliyekuwa...

READ MORE