×

Tag: Celebrities

Sarah: Harmonize ameishikilia roho yangu

WENGINE roho zao zikiwa zimeshikiliwa na Mwenyezi Mungu, kwa upande wa mke wa mwanamuziki Rajabu Abdul ‘Harmonize’ Sarah roho yake...

READ MORE

Aliyemponza Wema, Madaha Mahaba kama yote

YULE mwanaume aliyemponza msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu, Patrick Christopher ‘PCK’ baada ya kurusha picha zao za kimahaba mtandaoni...

READ MORE

Wolper: Uzuri ungekuwa sura ningeshaolewa

STAA wa filamu Bongo,Jacquline Wolper ameamua kutoa la moyoni na kusema kuwa kama uzuri ndiyo ungekuwa ni sura na kumfanya...

READ MORE

Mr blue afungukia kuoa mke wa pili

MSANII wa Bongo Fleva, Kheri Sameer Rajab ’Mr Blue’ amesema katika vitu ambavyo hajawahi kujutia ni pamoja na yeye kuoa...

READ MORE

Shilole:Mimi kuwa mjamzito, shida nini?

BAADA ya tetesi kusambaa mitandaoni kuwa msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ana ujauzito, paparazi wetu alimtafuta na kumbana...

READ MORE

Ukweli ndoa ya Harmo, Sarah…

KAMA ulikuwa unajiuliza kilichokuwa kinaendelea kwenye mitandao ya kijamii wikiendi iliyopita huku baadhi ya watu wakidai ni ndoa ya staa...

READ MORE

Sanchi asaka mapacha kwa gharama yoyote!

WAKATI watu wakikwepa majukumu kutokana na ugumu wa maisha, mwanamitindo Jane Rimoy ‘Sanchi’ yeye anasaka watoto mapacha kwa gharama yoyote....

READ MORE

Sajenti ataka wanaume wapigwe mawe!

MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Husna Iddi ‘Sajenti’ ameibuka na kueleza kuwa anatamani sheria ipitishwe kuwa wanaume wasiojua majukumu ya...

READ MORE

Samuel Eto’o Astaafu Soka

NYOTA wa zamani wa klabu za Barcelona, Inter Milan na Chelsea, mshambuliaji Samuel Eto’o, ametangaza kustaafu soka akiwa na uri...

READ MORE

Billnass afungukia kupewa gari na Nandy

DAR ES SALAAM: MSANII wa muziki wa Hip Hop Bongo, William Lyimo ‘Billnass’ ameibuka na kufungukia madai yanayosambaa mtandaoni kuwa...

READ MORE

 Umesikia alichokisema…Gigy baada ya kumwaga machozi

SIKU chache baada ya video kusambaa mitandaoni ikimuonesha akimwaga machozi huku mashabiki wakienda mbali na kudai atakuwa ameachika, msanii wa...

READ MORE

Sasha afungukia video yake ya utupu

STAA wa filamu za Kibongo, Sasha Kassim, baada ya video yake ya utupu kuvuja kwenye mitandao ya kijamii akikata mauno...

READ MORE

Lava Lava Atikisa Na Ndinga La Kifahari!

DAR ES SALAAM: Ukiwa umekatika mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu atambulishwe rasmi kama memba wa Kundi la Wasafi Classic...

READ MORE

Wolper akiri kudanga

WAKATI mastaa mbalimbali wa kike wakidaiwa kudanga kwa wanaume tofauti, mwigizaji Jacqueline Wolper amefunguka kuwa hata yeye amewahi kufanya hivyo,...

READ MORE

Full Story Skendo Mondi, Zari Kulala Hoteli ya Trump

SKENDO mpya mjini inawagusa wazazi wenza, mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwanamama mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’,...

READ MORE

Lulu Diva Anasa Mimba, Aibua Utata!

MAMBO ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Lulu Abass ‘Lulu Diva’ kukiri kunasa ujauzito lakini...

READ MORE

Petit naye amnyoosha Esma

WASWAHILI wanakuambia malipo ni hapahapa duniani. Baada ya Esma kutamba sana na mpenzi wake mpya, upande wa pili nao umejibu!...

READ MORE

Tessy atoa kauli tata kumhusu Aslay!

MREMBO Tessy Abdul ‘Tessy Chocolate’ ametoa kauli tata inayotafsiri kwamba anamzungumzia mzazi mwenziye, Aslay Isihaka japokuwa hakutaka kumtaja moja kwa...

READ MORE

Ester, Wema ameniumiza sana!

MUIGIZAJI wa Bongo Muvi, Ester Kiama amesema muigizaji mwenzake, Wema Isaac Sepetu amemuumiza roho hadi kumfanya aangue kilio na kukosa...

READ MORE

Tanasha: Sina Usista Duu Kwenye Kulea

MASTAA wengi wanapokuwa wanalea wanaweka ustaa mbele na kusahau kwamba washakuwa mama, ishu hizo ndizo hataki kuzisikia kabisa mpenzi wa...

