×

Tag: CHADEMA

Mapingamizi Yapigwa Chini Kinondoni, Mtulia na Mwalimu Sasa Kuchuana

MSIMAMIZI wa uchaguzi wa jimbo la Kinondoni ambaye pia mkurugenzi wa manispaa hiyo, Aron Kagurumjuli ameyatupilia mbali mapingamizi matatu yaliyowasilishwa...

READ MORE

Sugu Afikishwa Mahakamani Tena

  MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel...

READ MORE

MWENYEKITI UVCCM AWACHANA CHADEMA – VIDEO

Mwenyekiti wa umoja wa vijana UVCCM TAIFA, Kheri James amekisifia chama chake cha CCM na kusema watashinda chaguzi katika majimbo...

READ MORE

BREAKING NEWS: MGOMBEA WA UBUNGE CHADEMA ARUDISHA FOMU (Video)

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Salum Mwalimu, leo Januari 20,...

READ MORE

Chadema Warejea Ulingoni Kushiriki Uchaguzi Kinondoni na Siha

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeridhia na kurejea kushiriki wa uchaguzi mdogo wa wabunge katika majimbo ya Kinondoni na...

READ MORE

Mbeya: Sugu Azidi Kusota Mahabusu

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mbeya imezuia dhamana ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema...

READ MORE

Polisi Yakamata Bunduki Iliyofungwa kwa Skafu ya CHADEMA

  Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limefanikiwa kukamata silaha ya kivita aina ya AK-47 iliyotupwa na watu wanaodaiwa kuwa...

READ MORE

Mchakato wa Sheria ya Vyama vya Siasa Kuanza Hivi Karibuni

  BARAZA la Vyama vya Siasa limesitisha mjadala wa mapendekezo ya marekebisho ya sheria mpya ya vyama vya siasa na...

READ MORE

Dkt. Mashinji Akanusha Kuugua Ghafla na Kupelekwa Amana

  KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Vincent Mashinji  amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa, ni mgonjwa...

READ MORE

Breaking: Mbunge Sugu Anyimwa Dhamana, Apelekwa Mahabusu Gerezani

  MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amepelekwa mahabusu katika Gereza la Ruanda mkoani Mbeya baada ya kukosa dhamana katika...

READ MORE

BAVICHA KUHAMASISHA VIJANA NCHI NZIMA

  BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) limedhamiria kuzunguka nchi nzima kuwahamasisha vijana kudai uhuru wa...

READ MORE

Siku Nne Baada ya Lowassa Kutinga Ikulu, Kamati Kuu Chadema Yakutana

KAMATII Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inakutana leo Jumamosi, Januari 13 ikiwa ni siku nne tangu Edward...

READ MORE

Madiwani Wengine Chadema, CUF Waachia Ngazi, Wajiunga CCM

Diwani wa Kata ya Namichiga kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wilayani Ruangwa mkoani Lindi Bwana, Mikidadi...

READ MORE

Bavicha Washtushwa na Lowassa Kwenda Ikulu

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo – Chadema (Bavicha) limesema limeshtushwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya...

READ MORE

KISA LISSU, BAVICHA WAMJIBU SHAKA WA UVCCM

  BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo – Chadema (Bavicha) limesema limeshangazwa na kauli ya Kaimu Katibu Mkuu...

READ MORE

Lissu Akwea Pipa, Apelekwa Ubelgiji kwa Matibabu Zaidi

  MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Tundu Antipas Lissu ameondoka kutoka...

READ MORE

Sumaye Afungukia Kurudi CCM, Awataja JPM, JK na Mkapa – Video

KUTOKANA na kuibuka kwa wimbi la baadhi ya wanasiasa hapa nchini kuhama vyama vyao, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya...

READ MORE

Baraka The Prince Amtembelea Lissu Nairobi – Pichaz

Msanii wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya ‘Sometimes’, Baraka The Prince amefika katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya...

READ MORE

Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ Aitwa Polisi

MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ na mratibu wa chama hicho Kanda ya Nyanda za Juu...

READ MORE

Polepole: Lema Utalisikia Hewani tu Jimbo la Arusha Mjini 2020

KATIBU wa Itikadi na Uenezi  wa  Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole amemtahadharisha Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwakumwambia...

READ MORE

Walionipiga Risasi Niliwaona Lakini Siwafahamu – Lissu

HALI ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu inaendelea kuimarika huku akiendelea na mazoezi ya viungo katika Hospitali ya Nairobi...

READ MORE

Pigo Tena Upinzani: Wanachama Wengine 1,200 wa Chadema Watimkia CCM

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezidi kumomonyoka baada ya wanachama wao zaidi 1,200, wakiwemo viongozi wakuu wa Wilaya ya...

READ MORE

Zitto Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mbowe

Katika kikao chake cha juzi, ambacho kiliamua kugomea ushiriki wa uchaguzi wa marudio, Kamati Kuu ya ACT Wazalendo iliuagiza Uongozi...

READ MORE

Mbunge Ataja Sifa Za Mwanaume Wa Kumuoa

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Geita, Upendo Furaha Peneza (Chadema), ametaja sifa za mwanaume wa aina gani anayemhitaji maishani...

READ MORE

Singida: Aliyeteuliwa Kugombea Ubunge Chadema Ajitoa

SIKU moja baada ya NEC kuanika majina ya wagombe huku jina lake likitajwa kuwa miongoni mwao, Djumbe Joseph aliyepitishwa na...

READ MORE

Diwani Mwingine Chadema Ajiuzulu, Ajiunga CCM

KILIMANJARO: Diwani wa Donyomurwak kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Siha mkoani Kilimanjaro, Lwite Ndossi amejiuzulu...

READ MORE

Dongo la Polepole kwa Wapinzani, ‘Muulizeni Mwenyekiti Wenu Alikopeleka Pesa’

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amevipiga kijembe vyama vya upinzani akimtaka mwenyekiti wa...

READ MORE

CHADEMA Watoa Kauli Kuhusu Kujiuzulu kwa Mbunge wa Siha, Molel

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) tarehe 14 Disemba,2017 tumepokea taarifa kupitia mitandao ya kijamii kuwa Mbunge wa Siha...

READ MORE

Breaking News: Mbunge wa Siha Atangaza Kuhama Chadema, Ajiunga CCM -(Video)

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha Mkoa wa Kilimanjaro kupitia CHADEMA, Dr. Godwin Mollel ametangaza kujivua uanachama wa Chama hicho kuanzia...

READ MORE

Lissu Aibua Mapya Kuhusu Wasaliti wa Chadema

MBUNGE wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Tundu Lissu ambaye sasa Kenya akiendelea na matibabu...

READ MORE

CHADEMA Yatangaza Kutoshiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Songea Mjini

ZIKIWA zimepita siku chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA na Mwenyekiti mwenza wa UKAWA Mheshimiwa...

READ MORE

Nyalandu Amwandikia Ujumbe JPM

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, jana Disemba 11, 2017 alituma salamu za pole kwa Rais na...

READ MORE

UKAWA Watishia Kususia Uchaguzi wa Januari 13, Endapo Serikali Haitafuata Haya (Video)

VIONGOZI wa Vyama vya Upinzania Vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wamekutana na kufanya mazungumzo na wanahabri leo Jumatatu,...

READ MORE

KUBENEA: Sinunuliki, Siwezi Kuhama Chadema Wala Kuisaliti Ubungo – Video

MBUNGE wa Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), Saed Kubenea amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa kuwa...

READ MORE

BREAKINGS: CHADEMA Wamlipua Mtulia, Wadai Njaa Zake Zimempeleka CCM

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Kinondoni, Waziri Mhunzi, kwa niaba ya chama hicho, ametoa tamko...

READ MORE

Mnyika Azungumzia Taarifa Zinazosambaa Kuwa Amejiuzulu Chadema

MBUNGE wa Kibamba, John Mnyika amesema taarifa kwamba amejiuzulu nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema – Bara hazina ukweli...

READ MORE

Mambo Matatu Yaliyomng’oa Wema Chadema Yafichuka!

SIKU chache baada ya mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), imebainika yapo mambo matatu yaliyomsababisha...

READ MORE