READ MORE

Koletha aeleza alivyosahau gari baa

WAKATI wengi wakisahau vitu kama simu, funguo na vinginevyo kwa staa wa filamu za Kibongo, Koletha Raymond ametoa kali baada...

READ MORE

Dogo Janja, Namtamani Sana Vee Money

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chande ‘Dogo Janja’ ameweka wazi mapenzi yake kwa mwanamuziki mwenziye Vannessa Mdee ‘Vee Money’ kuwa...

READ MORE

50 Cent, Chris Brown ni mfalme kuliko Michael Jackson

RAPA kutoka Marekani, Curtis Jackson III ‘50 Cent’ amesema kwa mtazamo wake, staa wa Muziki wa R&B na Pop, Christopher...

READ MORE

Baada ya Mapito Mazito,Hawa nitarejea amtamani Diamond

ANAITWA Hawa Mayoka lakini wengi wanapenda kumuita Hawa Nitarejea. Mwanadada huyu amepitia wakati mgumu baada ya kuugua lakini Mungu akamsimamisha...

READ MORE

KISHINDO NDOA YA BABU SEYA!

DAR ES SALAAM: “Jamani Babu Seya huyuhuyu aliyefungwa kifungo cha maisha gerezani ndiye anaoa?”  “Ndiye huyohuyo ambaye jina lake kamili...

READ MORE

Kimewaka! Ufisadi Bil. 300 Wamkumba Mchumba Ben Pol

HABARI kubwa nchini Kenya ni juu ya familia ya wakwe wa staa wa Muziki wa RnB Bongo, Benard Paul ‘Ben...

READ MORE

Baada ya Harmonize Kujitoa… Rayvanny Taa Nyekundu Wasafi

DAR ES SALAAM: UNA kifua nikupe ubuyu? Staa mwenye kiwango cha juu ndani ya Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ anayepiga...

READ MORE

Meneja Aingilia Penzi la Ebitoke, Mlela

MENEJA wa zamani wa mchekeshaji Ebitoke, Bhoke Rioba ameingilia kati suala la msanii wake huyo kuanika uhusiano wake na mwigizaji...

READ MORE

AIKA AMPIGA BITI NAHREEL

MWANAMAMA mkali kunako Bongo Flevani, Aika Mariale amempiga bonge la biti mzazi mwenzake, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ akimwambia afanye yote, lakini...

READ MORE

Ruby afunguka kuachana na mzazi mwenzake

KUACHWA au kuacha kusikie kwa wengine, usiombe yakukute! Hayo ni maneno ya mwanamuziki wa kike wa Bongo Fleva, Hellen George...

READ MORE

Sabby Angel Amshauri Harmonize

WIKI chache baada ya Meneja wa WCB, Sallam kusema kuwa staa wa Bongo Fleva, Abdul Khali ‘Harmonize’ ameandika barua ya...

READ MORE

 Lulu Diva afungukia kumvuruga Tanasha!

DAR ES SALAAM: Agosti 2, mwaka huu, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alilazimika kukanusha habari zilizokuwa zikienea...

READ MORE

MAHARI YA POSHY BEI CHEE!

MREMBO mwenye umbo matata Bongo, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’ amesema pindi utakapofika wakati wa kuolewa, hataki mahari kubwa ili baadaye...

READ MORE

Aunt Hataki Tena Kuisikia Ndoa!

WAKATI ikiaminika wanawake wengi huitamani ndoa kwa gharama yoyote, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel yeye hataki kusikia tena mambo...

READ MORE

Mastaa wa ‘Majuu’ Wanavyokula Bata Bab’Kubwa Baharini

MAJIRA ya joto ndiyo kwanza yameingia katika ukanda wa majuu (ukanda wa kaskazini wa dunia) na mastaa wa sehemu hiyo...

READ MORE

Wanaume Jiandaeni Kudungwa Sindano na Dk Sasha.

Kweli ujana ni maji ya moto; unaweza ukakufanya ukadharaulika na kuonekana mtu wa hovyo lakini ukitulia na kuamua kuwa msomi...

READ MORE

Pretty Kind: Nimekoma Kupenda Wanaume wa Nje

YAMEMKUTA! Msanii wa filamu na muziki Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ ameibuka na kusema kuwa amekoma kupenda wanaume wa nje...

READ MORE

 Esma Mpenzi Wake ‘Full’ Minyoosho!

ESMA, WAKATI watu wakisema Esma haendani na mpenzi wake wa sasa hadi kufikia hatua ya kumuita kibenteni, mrembo huyo ameendelea...

READ MORE

 Lebo za Kimataifa… Kiba Anakwamwa Wapi?

MWAKA huu unaweza kuwa mwaka wa mafanikio makubwa kwa staa wa muziki kutoka Nigeria, David Adeleke ‘Davido’ baada ya kufanikiwa...

READ MORE

 Malaika aelezea ukimya wake

BAADA ya kuwa kimya kwa muda mrefu, mwanamuziki wa Kizazi Kipya, Diana Exavery ‘Malaika’ ameeleza ukimya wake umesababishwa na kujipanga...

READ MORE